1.Makao makuu ya Serikali(wizara zote,ofisi zote taasisi zote za serikali jumlisha😀😀)Dodoma ndo iwe na mchanganyiko wa makabila mengi kuliko Mwanza, unaota ndoto za mchana dogo
2.Makao makuu ya chama
3.Makao makuu ya Bunge
4.Makao makuu ya mhimili wa Mahakama
5.Chuo kikuu cha pili kwa ukubwa Afrika(uwezo wa kuchukua over 40k)
Vp tukuongezee na zingine au zinatosha..🤣🤣🤣