ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Medeli East karibu na NHC..au ukifika Shoppers Plaza uliza bodaboda akupeleke ni mwendo wa dakika tano tuNaomba kuuliza,Ukumbi wa Mabeyo Complex upo maeneo yapi hapo Dodoma? masare
Nimefuatilia nikaona YouTube.Nitakuwepo hapo siku sio nyingi.Medeli East karibu na NHC..au ukifika Shoppers Plaza uliza bodaboda akupeleke ni mwendo wa dakika tano tu
Ndio ulete dodoma imechangia nini ukiachana na mapato ya Halmashauri kwingine hoi taabani njaa na kula ubuyuHivi wewe umelewa mbege? Vyanzo vya Mapato ya Serikali ni
-Makusanyo ya TRA
-Makusanyo ya Halmashauri
-Makusanyo ya Wizara,Taasisi na Wakala eg Tanapa, Ngorongo,Tume ya Madini nk
-Mikopo
Makusanyo ya TRA 2022/2023 ya Dodoma haya hapa πNdio ulete dodoma imechangia nini ukiachana na mapato ya Halmashauri kwingine hoi taabani njaa na kula ubuyu
Unachekesha sana...Dodoma CC inashika nafasi ya pili both makusanyo ya Halmashauri na TRANdio ulete dodoma imechangia nini ukiachana na mapato ya Halmashauri kwingine hoi taabani njaa na kula ubuyu
ππKuna yule mwenzake Mikdde kila siku anapost picha za Ziwa alafu anakwambia Dom ni ukame,upepo mkali,barabara zote za vumbi,hakuna maji,joto kali ππcc ILAN RAMON Dodoma ni Jangwa hakuna miti πππππ
View: https://youtu.be/tJG714FjIdo?si=MJrcvBb7d6iE1y9P
Dodoma inapendeza hongera. Wakati inaanzishwa CDA miaka ya 70 mwanzoni ilikuwa majengo ya ghorofa yasizidi ghorofa nne kwa kuwa kuna viashilia vya tetemeko pia na water table ipo juu.Mwanza ni ushago Kwa Dom,nyie tupisheni kabisaa
Ni kweli zamani maghorofa marefu Dodoma yalikua hayajengwi kutokana na water table kuwa juu ..ila maendeleo ya sayansi+teknolojia ya ujenzi kwa sasa Dom yanajengwa marefu tu.Dodoma inapendeza hongera. Wakati inaanzishwa CDA miaka ya 70 mwanzoni ilikuwa majengo ya ghorofa yasizidi ghorofa nne kwa kuwa kuna viashilia vya tetemeko pia na water table ipo juu.
Japan yenye matetemeko mengi duniani inajenga hata ghorofa 100 LAKINI chini yake kuna Spring na spring hizo ni aghali,je hayo majengo marefu yaliojengwa Idodomya yamezingatia hilo?
Na kama kuna uvumbuzi wa jambo hilo,kwa miji ya kisasa ulitakiwa nyumba zote zijengwe na serikali,harafu serikali iwauzie au iwapangishe watu ili kulinda ubora,viwango vya miundo mbinu.
Lakini kuruhusu vijumba substandard vioteshwe na kuchukua maeneo makubwa sio kitu sahihi.
Mkuu inapendeza kuona majumba yenye mvuto,lakini mara nyingi wakandarasi ni kubana matumizi hasa majengo ya taasisi za umma.Ni kweli zamani maghorofa marefu Dodoma yalikua hayajengwi kutokana na water table kuwa juu ..ila maendeleo ya sayansi+teknolojia ya ujenzi kwa sasa Dom yanajengwa marefu tu.
Na sifa mojawapo inayotofautisha Dom na miji mingine ni kuwa jamaa wa CDA/Jiji wako very strictly kwenye mipangomiji...yaani ukikosea kujenga hata kama ni ndani ya kiwanja chako hawachukui hata wiki kuja kuweka alama ya "X-BOMOA"(Udom waliwahi kufanya kosa hilo walijenga geti kubwa la chuo bila kuwashirikisha kwanza CDA/Jiji kilichotokea lilibomolewa lote..kwa sasa ndio wamejenga lingine baada ya kufuata utaratibu)Kabla hujajenga ramani zote za ujenzi wa nyumba huwa zinakaguliwa na kupitishwa kwanza.
Kwamfano maeneo ya nyuma ya gereza la Isanga kule mlimani kama unaelekea tanesco nyumba za makazi zinazotakiwa kujengwa ni maghorofa tu .
Una akili sawa sawa wewe? Unaleta data za miaka5 iliyopita kwanin?Unachekesha sana...Dodoma CC inashika nafasi ya pili both makusanyo ya Halmashauri na TRA
Jiji la Dodoma laongoza tena kwa mapato nchini
Halmashauri zote zakusanya Bilioni 449 Mapato Ya Ndani IKIWA imepita robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2018/2019, Halmashauri zote nchini zimekusanya Sh. bilioni 449.8 ambayo ni asilimia 61 kati ya Sh. bilioni 735.6 zilizotarajiwa kukusanywa kutoka kwenye vyanzo vya ndani huku Halmashauridodomacc.go.tz
Mambo yanazidi kunoga ndani ya Dom the Capital City πUna akili sawa sawa wewe? Unaleta data za miaka5 iliyopita kwanin?