Umwaibishe nani wewe kenge, umekariri GDP shuleni unataka kufanya watu majuha humu. Seychelles wana high GDP kwa hiyo hata Equatorial Guinea wana high GDP lakini watu maskini sana. Ndio nyinyi Mwanza huko. Kajifunze kwanza namna wanavyo calculate GDP. China wana GDP mara tatu ya nchi kama Japan na German lakini umeshawahi kuona Mjapan machinga Kariakoo? nenda kasome..Hiv unaelewa ulichokiandika au magazeti tu .. kasome upya uje uandike before sijakuaibisha
Labda wasukuma standard ya maisha yenu iko wakati ukweli unajulikana maskini wengi sana sasa sijui hiyo GDP yako imechangia nini katika maisha ya wana Mwanza. Nyinyi na wahaya ndio mko kila sehemu sababu ya ugumu wa kazi Mwanza. GDP nyokoooHiv unaelewa ulichokiandika au magazeti tu .. kasome upya uje uandike before sijakuaibisha
Mbona umepaniki broo?! Kwo asiseme ukweli...sasa hata kwa hali ya kawaida kati ya dodoma na Mwanza watu wake ni wapi wanaongoza kuwa omba omba Tanzania?Labda wasukuma standard ya maisha yenu iko wakati ukweli unajulikana maskini wengi sana sasa sijui hiyo GDP yako imechangia nini katika maisha ya wana Mwanza. Nyinyi na wahaya ndio mko kila sehemu sababu ya ugumu wa kazi Mwanza. GDP nyokooo
Mkuu kuna International flight gani na kwa abiria wa wapi iwe na route kutoka ulaya kwenda Dodoma?..embassies zote zaidi ya mia mbili zilipewa plots bure kujenga ofisi za balozi zao zaidi ya miaka mitano iliyopita huko dom je kuna hata moja imeanza hata kujenga msingi?..dodoma itachukua miaka mingi sana kufikia levels za hiyo miji mingine ya dsm, arusha, mwanza kwa maendeleo jumuishi..tuache siasa kwenye mambo seriousMy point meli zio mradi mipya zilikuwepo na zitakuwepo, kuboresha ni kitu kingine na kuaanzisha kitu kipya ni kitu kingine. Dodoma wanajenga airport mpya kubwa international airport ni kubwa nyuma ya Dar tu, Ring road ni kitu kipya Tanzania hii 142 Km two ways, Uwanja mpya wa mpira, mji mpya wa serikali ni vitu vipya havikuwepo sio kuboresha. Haya yanachochea mji kukuwa. Chukua Mwanza ya miaka mitano nyuma na Dodoma miaka 5 nyuma halafu angalia leo speed ya ukuwaji baina ya hii miji miwili ndio utapata jibu.
Mkuu unajisumbua tu kubishana na hao haters wa jiji la Dodoma wengine hawajawahi hata kufika au wengine walikatisha tu barabarani wakati wanasafiri kwenda mikoani ndiomana wanakubishia kishabiki.Kwa sisi ambao tumewahi kuishi na kufanya kazi Dodoma Jiji tunajua ukweli kwamba kwa sasa Tanzania hii hakuna Jiji linalokaribia Dodoma kwenye vigezo vya ubora wa mipango miji,ubora wa miundombinu,uwekezaji mkubwa wa serikali na private,ukuaji wa mji.Hizo ni facts ndiomana unaona jamaa wanaokoteza okoteza tu porojo za mtaani😀😀😀Nimefika mwenyewe nimeona sijaambiwa Dodoma ya leo sio ya miaka 5 nyuma, haya nimeshudia mwenyewe. Mimi point yangu Dodoma inakuwa haraka kuliko mikoa mingine, hayo bado sana ni maoni yako binafsi. Ila ukweli unabaki ni mji unaokuwa kwa kasi Tanzania.
Wewe ndio unachekesha kabisa ...ngoja nikusaidie kukupa facts👇👇Mkuu kuna International flight gani na kwa abiria wa wapi iwe na route kutoka ulaya kwenda Dodoma?..embassies zote zaidi ya mia mbili zilipewa plots bure kujenga ofisi za balozi zao zaidi ya miaka mitano iliyopita huko dom je kuna hata moja imeanza hata kujenga msingi?..dodoma itachukua miaka mingi sana kufikia levels za hiyo miji mingine ya dsm, arusha, mwanza kwa maendeleo jumuishi..tuache siasa kwenye mambo serious
Yale yale ya Songwe International Airport zinaishia kutua Precision na Air TanzaniaMkuu kuna International flight gani na kwa abiria wa wapi iwe na route kutoka ulaya kwenda Dodoma?..embassies zote zaidi ya mia mbili zilipewa plots bure kujenga ofisi za balozi zao zaidi ya miaka mitano iliyopita huko dom je kuna hata moja imeanza hata kujenga msingi?..dodoma itachukua miaka mingi sana kufikia levels za hiyo miji mingine ya dsm, arusha, mwanza kwa maendeleo jumuishi..tuache siasa kwenye mambo serious
..mkuu mm siongei siasa...unasema ubalozi mdogo wa Germany umehamia dom..umehamia wapi?kwenye plot yao waliyopewa zaidi ya miaka saba iliyopita?.kuna embassy gani zinazoshindwa kujenga jengo lao kwa zaidi ya miaka saba?.nchi zote za nje zina plots dom zaidi ya 7yrs but hakuna aliyeweka hata msingi na tatizo sio pesa.!.dom imeanza kupewa pesa na Gov toka enzi za CDA but mji umeshindwa kukua!Wewe ndio unachekesha kabisa ...ngoja nikusaidie kukupa facts👇👇
-Mradi wa Msalato International Airport bado haujakamilika..uwanja wa ndege unaotumika ni ule wa zamani katikati ya Jiji
-Ubalozi mdogo wa Ujerumani tayari ushahamia Dodoma
-Mashirika mengi ya kimataifa tayari yashaweka ofisi zao Dodoma kwamfano WFP,FAO,SAVE THE CHILDREN,WHO,EGPAF n.k
Ikumbukwe mchakato wa kuhamia Dodoma ni process sio suala la sikumoja .
Kwa kulinganisha vigezo vya ubora wa mipangomiji,miundombinu,huduma za kijamii,uwekezaji wa serikali,ukuaji wa mji basi Dodoma inashika nafasi ya pili baada ya Dar huo ndio ukweli.Kitu pekee inachozidiwa Dom na Mwanza ni population(hilo halina ubishi) na inachozidiwa na Arusha ni uwekezaji kwenye sekta ya utalii
100%..mkuu mm siongei siasa...unasema ubalozi mdogo wa Germany umehamia dom..umehamia wapi?kwenye plot yao waliyopewa zaidi ya miaka saba iliyopita?.kuna embassy gani zinazoshindwa kujenga jengo lao kwa zaidi ya miaka saba?.nchi zote za nje zina plots dom zaidi ya 7yrs but hakuna aliyeweka hata msingi na tatizo sio pesa.!.dom imeanza kupewa pesa na Gov toka enzi za CDA but mji umeshindwa kukua!
..huo mtaa wenye mashirika mengi ya kimataifa hapo dom ni upi?tutajie ili tukahakiki hizo office zao!..ukitaka kujua mji unakua kwa kasi na kuwa kimataifa kama unavyosema angalia hata bei za plots kwenye mji husika..hapo dom tena mjini viwanja vingi unapata kwa bei ya chini ya 10m tena survyed plot..wakati hiyo miji mingine ya arusha, mwanza,dsm huwezi kupata kiwanja chenye hati katikati ya mji kwa hiyo bei na bado hiyo miji inakua...ni ukweli kuwa ukuaji wa dom ni mdogo sana kulinganisha na pesa zilizokuwa invested hapo..hizo pesa zingekuwa invested miji mingine kama arusha, mwanza, dsm basi tungekuwa na Johannesburg au hata nairobi ndani ya Tz.
I totally agree..mkuu mm siongei siasa...unasema ubalozi mdogo wa Germany umehamia dom..umehamia wapi?kwenye plot yao waliyopewa zaidi ya miaka saba iliyopita?.kuna embassy gani zinazoshindwa kujenga jengo lao kwa zaidi ya miaka saba?.nchi zote za nje zina plots dom zaidi ya 7yrs but hakuna aliyeweka hata msingi na tatizo sio pesa.!.dom imeanza kupewa pesa na Gov toka enzi za CDA but mji umeshindwa kukua!
..huo mtaa wenye mashirika mengi ya kimataifa hapo dom ni upi?tutajie ili tukahakiki hizo office zao!..ukitaka kujua mji unakua kwa kasi na kuwa kimataifa kama unavyosema angalia hata bei za plots kwenye mji husika..hapo dom tena mjini viwanja vingi unapata kwa bei ya chini ya 10m tena survyed plot..wakati hiyo miji mingine ya arusha, mwanza,dsm huwezi kupata kiwanja chenye hati katikati ya mji kwa hiyo bei na bado hiyo miji inakua...ni ukweli kuwa ukuaji wa dom ni mdogo sana kulinganisha na pesa zilizokuwa invested hapo..hizo pesa zingekuwa invested miji mingine kama arusha, mwanza, dsm basi tungekuwa na Johannesburg au hata nairobi ndani ya Tz.
Mkuu unajitahidi kubadili badili topics kuhamisha magoli baada ya kupewa facts tupu.Soma title ya thread inahusu DomCity vs ArushaCity sio Dom vs Nairobi au Dom vs Johannesburg...mkuu mm siongei siasa...unasema ubalozi mdogo wa Germany umehamia dom..umehamia wapi?kwenye plot yao waliyopewa zaidi ya miaka saba iliyopita?.kuna embassy gani zinazoshindwa kujenga jengo lao kwa zaidi ya miaka saba?.nchi zote za nje zina plots dom zaidi ya 7yrs but hakuna aliyeweka hata msingi na tatizo sio pesa.!.dom imeanza kupewa pesa na Gov toka enzi za CDA but mji umeshindwa kukua!
..huo mtaa wenye mashirika mengi ya kimataifa hapo dom ni upi?tutajie ili tukahakiki hizo office zao!..ukitaka kujua mji unakua kwa kasi na kuwa kimataifa kama unavyosema angalia hata bei za plots kwenye mji husika..hapo dom tena mjini viwanja vingi unapata kwa bei ya chini ya 10m tena survyed plot..wakati hiyo miji mingine ya arusha, mwanza,dsm huwezi kupata kiwanja chenye hati katikati ya mji kwa hiyo bei na bado hiyo miji inakua...ni ukweli kuwa ukuaji wa dom ni mdogo sana kulinganisha na pesa zilizokuwa invested hapo..hizo pesa zingekuwa invested miji mingine kama arusha, mwanza, dsm basi tungekuwa na Johannesburg au hata nairobi ndani ya Tz.
Hili swala la Dodoma kupangiliwa ni la miaka nenda rudi lakini hii bado haijawah fanya Dodoma kuizidi Arusha au Mwanza labda kwa title ya kupangwa tu ila kimaendeleo vipiMkuu unajitahidi kubadili badili topics kuhamisha magoli baada ya kupewa facts tupu.Soma title ya thread inahusu DomCity vs ArushaCity sio Dom vs Nairobi au Dom vs Johannesburg.
Suala la ujenzi wa balozi ni mchakato na kuna vitu vingi wanaangalia sio suala la sikumoja ....leo hii nchini Israel ni ubalozi mmoja tu wa Marekani uliohamia Jerusalem balozi zingine zote bado zipo Tel Aviv.
Narudia tena Dom City kwa sasa is far away kulinganisha na Arusha au Mwanza kwenye ukuaji wa majiji ...ukibisha basi unabisha kwa hisia na kiushabiki .
Majiji mengine yote ya Tanzania ukitoa Dodoma yanakabiliwa na changamoto zilezile zinazofanana kwamfano ubovu wa mipangomiji(Dodoma jiji imepimwa eneo lote zaidi ya asilimia 90),ubovu wa miundombinu(Dodoma inaongoza kwa mtandao mpana wa barabara za lami ndani ya CBD),uwekezaji mdogo wa serikali(Dodoma wanapendelewa sana hilo halina ubishi).
Sijaona changamoto yoyote ambayo iko valid kuhusu ukuaji wa Dom City zaidi ya porojo
Mkuu maeneno gani nitapata kiwanja ya town dom chini ya mil 10 nisaidie tafadhari..mkuu mm siongei siasa...unasema ubalozi mdogo wa Germany umehamia dom..umehamia wapi?kwenye plot yao waliyopewa zaidi ya miaka saba iliyopita?.kuna embassy gani zinazoshindwa kujenga jengo lao kwa zaidi ya miaka saba?.nchi zote za nje zina plots dom zaidi ya 7yrs but hakuna aliyeweka hata msingi na tatizo sio pesa.!.dom imeanza kupewa pesa na Gov toka enzi za CDA but mji umeshindwa kukua!
..huo mtaa wenye mashirika mengi ya kimataifa hapo dom ni upi?tutajie ili tukahakiki hizo office zao!..ukitaka kujua mji unakua kwa kasi na kuwa kimataifa kama unavyosema angalia hata bei za plots kwenye mji husika..hapo dom tena mjini viwanja vingi unapata kwa bei ya chini ya 10m tena survyed plot..wakati hiyo miji mingine ya arusha, mwanza,dsm huwezi kupata kiwanja chenye hati katikati ya mji kwa hiyo bei na bado hiyo miji inakua...ni ukweli kuwa ukuaji wa dom ni mdogo sana kulinganisha na pesa zilizokuwa invested hapo..hizo pesa zingekuwa invested miji mingine kama arusha, mwanza, dsm basi tungekuwa na Johannesburg au hata nairobi ndani ya Tz.
Mkuu maeneno gani nitapata kiwanja ya town dom chini ya mil 10 nisaidie tafadhari
kupangiliwa vizuri mipangomiji jiji la Dodoma hiyo ndio top advantage iliyo nayo Dom kulinganisha na miji mengine nikupe mifano miwili tu👇👇Hili swala la Dodoma kupangiliwa ni la miaka nenda rudi lakini hii bado haijawah fanya Dodoma kuizidi Arusha au Mwanza labda kwa title ya kupangwa tu ila kimaendeleo vipi
Hata kizota unapataMkuu maeneno gani nitapata kiwanja ya town dom chini ya mil 10 nisaidie tafadhari
Mkuu unajitahidi kubadili badili topics kuhamisha magoli baada ya kupewa facts tupu.Soma title ya thread inahusu DomCity vs ArushaCity sio Dom vs Nairobi au Dom vs Johannesburg.
Suala la ujenzi wa balozi ni mchakato na kuna vitu vingi wanaangalia sio suala la sikumoja ....leo hii nchini Israel ni ubalozi mmoja tu wa Marekani uliohamia Jerusalem balozi zingine zote bado zipo Tel Aviv.
Narudia tena Dom City kwa sasa is far away kulinganisha na Arusha au Mwanza kwenye ukuaji wa majiji ...ukibisha basi unabisha kwa hisia na kiushabiki .
Majiji mengine yote ya Tanzania ukitoa Dodoma yanakabiliwa na changamoto zilezile zinazofanana kwamfano ubovu wa mipangomiji(Dodoma jiji imepimwa eneo lote zaidi ya asilimia 90),ubovu wa miundombinu(Dodoma inaongoza kwa mtandao mpana wa barabara za lami ndani ya CBD),uwekezaji mdogo wa serikali(Dodoma wanapendelewa sana hilo halina ubishi).
Sijaona changamoto yoyote ambayo iko valid kuhusu ukuaji wa Dom City zaidi ya porojo
Huko ambako sio planned mara ya mwisho umesikia lini [emoji53]kupangiliwa vizuri mipangomiji jiji la Dodoma hiyo ndio top advantage iliyo nayo Dom kulinganisha na miji mengine nikupe mifano miwili tu[emoji116][emoji116]
-Kutokana na ubora wa mipangomiji na miundombinu ya jiji la Dodoma ...Dodoma ndio jiji pekee Tanzania ambalo ikitokea ajali ya moto magari ya zimamoto yanafika chap kwa haraka na kwenye exact location.Nakumbuka kipindi fulani ilitokea ajali ya nyumba kuwaka moto maeneo ya Area A yaani ilichukua dakika chache sana gari ya zimamoto kutoka Zimamoto Makao Makuu kule Makole pamoja na gari la zimamoto kutoka Airport kufika na kuzima moto kwa haraka.Ingekuwa vichochoro kama vya miji mingine yenye makazi uchwara na mipangomiji ya hovyo hali ingekua mbaya sana
-Mfano wa pili ni kuhusu usalama wa raia.Kutokana na Dodoma kupangiliwa vizuri mipango miji na miundombinu ni nadra sana kusikia matukio ya ujambazi ndani ya jiji la Dodoma.Kwa namna mji ulivyopangwa ni ngumu sana majambazi kukimbia nje ya mji tofauti ni miji mingine mfano Dar ambapo majambazi wanaiba benki na bado wanafanikiwa kutoroka kupitia vichochoro vya uswahilini.Sikumbuki mara ya mwisho lini nimesikia tukio la ujambazi au wizi mkubwa ndani ya Dom City
mkuu sasa kuna vitu gani vya kuiba dom?.suala la uhalifu halihusiani na mpangilio wa mji...majiji makubwa yaliyopangiliwa kama new York, London, etc kuna uhalifu sababu kuna vitu vyenye thamani vya kuiba..sasa kama mji hauna ukuaji vibaka wataenda kufanya nini?..kupangiliwa vizuri mipangomiji jiji la Dodoma hiyo ndio top advantage iliyo nayo Dom kulinganisha na miji mengine nikupe mifano miwili tu👇👇