Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Wewe ndio unaruka ruka bro kwa kifupi hapo ni kwamba mjii mkuu kama dom ungetakiwa uwe una battle na miji kama Nairobi,Kigali n.k matokeo yake nakubebwa kote lakin hamna vioja Jiji lenywe Bado kituko hata kwa mji kama iringa hailingii hata punje
 
Mitaa ya ki posh posh kama hii unajikuta Dom pekee,Ndejengwa
 
Mmh mbona locally ivo bro alafu pandeni miti

View: https://www.instagram.com/p/CwUhQOMtcrK/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

Tuletee apartments zenu Kali hapo Tourist camp site ya Arusha

Dodoma hii ni ya moto sana🔥🔥
-170631621.jpg
-1262049715.jpg
936036230.jpg
180837074.jpg
578745636.jpg
 
Back
Top Bottom