Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma ni nguvu ya soda haitaikuta Arusha hadi mwisho wa Dunia 😄😄 🤣 😂 ngojeni serikali imalizane na ujenzi wa mji wake. dodoma iko mkiani kwa umaskinii
 
Tangulini ujenzi wa mji Mkuu ukaisha unachekesha sana...nenda kaangalie Abuja,Ankara,Brasilia,Yamoussoukro, n.k kama wameshamaliza kuijenga hiyo miji mikuu. Utaendelea kujifariji kila siku ila ukweli Arusha kwa sasa haifiki hata nusu ya Dom City ...kitu pekee Arusha inachozidi Dom ni sekta ya utalii basi
 
Dodoma ni nguvu ya soda haitaikuta Arusha hadi mwisho wa Dunia 😄😄 🤣 😂 ngojeni serikali imalizane na ujenzi wa mji wake. dodoma iko mkiani kwa umaskinii
Siku mkifika level hii ya Dom unitag 👇👇
Screenshot_20240503-043218.jpg
 
Kama hali ya hewa mbaya inakuaje tena wanaongoza Tanzania nzima kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Mtama,Uwele,Mbaazi,Tende,Rosella,Nafaka.Tangu lini hali ya hewa mbaya ikasapoti kilimo😀😀😀
Hivyo vilimo ni vya kustawi kwenye hali ya hewa kame we jamaa.
I wonder kama umesoma hata agriculture.
 
Dodoma kuna joto....na Dar Es Salaam nao wasemaje😀😀😀.Hali ya hewa ya Dodoma ni moderate sio joto wala sio baridi ila kwenye miezi ya kiangazi kuanzia Mei hadi Oktoba baridi ni kali sana kama Arusha
Baridi la Arusha huwezi fananisha na la Dodoma we jamaa.
Arusha baridi lake exceptional.
Degree celsius za baridi la Aru hazifanani na Dom.
 
Yes Arusha ni baridi throughout mwakamzima lakini Dodoma pia hali ya hewa kuna miezi ya baridi kali kama Arusha especially kuanzia Mei,June,July hadi Agosti. Kwahiyo huwezi kusema hali ya hewa ya Dom ni joto mwakamzima hapana inabidi ugawe vipindi vya baridi na joto
 
Acha kuketa maneno kutoka kwa matejoo, kwani mimi nashindwa kuandika mazuri kuhusu dodom na nikaleta humu, Dodoma ilishawanyea toka mwaka juzi, size yenu ni sumbawanga na mbeya city.
Dodoma labda ije kuipiku Arusha baadae ila sio sasa.
Dodoma bado saanaaa na huu ukuaji wake unaolazimishwa na serikali ipo siku utakuja kukwama.
Huwezi fananisha Arusha na Dodoma bro,Arusha iko mbali sanaaaa zaidi ya Dodoma.
Nimetembea Swaswa,Chamwino,Ipagala na maeneo mengine ya jiji la Dodoma nimejiona kama natembea Temeke kwa Azizi Ally kuja Keko maduka mawili.
Bado sana na barabara za Dom zina viraka kibao aisee.
 
..ebu kuwa serious kidogo aisee hivi kuna Jiji lolote Tanzania linaloikaribia Dodoma hata nusu kwa mtandao mpana wa barabara za lami mtaani. Dodoma ukwame wapi lami tupu kila sehemu.Dodoma CBD yote ni full lami...barabara za vumbi ni za kuhesabu tena ni zile ambazo zipo maeneo ya nje ya mji.
Kiukweli ule mji unapendelewa sana na serikali barabara za lami zinajengwa mitaani kilasiku.
Just imagine mradi wa ring road unajengwa kwa kiwango cha lami (zaidi ya kilometres 110)....tangu tupate uhuru hakuna barabara ndefu ya lami(ndani ya mji) imewahi kujengwa inayofikia km 110
 
Weeeeh!Weeeh!Weeeh!
Mie nimefika Dodoma nenda katembelee Kigamboni Dodoma MITAA YAKE YOTE HAINA LAMI HATA KIDOGO.
Nenda na Ipagala au kiurahisi anzia pale WINNERS kuja huku Ipagala ingia mitaani kama utakuta kuna Lami!
Ni vumbi tupu,na barabara za Dodoma mjini hazina hata ubora nyingi zimepachuka pachuka.
Kwa kujibu hilo Dar sasa hivi ina mtandao mpana wa lami mitaani kuliko Dodoma.
Pita CBD yote ya Dar kuanzia Kariakoo na viunga vyake,Posta(mpya na Zamani),Ilala uone kama kuna vumbi.
Nenda na CBD ya Morocco/Victoria uone mtandao wa Lami mitaani pia.
Dodoma nimetoka juzi tu hapo bro,Dodoma bado ipeni muda.
 
Dom barabara zote main roads ni lami tupu,barabara zote city center ni lami tupu,barabara zote za kuifikia mitaa kwa daladala ni lami tupu hadi ndani ndani huko Nkuhungu n.k.
Hizo za vumbi unazoongelea ni street roads.
 
Unaruka ulichokisema mkuu!?
Si ulisema Dodoma city kuna mtandao wa barabara hadi mitaani/street roads!?
Tuachane na hilo.
Mbona hata Tabora sasa hivi kuna mtandao mkubwa wa barabara na mainroad zote zimeunganishwa na mtandao wa barabara mkuu!?
Unachokieleza hapo kuhusu barabara mikoa mengine kinafanyika.
Dodoma hii inakua hatukatai TENA INAKUA SANA ila tuipe muda kaka musianze ipaisha sasa hivi.
Ipeni walau miaka 5 mbele kwanza.
Munawahi sana kuipamba.
 
Unachekesha sana...Dodoma CC inashika nafasi ya pili both makusanyo ya Halmashauri na TRA

Dodoma kwako ni cc pekee sio mkoa na wilaya zake?
 
Huko shule ulienda kusoma ujinga eti....ndiomana huwa nakwambia uende Facebook ukabishane humu hupawezi😆😆....title ya thread ni Dodoma CC vs Arusha CC sio Dodoma RC vs Arusha RC.
Kama vp anzisha thread mpya ya kushindanisha mkoa wa Dodoma (wenye halmashauri 8) vs mkoa wa Arusha (na halmashauri zake 7)
 
Kanyaga twende Dom Hadi waombe poo 👇👇

View: https://twitter.com/TanzaniaInvest/status/1785694130707812700?t=NOduEYoejyz9E7x6J5Ln-g&s=19

ILAN RAMON Aione kwenye jalada
 
Back
Top Bottom