Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Wewe ni kenge sana, huko ng'ong'ona na makuru kuna mijitu haijui hata kiswahili, ukienda kwa mamantilie utasikia mihanyenyii, sijui mara bukweni 🤣
na ukienda mitaa ya chang'ombe na nkuhungu ni full kirangi utasikia "joree" "nkasovi" ukienda mitaa ya soko kuu Majengo utakutana na Wanguu hawa kabila lao linaendana na warangi.
So point inabaki palepale Dom City ina mchanganyiko wa makabila asili ya wazawa zaidi ya kumi tofauti na Mwanza ambayo kabila kuu ni moja tu Wasukuma na kisukuma kinazungumzwa kwa wingi kilakona ndani ya Mwanza.
 
Usikatae bwana Dom inajulikana ni mkoa wa wagogo ,Dom mchanganyiko wa watu hamna kabisa
 
Bukwenyi Kila mahala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usikatae bwana Dom inajulikana ni mkoa wa wagogo ,Dom mchanganyiko wa watu hamna kabisa
Tatizo nabishana na mtu ambaye hajawahi kufika Dodoma 😀😀.
Warangi,Wasandawe,Wakaguru,Wanguu,Wanyambwa,Waburunge ni wenyeji wa mkoagani apa Tanzania...🤣🤣.Rudi shule aisee
 
Oneni sasa NHC wanavolalama Yani dodoma Bado ni mkoa wa kimaskini sana level zake ni mtwara ,Lindi na kagera huko
jamiiforums-20230806-0001.jpg
 
Oneni sasa NHC wanavolalama Yani dodoma Bado ni mkoa wa kimaskini sana level zake ni mtwara ,Lindi na kagera hukoView attachment 2709860
😆😆Unachekesha sana aisee hivi umeisoma hiyo habari au umekurupuka tu. Hiyo inazungumzia miradi ya NHC kwa Dar Es Salaam ambayo ilisimama kutokana na wafanyakazi wa serikali kuhamia Dodoma.
Na kwa sasa taasisi chache zilizobakia apa Dar wameambiwa kabla ya mwaka huu kuisha wawe wamehamia Dodoma.Kuna jamaaangu yupo NIMR alishaanza kutafuta nyumba ya kupanga kabisa Dom.
🤣🤣Endelea kuteseka wewe hater wa Dom City
 
[emoji38][emoji38]Unachekesha sana aisee hivi umeisoma hiyo habari au umekurupuka tu. Hiyo inazungumzia miradi ya NHC kwa Dar Es Salaam ambayo ilisimama kutokana na wafanyakazi wa serikali kuhamia Dodoma.
Na kwa sasa taasisi chache zilizobakia apa Dar wameambiwa kabla ya mwaka huu kuisha wawe wamehamia Dodoma.Kuna jamaaangu yupo NIMR alishaanza kutafuta nyumba ya kupanga kabisa Dom.
[emoji1787][emoji1787]Endelea kuteseka wewe hater wa Dom City
Iyo ndo ukweli bro dodoma hakuna mambo Yani Jiji la hovyo hovyo nani aje aishi
 
Sio kweli Baada ya Dar Es Salaam yenye population ya 5M + inayofuata ni Mwanza yenye 1.2 M(Wasukuma wanazaliana sana hawanaga uzazi wa mpango😀😀) then Dodoma Jiji yenye 8k plus.Sensa ijayo baada ya miaka kumi population ya DodomaJiji itakua kubwa sana kukaribia Mwanza kwasababu ya uwingi wa watu wanaomiminika na familia zao Dodoma hasa wafanyakazi wa serikali.Idara zote na ofisi za serikali zitakapohamia full in Dodoma pamoja na kukamilika kwa mji wa serikali Mtumba population ya Dodoma Jiji itakua mara mbili ya Arusha Jiji
Wasukuma hatuna mpango wa kuijaza Dodoma ( Strategically) tunalinda hadhi ya Ng'wanza
 
Back
Top Bottom