Dodoma Chang'ombe ndio home

Dodoma Chang'ombe ndio home

Aise,kwahyo humu hakuna busara kabis ndgu??
Unajua brother humu watu wengi tunakutana,so tungekuwa tunatumia mitandao vizuri kwa mambo yanayofaa ingekuwa makini sana..mmi nashukuru kwa kuwa na busara aise cwezi kumfanyia au kumwambia kitu cha ajabu mwanaume mwenzangu.cpendi kuzalilisha kwa kuwa najua ni dhambi sana,so hakika tunamsahau Mungu ndgu.ntaitoa brother
Elewa unachoambiwa ndugu yangu wa dodoma humu ni sehemu ya faragha mwenye picha ni pasco mayalla tu,ambae alisha pigwa dongo na mkuu mayalla kwao huita njaa njaa kali zisizo na kikomo.....utakuja kukoment kitu jukwaa fulani ukajichanganya makachero wakakufanyia mbaya uko ulipo futa picha na toa picha kwenye avatar.
 
Niaje Dingile?
Mwana Hapa Jf Huwaga Kuweka Real Pics Ni Soo Bro.
Weka Avatar Ya Mtu Yeyote Na Badili Jina Lak La Ukweli.
Maana Wenye Kaya Wapo Humu Wanatafuta Wale Waponda Kaya.
So Ukiweka Kama Hivyo Jina Lako Real, Pics Real, Ukiharibu Inakuwa Simple Kukunyaka Broh.
Thats Why Unaona Wote Humu Tuna Avatar Za Watu Wengine Bro

Anyway Nipo Uku Eastzoo Ushafikaga?
Kweli brother hapo nimekusoma brother. Makini sana bro
 
Niaje Dingile?
Mwana Hapa Jf Huwaga Kuweka Real Pics Ni Soo Bro.
Weka Avatar Ya Mtu Yeyote Na Badili Jina Lak La Ukweli.
Maana Wenye Kaya Wapo Humu Wanatafuta Wale Waponda Kaya.
So Ukiweka Kama Hivyo Jina Lako Real, Pics Real, Ukiharibu Inakuwa Simple Kukunyaka Broh.
Thats Why Unaona Wote Humu Tuna Avatar Za Watu Wengine Bro

Anyway Nipo Uku Eastzoo Ushafikaga?
Nafikaga sana brother pande hzo lakn kimishe bro maan mmi na deal na mamb ya ufnd.
 
Mmi cjadhania kama ingeleta mzozo hivi kwa kuwa naona ni kawaida sana,cjaonyesha kitu kibaya.afu mmi picha zngu nying za geto San san nkiwa nafany mazoezi.pia brother wanaume hatutakiwi kujibizana hivyo,humu sehemu ya kuongeza marafiki,kubadirishn mawazo,mmi brother marafiki zangu wengi nawapatia mitandaoni yni kiamani,sasa humu dah imekuwa vurugu.boys cyo powa,sisi boys ndo tunaozikana tukumbuke.tunatakiwa tustiriane ktk makaburi.hmm,wa tz hatuna love sana, nimeshangaa sana ila kuna majamaa kadhaa hawajasema vitu sivyo.nimewakubali san, mtandao huu dah imekuwaje...no love hadi boys ipo hivi.bro cjui kama umenisoma
Hilo ndilo tatizo nimeliona la men kuchanganyikana na boys kama wewe mkuu ni boy bado, pili humu sio sehemu ya kutafuta na kuongeza marafiki, hizo mambo ndio maana wadau wamekuambia bora urudi Facebook tu. Humu ni kwa Great thinkers tu. Ndio maana majina mengi ya great thnkers humu ukifuatilia kwa makini sio majina yao halisi. Rafiki lazima uanze kufahamu jina lake n.k , mwisho hiki sio chama cha Kuzikana. Samahani lakini...
 
Kwahiyo kwa akili yako unajiona mjanja kweli kweli!nenda fb huku hapakufai.
Hamna mmi cjaona chochte,hamna ujanja wala nni ila ni pic tu bro.usifanye mambo yakaonekana kam unavodhan bro, kawaida tu.kama kuna jahuu majamaa kama walivosema ndo naitoa kwa kuwa usalama ni muhmu.sem nn naondoa bro
 
Back
Top Bottom