Dodoma Chang'ombe ndio home

Dodoma Chang'ombe ndio home

HABARI IMEKWISHA ANAEBISHA ANYOSHE KIDORE
JIFANYE UNAJIKUNA[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi nipo four ways hapa uwanja wa swai, mbona ungeniuliza jf ningekujibu kuwa hatuendi hiv,Unakuja kutudhalilisha tuonekane wagogo wote washenzi,NAOMBA RADHI kwa ajili ya ndg yangu huyu wa ukae Clement paul
Sema wewe ndo umezalilika usitujumuishe wote . Sjaona alipozalilisha
 
Afu man mmi cyo mgogo cha kwanza,ila kwa kuwa nimekulia hapa Dom nini nawaheshimu San ndgu zangu wagogo cwezi kuwatusi kiivyo man.heshimu watu bro,wote ni wa Tz haina kuona wengne niaje wala niaje
Achana nao wase**ng tu hao
 
Kijana anakuelekeza vzur ajakudhihak anayo discipline bora kuwa mvulana mwerevu kuliko kuwa mwanaume mpumbavu
Wemvulana, wapi umeona umetukanwa kwani...!!??
Alafu, naomba nimpongeze mwalimu wako wa lugha ya kiswahili kwa kutuandalia kijana mujarab kabisa....teh[emoji28][emoji28]
 
Hilo geto ukiingia tu imekula kwako....
Utatoka na pichu mkononi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We jamaa umekunja na T-shirt, umepiga magoti kitandani, umerembua😂😂😂 ili uje ututishe huku ndani??
Sema siku nyingine vunga usitume picha huku ndani.
Ukikutana na mwalimu wako wa kiswahili mpe salamu zako.
Wanaume wa mikoani 1 wanaume wa Dar 0.
Goli La Mkonoo Kabiisa
 
Back
Top Bottom