Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

dodoma inaendeshwa na fedha za serikali, inabamba mwisho wa mwezi......Arusha inaendeshwa na wafanyabiashara hasa wa tours na madini , UKIWA DODOMA KAMA SIO MFANYAKAZI TENA WA SERIKALI NI TAABU TUPU
 
dodoma inaendeshwa na fedha za serikali, inabamba mwisho wa mwezi......Arusha inaendeshwa na wafanyabiashara hasa wa tours na madini , UKIWA DODOMA KAMA SIO MFANYAKAZI TENA WA SERIKALI NI TAABU TUPU
Pesa za Serikali ndio pesa gani? Arusha inaendeshwa na Utalii siku ukibuma wote mnalala njaa

Mwisho Bila Serikali hapo Arusha ingekuwa Kijiji kama Samunge tuu
 
Pesa za Serikali ndio pesa gani? Arusha inaendeshwa na Utalii siku ukibuma wote mnalala njaa

Mwisho Bila Serikali hapo Arusha ingekuwa Kijiji kama Samunge tuu
Nje ya majengo ya serikali hamna kitu Dodoma, ndio maana nakwambia DODOMA ni kwa mfanyakazi wa serikali tu.Ni biashara gani iliyoko Dodoma inayovuta pesa toka nje ya Dodoma zaidi ya mtawanyo wa fedha za serikali? Utakuchukuwa muda kuelewa ikiwa huamini chanzo cha mzunguko wa fedha ndio jambo muhimu katika mji woote
 
Kama hamna kitu how comes Maelfu wanahamia Dom? Wanafuata nini? Kushangaa Bunge au? 😁😁

Pili Kwa hiyo Wafanyakazi 25,000 wa Serikali ndio wanaoendesha Jiji la watu wengi kushinda Arusha? Kwa hiyo hao ndio wanazalisha Mapato ya Jiji zaidi ya Bilioni 45?

Basi kama ndio hivyo ni jambo zuri sana maana hakuna siku wafanyabiashara wataondoka Dom ila Kuna siku Utalii utabuma Arusha itakuwa kama Samunge village 😁😁😁😁

Arusha yote imejaa majengo ya Serikali 🤣🤣
 
Daily dosege from Dodoma City.

8/8 International Agricultural Exhibition Ground

View: https://youtu.be/55l2y4uIaUY?si=ruPYTew3OS_pIF4l
Screenshot_20240604-210518.jpg
Screenshot_20240604-210529.jpg
Screenshot_20240604-210540.jpg
Screenshot_20240604-210553.jpg
Screenshot_20240604-210604.jpg
Screenshot_20240604-210648.jpg
Screenshot_20240604-210811.jpg
Screenshot_20240604-210840.jpg
Screenshot_20240604-210857.jpg
Screenshot_20240604-210908.jpg
Screenshot_20240604-210938.jpg
Screenshot_20240604-210952.jpg
Screenshot_20240604-211003.jpg
Screenshot_20240604-211015.jpg
Screenshot_20240604-211032.jpg
Screenshot_20240604-211048.jpg
Screenshot_20240604-211210.jpg
Screenshot_20240604-211222.jpg
 
Back
Top Bottom