ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Washington Kuna viwanda? Washington ni ya tatu Kwa Ukubwa? Hapa ndipo mnapojifariji.Dom inajengwa tofauti na hiyo Miji mingine Kuna industrial areasDodoma itabaki kuwa kama ilivyo Washington USA hata namba 5 haiwezi kuwepo ngoja wamalize kuuza viwanja
Ndio kwanza ita Take off, uwekezaji unaofanywa Dom sio majengo tuu Hadi miundombinuDodoma after the majengo ya serikali are completed will be back to its normal state of dormantism
Nisamehewe kwa lugha
Ofisi zilishahamishwa zamani sana sasa zipo Kikombo,Dodoma👇👇Sijajua, ofisi za atomic hazipo tena Arusha? Majengo yao pale wanayafanyia nini?
haina mpinzani kwa vigezo vipi mkuu ....Dom washaikalisha Arusha kitambo.Kigezo pekee Arusha inachozidi Dom ni sekta ya utalii na mahoteli basi... lakini vigezo vingine kama ubora wa miundombinu,ubora wa mipangomiji, ubora wa huduma za kijamii,uwekezaji mkubwa wa serikali n.k Arusha haifiki hata robo kwa Dom City huo ndio ukweliArusha haina mpinzani bongo ukitoa Dar! Mwanza yenyewe labda kwa population lakini kama Arusha jiji ikiongezewa manispaa chache tutaongea mengine.
Kwanza Arumeru iwe manispaa na ina sifa.
Dodoma wanapendelewa sana yaani👇Dodoma Military Hospital kama Hotel
View: https://youtube.com/watch?v=iS8mICZ94xY&si=06qM_ZXK-xMI6_mc
Uhuru ni hospital ndogo,Kuna Hospital ya mama na mtoto yenye hadhi ya Kitaifa inajengwa.Dodoma wanapendelewa sana yaani👇
-National Hospital MIREMBE
-Zonal Referral Hospital B.W. MKAPA
-National Military Hospital
-Regional Referral Hospital
-na kuna ile nyingine Uhuru Hospital ipo Chamwino
Dodoma inaipita arusha kwa sasaNasimama na Arusha.. dodoma bado Ina safari ndefu kuipata Arusha ndo ipambane na mwanza.....hata hyo population inayotajwa dodoma imehusisha Hadi vijiji vya hombolo huko na chipogolo ...proper city population ya dodoma not more than 450k ...
Exactly.....tatizo wengi humu wanachangia kiushabiki sio kiuhalisia.Mi ni wa kanda ya kaskazini ila nisiwe mwongo ranking ipo hivi???
1. Dar es salaam.
2.Dodoma.
3.Arusha na Mwanza ziko sawa tu zimepishana padogo
4. Miaka 10 plus Dodoma inaweza kaa sawa na Dar....
Kinachoibeba Dar ni bandari na viwanda vingi...
Mi ni wa kanda ya kaskazini ila nisiwe mwongo ranking ipo hivi???
1. Dar es salaam.
2.Dodoma.
3.Arusha na Mwanza ziko sawa tu zimepishana padogo
4. Miaka 10 plus Dodoma inaweza kaa sawa na Dar....
Kinachoibeba Dar ni bandari na viwanda vingi...
Endelea kujifariji 😂😂Dodoma ni mji wa Serikali na Serikali imeshahamishia Wizara na Idara zake 90% na Ofisi zinaelekea kukamilka kwa 90% hivyo speed ya ujenzi wa Ofisi za Kiserikali uko 90% hakutakuwa na miradi mingi iliyobaki ya Serikali.NAWASILISHA.
Kama utafuatilia mapato ya Jiji la Dodoma kipindi Serikali inahamia yalifika hadi Bilioni 70 na kuzipita Halmashauri za Dar kwa sababu ya uuzaji wa viwanja, kwa sasa mapato yameshuka hadi Bilioni 30 kwa maana ya 50% na yataendelea kushuka kwa sababu niliyoonesha hapo juu.
Ushauri wangu kwa sasa Jiji waangalie njia mpya ya kuingiza mapato bila kutegemea ujio wa Serikali hapa Dodoma kama vile uwekezaji wa miradi mbalimbali kama Jiji la Dar,Arusha na Mwanza wanavyofanya.
Wananchi wa Dodoma watumie vyema fursa za Serikali kuwepo hapo kuwekeza maana naona speed ya Wafanyabiashara wa hapa Dodoma kuwekeza iko chini kulinganisha na majiji ya Dar,Mwanza na Arusha ambao yanajiendesha yenyewe bila kutegemea Serikali na ndio maana mapato yao yanapanda hayashuki.
IN GOD WE TRUST
Dodoma imepangiliwa vizuri tena wakifanikiwa kujenga mabwawa ya maji huko Membe-Chamwino na Mvumi, Uwanja wa ndege Msalato, Uwanja wa Mpira hapo Nane nane na ring road road kukamilika hata Dar Es Salaam itasubiri sana kuipata. Arusha hali ya hewa yake ni nzuri lakini wakazi wake hawana nidhamu na utunzaji wa mazingira, tabia za kihuni na ubishi wa kijinga.
Serikali inatakiwa itengeneze mazingira mazuri zaidi ili miji kama Songea, Mtwara, Njombe, Kigoma Ujiji, Musoma iwe majiji bila kuisahau Tanga inawirishwe kurejea hadhi yake ya miaka 1970 hadi 1988 kulikuwa kumekucha balaa.
Miji inayokuwa kwa kutegemea nguvu za wananchi wenyewe bila kusaidiwa na serikali ni Mwanza, Morogoro, Singida, Simiyu na Kahama.
DODOMA kuko vizuri
1. UDOM (kijiji cha wasomi kuzunguka milima ya miamba)
2. Mpangilia wa ujenzi wa nyumba za kisasa unaridhisha ( barabara za kwenda Morogoro,, Arusha na Singida ni safi)
3. Magufuli Satellite City ni mfano mzuri wa miji ya kiserikali iliyojengwa kwa ubunifu wa kisasa na wazawa
4. Ikulu bora
5. Utulivu wa wenyeji wa jamii ya Kigogo (sio Warangi)
NB: Wilaya za Dodoma mjini, Mpwapwa na Kondoa ndio kongwe kuliko wilaya zingine ambapo zilianzishwa na wakoloni kabla ya uhuru kati ya 1913-1950
1. Wlaya ya Dodoma mjini ilianzishwa mwaka 1950 na ikatambulika kiserikali mwaka 1955
2. Wilaya ya Mpwapwa ilianzishwa mwaka 1929 lakini ikatambulika kiserikali mwaka 1952
3. Wilaya ya Kondoa ilianzishwa na Wajerumani mwaka 1916 lakini ikatambulika kiserikali mwaka 1926
4. Wilaya ya Kongwa ilianzishwa na Wajerumani mwaka 1947 kwa ajili ya kushughulika na mradi mkubwa za kilimo cha karanga lakini utawala uliowekwa wa mtemi Kalihinya ulishindwa kutimiza malengo ikafutwa na wakoloni mwaka 1949
Kasoro/Mapungufu
1. Ujenzi wa nyumba barabara ya Iringa hauridhishi
2. Barabara ya Dom-Moro kupitia majengo ya bunge haifai kwa sasa maana ni nyembamba inatakiwa iwe njia sita kuanzia bunge hadi Chamwino, Dom-Singida na Dom-Arusha kupitia Msalato barabara zinatakiwa kuwa njia nne
3. Bustani ya Nyerere Square inatakiwa iwekewe mfumo wa maji yanayoruka kama mvua ili kupoza hali ya hewa wakati wananchi wanapumzika hapo
4. Stendi ya daladala hapo Sabasaba ijengwe ya kisasa , pembeni yake zijengwe fremu za kupangisha wajasiriamali na miundo mbinu ya mifereji na mazingira viboreshwe
5. Fly over bridge zijengwe maeneo ya Nzuguni-Stendi ya Ndugai, Round about ya CDA, Mataa ya Chako ni Chako, eneo la bunge njia panda ya kwenda Ikulu Chamwino
6. Ukosefu wa bwawa kubwa lililopandwa miti kuzunguka ambalo litatumika kufanikisha mambo mbalimbali mtambuka kama chanzo cha maji, uhifadhi wa uoto, kupumzika na ku-refesh mind wakati mwisho wa wiki au mapumziko ya kitaifa
7. Ukosefu wa makumbusho wa tamaduni za Wagogo, Warangi na harakati za kutafuta uhuru hayatakiwi yawekwe kwenye ofisi za CCM (Chanzo cha kukua mji wa Idodomya ilianza kipindi cha biashara ya utumwa kabla na baada ya mwaka 1910 ambapo ndipo shughuli za ujenzi wa reli ya kati ulipita hapo chini ya Wajerumani
8 Hamasa ya utalii bado ndogo sana ukiwa jijini Dodoma
9. Inatakiwa kujengwa ICD kubwa Dodoma kwa hifadhi ya mizigo ya kutoka badarini ili kurahisisha uchukuaji na usambazaji kwenda mikoa inayopakana nayo kama Singida, Manyara, Arusha, Iringa nk
Mchakato wa kuhamia Dodoma ni endelevu kumbuka mambo ni dynamic ...hizo wizara nyingine mpya zinaanzishwa kulingana na mahitaji husika mfano waziri wa uwekezaji,juzijuzi uchukuzi na ujenzi zimetenganishwa kuwa wizara zinazojitegemea,bado kuna taasisi na idara za serikali zinaanzishwa kilasiku.Bado kuna taasisi nyingine za serikali zimepewa muda ziwe zimehamia Dom mfano NIMR n.kDodoma ni mji wa Serikali na Serikali imeshahamishia Wizara na Idara zake 90% na Ofisi zinaelekea kukamilka kwa 90% hivyo speed ya ujenzi wa Ofisi za Kiserikali uko 90% hakutakuwa na miradi mingi iliyobaki ya Serikali.NAWASILISHA.
Kama utafuatilia mapato ya Jiji la Dodoma kipindi Serikali inahamia yalifika hadi Bilioni 70 na kuzipita Halmashauri za Dar kwa sababu ya uuzaji wa viwanja, kwa sasa mapato yameshuka hadi Bilioni 30 kwa maana ya 50% na yataendelea kushuka kwa sababu niliyoonesha hapo juu.
Ushauri wangu kwa sasa Jiji waangalie njia mpya ya kuingiza mapato bila kutegemea ujio wa Serikali hapa Dodoma kama vile uwekezaji wa miradi mbalimbali kama Jiji la Dar,Arusha na Mwanza wanavyofanya.
Wananchi wa Dodoma watumie vyema fursa za Serikali kuwepo hapo kuwekeza maana naona speed ya Wafanyabiashara wa hapa Dodoma kuwekeza iko chini kulinganisha na majiji ya Dar,Mwanza na Arusha ambao yanajiendesha yenyewe bila kutegemea Serikali na ndio maana mapato yao yanapanda hayashuki.
IN GOD WE TRUST
Umeandika vizuri ila hapo kwenye kasoro/mapungufu tukurekebishe kidogoDodoma imepangiliwa vizuri tena wakifanikiwa kujenga mabwawa ya maji huko Membe-Chamwino na Mvumi, Uwanja wa ndege Msalato, Uwanja wa Mpira hapo Nane nane na ring road road kukamilika hata Dar Es Salaam itasubiri sana kuipata. Arusha hali ya hewa yake ni nzuri lakini wakazi wake hawana nidhamu na utunzaji wa mazingira, tabia za kihuni na ubishi wa kijinga.