Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Morogoro ni chenga.Mbeya sio kizuri Kwa magorofa labda kuzuri Kwa maisha na baishara.
 
Unakutana na Mbugila mmja kachanganyikiwa na Bangi eti analinganisha Dom na uswazi ya Arusha.

Dom ni Capital City na Capital City inafanania namna hii πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/dK4KV8Dr6Jg?si=3wMQRZGm-bDPtKOH
Mipango mji wa Dodoma wapewe maua yao hawa watu wapo serious na mji wao kuupanga sio shida hata miji mingine wakajifunze, SLUMS kwa Dodoma haziongezeki zinapungua ila Chuganism maeneo mapya ndio yanaongeza slums badala ya kupungua
 
Lipi jengo la serikali Arusha unalolojua wewe??! Hotels zike serikali haina hata moja (private entities) parastatals zipo za kuhesabika nafikiri TRA Inakuweka wazi inapata mapato wapi mkuu tusiibishie takwimu
 
Arusha hata aruke vipi hawezi kuikuta Dodoma tena, Dodoma ndio hiyo ishatembea,
Mikoa inayoongoza kwa pato la taifa
Mikoa hiyo ni hii hapa.

1. Dar=11,111.66

2. Arusha=661.67

3. Mwanza=269.75

4. Kilimanjaro=263.43

5. Dodoma=225.72

6. Tanga=215.10

7. Songwe=143.44

8. Mara=125.73

9. Kagera=113.16

10. Pwani=111.07
 
Asante πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ kwa kuleta picha rasmi ya majengo ya serikali mkuu. Ndio nilichokuwa nakisima muda wote ndio maana pato la taifa hawachangii hao zaidi ya kutia hasara yaani mtasubiri sana ndio mko robo ya arusha lwa mapato.

Hahahaha alafu mkuu watalii ndio wamevunja record safari hiii.. kwa hiyo 2024 mtarajia arusha billion 800 inaleta
 
Nani huyo Yuko robo kimapato? Dom iwe robo ya Arusha? Uko serious kweli?
Jiji la Dom Lina Mapato mengi kushinda Arusha na ndugu yake Mwanza.
 
Lipi jengo la serikali Arusha unalolojua wewe??! Hotels zike serikali haina hata moja (private entities) parastatals zipo za kuhesabika nafikiri TRA Inakuweka wazi inapata mapato wapi mkuu tusiibishie takwimu
Wewe ni mgonjwa.

PAP ni jengo la private sector?

Ngorongo Conservation ni jengo la private sector?

Esami Building ni private sector?

Yale majengo 2 ya NSSF ni private sector?

Kiufupi robo 3 ya majengo marefu ni ya serikali kama ilivyo hata Dar.

Serikali haikwepeki kwenye maendeleo na bila Serikali hakuna Cha Arusha Wala Dar na Sasa ni Zamu ya Dom ku enjoy.

Mtu anauliza eti kwani majengo ya seeikwanalipa Kodi,kwani hakuna wapangaji wa private sector kwenye majengo ya Serikali?

Dom kamatia hapo hapo wameanza kuweweseka πŸ˜†πŸ˜†
 
ila hapo nakurekebisha ni PAPU sio PAP
Pan African Postal Union
 
Hayo ma4 uliyotaja ndio majengo marefu kwako?? πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† hahaaha embu jaribu kuwa seriously mkuu ndio maana kwenye mapato hampo labda list ya ombaomba mtaongoza
 
Nani huyo Yuko robo kimapato? Dom iwe robo ya Arusha? Uko serious kweli?
Jiji la Dom Lina Mapato mengi kushinda Arusha na ndugu yake Mwanza.
Billion 200 vs billion 600 ndio gap kati ya dodoma na Arusha do the calculations hapo nyie wagogo mmeachwa % ngapi mkapambane na Mwanza na kilimanjaro level zenu. Huwez pambanisho mkoa wenye ghorofa 7000 vs 1000 that's unnecessary insanity
 
Kwanza unapotosha figures ,Dom inakusanya zaidi ya Bil.230

Pili Sasa wewe huoni kwamba kabla ya kuanza kujengwa Dom ilikuwa haipo popote? Mda mfupi imekua Kwa kushinda Miji hiyo ambayo Toka Ukoloni Ina enjoy buckup ya serikali?

Mwisho tulieni dozi iwaingie.Dom ni Third largest city in Tanzania
 
Hayo ma4 uliyotaja ndio majengo marefu kwako?? πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† hahaaha embu jaribu kuwa seriously mkuu ndio maana kwenye mapato hampo labda list ya ombaomba mtaongoza
Tuwekee list ya majengo marefu kuzidi hayo hapo Uswazini Arusha.
 
Tuwekee list ya majengo marefu kuzidi hayo hapo Uswazini Arusha.
Mkuu maghorofa elfu 7 sio mchezo tukihesab modi ya majengo pekee dodoma tunaipiga kwa mbali hapo bado biashara zingine nyie tulieni mle choya na ubuyu tu
 
Mkuu maghorofa elfu 7 sio mchezo tukihesab modi ya majengo pekee dodoma tunaipiga kwa mbali hapo bado biashara zingine nyie tulieni mle choya na ubuyu tu
Wewe acha stori za uswahili uswahili,weka hapa magorofa marefu ya Arusha tuone kama sio ya serikali.

Hata kwenye hayo 6,000 ,nusu ni ya serikali πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe acha stori za uswahili uswahili,weka hapa magorofa marefu ya Arusha tuone kama sio ya serikali.

Hata kwenye hayo 6,000 ,nusu ni ya serikali πŸ˜‚πŸ˜‚
Umetaja ma 5 sijui 6 ndio ya serikali 7000 mengine yetu sisi raia machalii mkar mtulie na tembe zenu dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…