Dodoma city photo

hata miaka 100 haiwezi fikia dar, dar ni jiji la biashara tena za kimataifa zikiwemo jipe moyo Dodoma litabaki kua mji mkuu na jiji la siasa. Mbukwenyi
 
Sitaki kuwa mshabiki, nakuwa mkweli kwa ninachokiona. Majengo ya serikali yanajengwa mangapi hadi iweze kuipita Mwanza kwa muda mfupi kiasi hicho?

Kwa majiji na miji majengo ya serikali huwa hayazidi majengo ya watu wengine wakiongozwa na wawekezaji. Jee unayo takwimu gani inayoonesha wawekezaji watakuwa wengi Dodoma kuliko Mwanza kwa kipindi kifupi unachodai?
 
nasikia ukitoka katikati ya mji kwenda kokote km 15 unakutana na mapori kibao unaisi uko karibu kuingia mkoa mwingine kumbe unaingia wilaya nyingine au uko bado mjini. Majengo ni ya kuesabu nasikia majengo ya gorofa 7 hayazidi 20πŸ˜•πŸ˜’πŸ˜
 
Mwanza!!!! Dodoma itafute Kwanza Tanga,mbeya na Arusha huko sio mwanza.Jiji la mwanza hata Kwa dawa haiwezi fikia hapo.

Hebu nikupostie mwanza kidogo halafu ulinganishe Na Dodoma na ujitathimini upya

Sent using Jamii Forums mobile app
 

we jamaaa serikali haijeng mji/jiji ka ukijua hilo pia watu hawafati miundombinu ila miundombinu ndo inawafuata kwani dar,mwanza au arusha ukitoa majengo ya serikali kinabaki niniπŸ˜€πŸ˜€ achabasi kujifariji mkuu
 
Dodoma imechoka bora hata kigoma eti makao makuu[emoji41][emoji85][emoji90]
Ndugu yangu, kwani unaifahamu Dodoma au umehukumu kwa hiyo picha moja? Hiyo ni picha ya upande wa pili ambapo kuna vumbi.

Dodoma ni nzuri sema imetumwa picha moja. Dodoma haiwezi kufanana na Kigoma kwa sasa, labda baadae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ukweli fulani,lakini baada ya miaka kumi kutakua vizuri sana, kuna mipango mji mizuri sana ,hasa sait mpyampya, mi ningekuwa vizuri kiuchumi ningewahi viwanja mapema mapema.
 
Mara unasikia Dodoma imejengeka
Unapanda basi kuanza safari
Mara unafika stendi ya nanenane
Unaambiwa ndio umefika stendi kuu
Mara paa! Unadondoka na kuzimia
Unapelekwa hospital kuu ya Dodoma
Unaamuka unauliza uko zahanati gani
Mara unaambiwa upo hospitalkuu dodoma
Mara paa! Unazimia tena
Unapelekwa muhimbili unazinduka
Unazani ulikua unaota
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…