Hakunaga warangi viaziona sasa umedhalilisha warangi wenzako
Kwani sheria za huu mtandao zinakataza?Aiseee.karibu jamii forum
Picha kaeke facebook
Ulizani hicho ni kiotaHapo ndo geto kwako
Sema wewe ndo umezalilika usitujumuishe wote . Sjaona alipozalilishaMi nipo four ways hapa uwanja wa swai, mbona ungeniuliza jf ningekujibu kuwa hatuendi hiv,Unakuja kutudhalilisha tuonekane wagogo wote washenzi,NAOMBA RADHI kwa ajili ya ndg yangu huyu wa ukae Clement paul
Achana nao wase**ng tu haoAfu man mmi cyo mgogo cha kwanza,ila kwa kuwa nimekulia hapa Dom nini nawaheshimu San ndgu zangu wagogo cwezi kuwatusi kiivyo man.heshimu watu bro,wote ni wa Tz haina kuona wengne niaje wala niaje
Achana nae msukuma huyo muulize darasa gani kwa ushamba wakeDarasa.....??
Wemvulana, wapi umeona umetukanwa kwani...!!??
Alafu, naomba nimpongeze mwalimu wako wa lugha ya kiswahili kwa kutuandalia kijana mujarab kabisa....teh[emoji28][emoji28]
Shule mnafunga tarehe ngapi?
You mean great sinker acha kujitapa kwa dogo huku wengi hawana lolote sanasana nakala za migegedo zimetawala kwa kiasi kikubwaRudi fb au inst,huku ni home of great thinkers
Mtafute Kiduku Lilo tajiri wa jf anainua maisha ya watu wengi
Unaniuzia kesi dada yangu....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
rafiki EID MUBARAKMsaidie bana si unajua maisha ndio haya au huoni
rafiki EID MUBARAK
Msaidie bana si unajua maisha ndio haya au huoni
Goli La Mkonoo KabiisaWe jamaa umekunja na T-shirt, umepiga magoti kitandani, umerembuaπππ ili uje ututishe huku ndani??
Sema siku nyingine vunga usitume picha huku ndani.
Ukikutana na mwalimu wako wa kiswahili mpe salamu zako.
Wanaume wa mikoani 1 wanaume wa Dar 0.
Sawa hamna shida... Nmekuelewa