Dodoma city photo



ww mwanza inatafuta nini kwenye huu uzi yaani dodoma ata iwe makao makuu ya dunia bado sana mkuu kuifikia mwanza.Mji umepauka sana ila poa kwenye miaka ya 21000 ndoto yako itatimia
 
Mkuu, kwamba baada ya miaka 5 Dodoma itaipita Dar....

Ebu kuwa serious bana, iache Dar kama ilivyo usiifananishe na mambo ya hovyo hovyo
 
Nakupinga kwa nguvu zote, labda useme miaka 10 ijayo(napo pia ni ndoto) na si miaka 3.

Naijua Mwanza, naijua Dodoma
 
Itachukua miaka 15 kuizidi Mwanza,sio miwili kama unavyosema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio inaweza kukua kuliko Dsm Yaani Growth Rate. Haimaanishi itaizidi Dsm ila nayo itapanda kiwango kikubwa.

Sasa hivi majengo mengi ya serikali na investors yanajengwa Dom. Miundombinu kibao inaelekezwa huko, hayo yote huyajui. Fumbua macho amkaaa Kumekucha
Mkuu, kwamba baada ya miaka 5 Dodoma itaipita Dar....

Ebu kuwa serious bana, iache Dar kama ilivyo usiifananishe na mambo ya hovyo hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatumia kipimo gan mkuu kujua hayo..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…