ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kajengo kama haka Sumbawanga na Singida ndio wanatakiwa kujivunia sio Arusha ππ
Arusha nzima hakunaKwoo dodoma hii kwenu nayo ni mall?
Iyo mall ya ghorofa 8 angani Dom ipo?Kajengo kama haka Sumbawanga na Singida ndio wanatakiwa kujivunia sio Arusha [emoji16][emoji16]
Dom Iko busy na vitu vya msingi na sio minor projectsIyo mall ya ghorofa 8 angani Dom ipo?
Usilinganishe Dom na Vimji vyenu vya mabandaWewe ndio unaruka ruka bro kwa kifupi hapo ni kwamba mjii mkuu kama dom ungetakiwa uwe una battle na miji kama Nairobi,Kigali n.k matokeo yake nakubebwa kote lakin hamna vioja Jiji lenywe Bado kituko hata kwa mji kama iringa hailingii hata punje
Mbona estate local ivo na nani atakubali kuja kununua uko jangwaniDom Iko busy na vitu vya msingi na sio minor projects
View: https://www.instagram.com/reel/Cv1ogW2IeQk/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Endeleeni kutembea kwenye matope.Mbona estate local ivo na nani atakubali kuja kununua uko jangwani
Wewe ndio unaruka ruka bro kwa kifupi hapo ni kwamba mjii mkuu kama dom ungetakiwa uwe una battle na miji kama Nairobi,Kigali n.k matokeo yake nakubebwa kote lakin hamna vioja Jiji lenywe Bado kituko hata kwa mji kama iringa hailingii hata punje
Mmh mbona locally ivo bro alafu pandeni mitiMitaa ya ki posh posh kama hii unajikuta Dom pekee,Ndejengwa
View attachment 2726207
Mmh mbona locally ivo bro alafu pandeni miti
Tujumba twa kuokoteza huwezi kupata mtaa mkubwa kama Iyumbu Ukiwa na Apartments za kutosha hapo Arusha.View attachment 2727283View attachment 2727284hivi vitu Arusha vipo
New baby in da CityHi inatofauti gan na Moshi