Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
- Thread starter
- #41
hata miaka 100 haiwezi fikia dar, dar ni jiji la biashara tena za kimataifa zikiwemo jipe moyo Dodoma litabaki kua mji mkuu na jiji la siasa. MbukwenyiNdio inaweza kukua kuliko Dsm Yaani Growth Rate. Haimaanishi itaizidi Dsm ila nayo itapanda kiwango kikubwa.
Sasa hivi majengo mengi ya serikali na investors yanajengwa Dom. Miundombinu kibao inaelekezwa huko, hayo yote huyajui. Fumbua macho amkaaa Kumekucha
Sent using Jamii Forums mobile app