Wewe ndio unachekesha kabisa ...ngoja nikusaidie kukupa facts👇👇
-Mradi wa Msalato International Airport bado haujakamilika..uwanja wa ndege unaotumika ni ule wa zamani katikati ya Jiji
-Ubalozi mdogo wa Ujerumani tayari ushahamia Dodoma
-Mashirika mengi ya kimataifa tayari yashaweka ofisi zao Dodoma kwamfano WFP,FAO,SAVE THE CHILDREN,WHO,EGPAF n.k
Ikumbukwe mchakato wa kuhamia Dodoma ni process sio suala la sikumoja .
Kwa kulinganisha vigezo vya ubora wa mipangomiji,miundombinu,huduma za kijamii,uwekezaji wa serikali,ukuaji wa mji basi Dodoma inashika nafasi ya pili baada ya Dar huo ndio ukweli.Kitu pekee inachozidiwa Dom na Mwanza ni population(hilo halina ubishi) na inachozidiwa na Arusha ni uwekezaji kwenye sekta ya utalii