Hakuna ofisi za UN Arusha ....Mahakama ya UN-ICTR ilishafungwa tangu mwaka 2015.Wadanganye washamba wenzako ambao hawajawahi kufika ArushaSasa kwani Hujui kuwa Ofisi za UN zipo Arusha!? Na sio UN tu karibia tasisi za kimataifa zipo huku
Unaposema makao makuu ya serikali..Ina include bunge ,mahakama na executiveMkuu kiswahili huelewi au hujasoma apo juu.Jitahidi uwe unajibu hoja kwa facts sio ushabiki,chuki na wivu[emoji116][emoji116]
-Mahakama ya UN-ICTR ilishafungwa tangu mwaka 2015
-Headquarters ya Tume ya Atomiki ilishahamishwa zamani ipo Kikombo, Dodoma.
-Ofisi za mashirika ya kimataifa Dom zimejaa hazina idadi (hadi BALOZI zishafunguliwa mfano Ubalozi mdogo wa Ujerumani)
-Vyuo Vikuu Dom apo ndio usiseme (Udom pekee kina uwezo wa kuchukua kwa pamoja wanavyuo wote wa Arusha hadi vyuo vya kati na bado nafasi ikabaki[emoji38][emoji38])
-Unazungumzia Arusha kuwa Makao makuu ya EAC huku unasahau kuwa Dom City sio tu Makao makuu ya Serikali(Executive) bali pia ni makao makuu ya chama,makao makuu ya Bunge na Makao makuu ya Judiciary .
Nasisitiza tena Arusha mnachowazidi Dom ni uwekezaji kwenye sekta ya utalii basi lakini vigezo vingine vya kupima ubora wa Jiji washawakalisha tayari[emoji38][emoji38].Ukibisha uje na facts kama hizo apo juu sio porojo
Aseme tu dodoma ni makao makuu ya serikali inatosha ila asifikirie kuilinganisha na mbeya arusha au rock city bado dodoma inakua wasijipe kiburi mapema sana kilichowapa kiburi ni baada ya kuwekewa eneo la mji km za mraba 2600 mara 10 zaidi ya arusha mara 6 zaidi ya mwanza alafu ndio wakafikisha population ya laki 7😀😀😀 dodoma bado sanaUnaposema makao makuu ya serikali..Ina include bunge ,mahakama na executive
.usitenganishe mambo
Ukubwa wa dodoma ni Mara mbili ya mkoa wa dar es salaam [emoji28][emoji28][emoji28]Aseme tu dodoma ni makao makuu ya serikali inatosha ila asifikirie kuilinganisha na mbeya arusha au rock city bado dodoma inakua wasijipe kiburi mapema sana kilichowapa kiburi ni baada ya kuwekewa eneo la mji km za mraba 2600 mara 10 zaidi ya arusha mara 6 zaidi ya mwanza alafu ndio wakafikisha population ya laki 7[emoji3][emoji3][emoji3] dodoma bado sana
Kumbe hujui hata maana ya population density.. ngoja nikuache ,[emoji28][emoji28][emoji28]Unajitahidi kuhamisha hamisha magoli.Hizo facts ni kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 ...hiyo sensa ya population density ilifanyika lini[emoji3][emoji3].
1.Dar over 5 M
2.Mwanza 1.2 M
3. Dom 8 k
Sensa ijayo nina uhakika Dom City itakua inakaribiana sana na Mwanza kwa population.
futa ujinga wako apa...CIVICS form two hukusoma au😆😆.Unanichekeshaga sana wewe jamaa alafu eti ndio unajiita graduate wa Chuo Cha Mipango Dodoma ...mbona unaiaibisha IRDP Dodoma.Unaposema makao makuu ya serikali..Ina include bunge ,mahakama na executive
.usitenganishe mambo
Nimekupa takwimu(namba) za idadi ya watu kwa mujibu wa Sensa ya mwaka 2022.Tunaangalia kwanza namba(idadi) sio population densityKumbe hujui hata maana ya population density.. ngoja nikuache ,[emoji28][emoji28][emoji28]
Chukua population ya dodoma gawia Kwa ukubwa wa eneo ...
Chukua ya Arusha ugawie Kwa eneo..mji wenye namba kubwa ndio jiji litakalokuwa na msongamano mkubwa wa watu (pop density)
Endelea kujifariji....chuki,wivu kwa Dom City hazitakusaidia👇👇Aseme tu dodoma ni makao makuu ya serikali inatosha ila asifikirie kuilinganisha na mbeya arusha au rock city bado dodoma inakua wasijipe kiburi mapema sana kilichowapa kiburi ni baada ya kuwekewa eneo la mji km za mraba 2600 mara 10 zaidi ya arusha mara 6 zaidi ya mwanza alafu ndio wakafikisha population ya laki 7😀😀😀 dodoma bado sana
Sasa mbona unajicorrect mwenyewe😀Endelea kujifariji....chuki,wivu kwa Dom City hazitakusaidia👇👇
Mihimili ya Serikali ni Executive, Judiciary and Parliament.
Rudi shule aisee
Nakucorrect wewe ambaye hujui kuwa Dodoma ni makao makuu ya Executive,makao makuu ya Bunge na makao makuu ya Judiciary....hiyo ni mihimili mitatu inayojitegemea ndiomana Afrika Kusini kwamfano kila mhimili una makao makuu kwenye jiji tofauti. Hata hapo kwa majirani zetu Burundi kuna Bujumbura na GitegaSasa mbona unajicorrect mwenyewe😀
Takwimu za population tunaangalia kwanza idadi ya watu sio population density.Ndiomana China na India zinaendelea kuwa most populated countries in the world.Ingekua wanaangalia population density Nigeria na Mexico zingekua zinaongoza duniani😀😀😀Kumbe hujui hata maana ya population density.. ngoja nikuache ,[emoji28][emoji28][emoji28]
Chukua population ya dodoma gawia Kwa ukubwa wa eneo ...
Chukua ya Arusha ugawie Kwa eneo..mji wenye namba kubwa ndio jiji litakalokuwa na msongamano mkubwa wa watu (pop density)
Kwamba Arusha Kuna hiyo mahakama tu?! Hujui kuwa huku Kuna Hadi makazi ya UNHakuna ofisi za UN Arusha ....Mahakama ya UN-ICTR ilishafungwa tangu mwaka 2015.Wadanganye washamba wenzako ambao hawajawahi kufika Arusha
Sasa huoni kwa 2000sqm za mraba kwa population ya watu laki 7 za Dom na sqm200 za Arusha kwa population ya watu laki 6 ipi inawatu wengi[emoji23]Takwimu za population tunaangalia kwanza idadi ya watu sio population density.Ndiomana China na India zinaendelea kuwa most populated countries in the world.Ingekua wanaangalia population density Nigeria na Mexico zingekua zinaongoza duniani[emoji3][emoji3][emoji3]
Hajasoma geography sio kosa lake [emoji1787][emoji16][emoji16]Sasa huoni kwa 2000sqm za mraba kwa population ya watu laki 7 za Dom na sqm200 za Arusha kwa population ya watu laki 6 ipi inawatu wengi[emoji23]
Katika ishu ya urban development Huwa wanaangalia population density.... Kaangalie miji ya mikubwa Duniani wamepangaje population yake .......Takwimu za population tunaangalia kwanza idadi ya watu sio population density.Ndiomana China na India zinaendelea kuwa most populated countries in the world.Ingekua wanaangalia population density Nigeria na Mexico zingekua zinaongoza duniani[emoji3][emoji3][emoji3]
Nimesoma geography kuanzia primary hadi A level 😀😀. Nikuulize swali nchi gani zinaongoza kwa idadi ya watu duniani.Ingekua wanaangalia population density Nigeria(ambayo hata tanzania tumewazidi square meters) ingekua inaongoza duniani.Hajasoma geography sio kosa lake [emoji1787][emoji16][emoji16]
Unachekesha sana...bahatinzuri huwa nakuchapa kwa facts wewe unaleta porojo za facebook👇👇Kwamba Arusha Kuna hiyo mahakama tu?! Hujui kuwa huku Kuna Hadi makazi ya UN
Sasa kwamba Arusha Ipo mahakama iyo tu ..kula chuma icho[emoji116][emoji2535]Unachekesha sana...bahatinzuri huwa nakuchapa kwa facts wewe unaleta porojo za facebook[emoji116][emoji116]
Mahakama ya ICTR yafungwa Arusha – DW – 01.12.2015
Mahakama ya kimataifa ya mauaji ya kimbari ya Rwanda (ICTR) iliyoko Arusha ilikuwa ikishughulikia kesi za mauaji yaliyotokea miaka 20 iliyopita na kuwasikiliza watuhumiwa wa mauaji ya kimbari.amp.dw.com
Arusha mnajikuuuuta, eti Arusha na Dar zilikosa mpinzani nchini.Kwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha.
Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa mbali kiasi kwamba machalii wa Chuga hawaelewi wahame au wasalie licha ya Serikali.
Serikali inajaribu kupambana Ili kuhakikisha hadhi ya Arusha kama kitovu Kikuu Cha Utalii haipokwi Kwa kufufua ujenzi wa Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano KICC,jengo la PAP,Makao Makuu ya Mahakama ya Africa ya Haki,Makao Makuu ya EAC na Baraza la michezo.
Hata hivyo Jiji la Didoma limeibuka Kwa Kasi na kuwa Jiji kubwa na la 3 Kwa wingi wa watu baada ya Dar na Mwanza kufuatia Msukumo mkubwa ukiofanywa na Hayati Magufuli Kwa Serikali kuhamia Dodoma na kuwasha mwenge wa ujuaji wa Jiji.
Dodoma Sasa ni kama kiwanda kikubwa ,Kimaoato Dom imeipiku Arusha na Mwanza just to rival Dar.Kwa maoni Yangu Baada ya Dar Jiji la ukweli Kwa Sasa ni Dodoma..
Dodoma City
View attachment 2685450
View attachment 2685401View attachment 2685403
Arusha City
View attachment 2685446
View attachment 2685411View attachment 2685412View attachment 2685683
Dodoma hao watu laki 8 wamefika lini ? Em angalia Dom Jiji kata 41 ndio mmefika 700k ,Arusha kata 25 tu...hapo Kuna sehemu za Jiji hazijawekwa kama Kisongo ,mateves,Iboru,Lengjave ,olorioen n.k na naskia wako kwa mpango wakuongeza 330Sqm sasa hapo sijui itakuwaje kwa ndugu zetu wagogoNimesoma geography kuanzia primary hadi A level [emoji3][emoji3]. Nikuulize swali nchi gani zinaongoza kwa idadi ya watu duniani.Ingekua wanaangalia population density Nigeria(ambayo hata tanzania tumewazidi square meters) ingekua inaongoza duniani.
Usitake kuhamisha magoli Population inapimwa kwa idadi/namba za watu kwahiyo mpangilio ni 1.Dar over 5 M 2.Mwanza 1.2 M 3.Dom 8k