Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Bado ntaendelea kusisitiza kujenga mji mtumba ilikua kosa kubwa sana kwa mipango miji mji ungetakiwa uwe mjini pale pale ili kuleta city vibrancy hata mjeruman alivoplan dar ofisi za serikali zilikua posta same na nairobi na kwingineko
Hii ndio sababu pekee dodoma haitaifikia arusha kwa mzunguko ila itaizidi mwanza๐Ÿ˜‰
Ukitaka kuamini subiri watumishi waanze kuhamia mtumba uone city center itakavopoa hata tanga kilichoiua ni kuplan Sana mji kuwa mkubwa bila kucalculate una idadi ya watu kiasi gani
Mzunguko city center utakufa kwa udogo wa mji wa dodoma huwezi tegemea mtumba pawe na vibe na city center pawe pamoto
Yan mnaacha kuondoa vile vibanda city center mlipe fidia watu mtengeneze mji mzur mnaenda kupotezea hela uko mtumba ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Afu miji ya skuiz inaenda juu sio kutanuka kama mikeka๐Ÿ˜‚
 
Bado hujasema ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://youtu.be/EqInoIGZMxg?si=IwdNpJJhC-V2m-XL
 
Dubai,Cairo,Tel Aviv,Windhoek wapo jangwani na ni mojawapo ya majiji yanayoongoza kwa ubora+utalii duniani ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Ndio kitu pekee wamesalia kujifariji nacho ,eti Jangwani kana kwamba huko msituni wanakula majani na miti ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Shida kubwa ya maskini ni kutokujua wapi pa kuwekeza hela รฌli kupata hela nyingi zaidi + chuki kwa wale walioonyesha njia ya kuikomboa jamii yao
Nlitegemea wote tungeungana kupigania arusha iwe na miundombinu world class ili kuongeza utalii wa nchi yetu ambapo pato hilo hilo litawasaidia na nyie dodoma tunainvest kwenye useless projects ๐Ÿ˜‚ leo hii Mauritius ndio nchi tajiri afrika kwa maisha bora na wanategemea utalii tu
Aya bhana Arusha hiyo kwa wale mnaofikiaga ungalimited na ngarenaro sio Brazil ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท amazon forest wala๐Ÿ˜‰

View: https://www.instagram.com/reel/C1cs40qtNBd/?igsh=cWlneXh0NGd0eHN3
 
Lushoto kuna greenery nzuri zaidi plus hali ya hewa nzuri zaidi kama Ulaya vile.....vp kwanini tusi-invest huko๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.Hali ya hewa+natural feature sio kigezo cha kupima ubora wa mji...ingekua miji inapimwa kwa ubora wa hali ya hewa basi miji ya Tukuyu, Lushoto,Mafinga,Njombe,Makete ingeongoza Tanzania na ingeshapewa hadhi ya Jiji tangu zamani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Eti hali ya hewa !? kwa vile wamazoea kushinda na makoti kama bodaboda , mmi binafsi nimefika miji kama yote yenye hali za ubaridi wanayoita hali ya hewa nzuri ...Kiukweli sijapenda kuishi huko maana noana vinyonga kila kona watu wamepooza labda ile hali hewa kama Mwanza ndio safi.

Kwa kweli mimi nishazoea joto ukinipeleka kweny baridi au mvua sina ujanja tena .
 
Hivyo ulivyo vitaja ni majiji au vijiji๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Najua ukweli unaujua ila unajitoa ufahamu tu
Alafu nan kakuambia hali ya hewa nzuri maana yake baridi kali๐Ÿ˜€
Hakuna jiji lenye hali ya hewa nzuri kama arusha
Ndio favourable destination ya conferences zote za kimataifa
Location ya Arusha ipo siku itakua ni safari destination sio tu ya Africa
Arusha soon inaenda kuwa safari capital of the world
Unadhan hiyo agenda ya serikali kuleta watalii million 5 inautegemea mji gani kama sio Arusha na zanzibar
Ukiiongelea Arusha unaiongelea tourist package ya utalii wote unaofanyika Tanzania bara๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Endelea kuumia
NB: Licha ya kuwa na miundombinu duni Arusha ndio mkoa wa pili by far kwa makusanyo mengi nchini ๐Ÿ’Š

View: https://www.instagram.com/p/CqH2OS7IGVl/?igsh=dmpmdGlmY3k3anVt
 

Usifananishe Dodoma na vitu vya ovyo kama kwa mrombo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ