[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wemvulana, wapi umeona umetukanwa kwani...!!??
Alafu, naomba nimpongeze mwalimu wako wa lugha ya kiswahili kwa kutuandalia kijana mujarab kabisa....teh[emoji28][emoji28]
[emoji44][emoji44][emoji44]Ushimen ona hii[emoji115][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Unatangza biashara gani humu?!,mpaka no za sim umeamua kutuma...Namba yangu brother hii 0655641881.tuchekiane hewan
Basi hauna tofauti na wagogoYni hata kabila hatufanani,akili tutafananaje..afu mmi cyo mzaliwa wa hapa,ila nimekulia hpa Dom.home kbisa moro
Hivi kabla ya kujiregister humu ulisoma hata jf rules?...Mmi cjadhania kama ingeleta mzozo hivi kwa kuwa naona ni kawaida sana,cjaonyesha kitu kibaya.afu mmi picha zngu nying za geto San san nkiwa nafany mazoezi.pia brother wanaume hatutakiwi kujibizana hivyo,humu sehemu ya kuongeza marafiki,kubadirishn mawazo,mmi brother marafiki zangu wengi nawapatia mitandaoni yni kiamani,sasa humu dah imekuwa vurugu.boys cyo powa,sisi boys ndo tunaozikana tukumbuke.tunatakiwa tustiriane ktk makaburi.hmm,wa tz hatuna love sana, nimeshangaa sana ila kuna majamaa kadhaa hawajasema vitu sivyo.nimewakubali san, mtandao huu dah imekuwaje...no love hadi boys ipo hivi.bro cjui kama umenisoma
Exactly,halafu eti yupo humu toka 2016Ni tatizo kubwa mno kukurupukia mitandao,kama hajakurupuka basi ni kaspy haka kanataka kudaka watu kadhaa humu.
Shule mnafunga tarehe ngapi?Mmi mwanafunz
Dada.... hadi ainaifahamu jf, huyu alipaswa akuje akiwa tayari anajuwa kusoma na kuandikaMumfundishe tu.
Nipo Chako, kwenye ngalawa mkuu. Hapa namtazama tu DJ anavyo tupiaMsisahau kunicheki hapa Chako ni Chako
We jamaa ni kiazi kweli, unafikiri huku FB au Instagram?Dodoma chang'ombe ndo home,full Amani kwa fasi hii.love my street.karbni mtaan kwngu...View attachment 1161530