Weeeeh!Weeeh!Weeeh!
Mie nimefika Dodoma nenda katembelee Kigamboni Dodoma MITAA YAKE YOTE HAINA LAMI HATA KIDOGO.
Nenda na Ipagala au kiurahisi anzia pale WINNERS kuja huku Ipagala ingia mitaani kama utakuta kuna Lami!
Ni vumbi tupu,na barabara za Dodoma mjini hazina hata ubora nyingi zimepachuka pachuka.
Kwa kujibu hilo Dar sasa hivi ina mtandao mpana wa lami mitaani kuliko Dodoma.
Pita CBD yote ya Dar kuanzia Kariakoo na viunga vyake,Posta(mpya na Zamani),Ilala uone kama kuna vumbi.
Nenda na CBD ya Morocco/Victoria uone mtandao wa Lami mitaani pia.
Dodoma nimetoka juzi tu hapo bro,Dodoma bado ipeni muda.