ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hujasema 👇👇Bado ntaendelea kusisitiza kujenga mji mtumba ilikua kosa kubwa sana kwa mipango miji mji ungetakiwa uwe mjini pale pale ili kuleta city vibrancy hata mjeruman alivoplan dar ofisi za serikali zilikua posta same na nairobi na kwingineko
Hii ndio sababu pekee dodoma haitaifikia arusha kwa mzunguko ila itaizidi mwanza😉
Ukitaka kuamini subiri watumishi waanze kuhamia mtumba uone city center itakavopoa hata tanga kilichoiua ni kuplan Sana mji kuwa mkubwa bila kucalculate una idadi ya watu kiasi gani
Mzunguko city center utakufa kwa udogo wa mji wa dodoma huwezi tegemea mtumba pawe na vibe na city center pawe pamoto
Yan mnaacha kuondoa vile vibanda city center mlipe fidia watu mtengeneze mji mzur mnaenda kupotezea hela uko mtumba 😀😀
Afu miji ya skuiz inaenda juu sio kutanuka kama mikeka😂
Dubai,Cairo,Tel Aviv,Windhoek wapo jangwani na ni mojawapo ya majiji yanayoongoza kwa ubora+utalii duniani 😀😀Pazuri sana sema hivi serikali yetu haionagi umuhimu wa kupanda miti?????? Kama jangwani my friend
Ndio kitu pekee wamesalia kujifariji nacho ,eti Jangwani kana kwamba huko msituni wanakula majani na miti 🤣🤣Dubai,Cairo,Tel Aviv,Windhoek wapo jangwani na ni mojawapo ya majiji yanayoongoza kwa ubora+utalii duniani 😀😀
Lushoto kuna greenery nzuri zaidi plus hali ya hewa nzuri zaidi kama Ulaya vile.....vp kwanini tusi-invest huko😀😀.Hali ya hewa+natural feature sio kigezo cha kupima ubora wa mji...ingekua miji inapimwa kwa ubora wa hali ya hewa basi miji ya Tukuyu, Lushoto,Mafinga,Njombe,Makete ingeongoza Tanzania na ingeshapewa hadhi ya Jiji tangu zamani😂😂😂greenery
Eti hali ya hewa !? kwa vile wamazoea kushinda na makoti kama bodaboda , mmi binafsi nimefika miji kama yote yenye hali za ubaridi wanayoita hali ya hewa nzuri ...Kiukweli sijapenda kuishi huko maana noana vinyonga kila kona watu wamepooza labda ile hali hewa kama Mwanza ndio safi.Lushoto kuna greenery nzuri zaidi plus hali ya hewa nzuri zaidi kama Ulaya vile.....vp kwanini tusi-invest huko😀😀.Hali ya hewa+natural feature sio kigezo cha kupima ubora wa mji...ingekua miji inapimwa kwa ubora wa hali ya hewa basi miji ya Tukuyu, Lushoto,Mafinga,Njombe,Makete ingeongoza Tanzania na ingeshapewa hadhi ya Jiji tangu zamani😂😂😂
Hivyo ulivyo vitaja ni majiji au vijiji😂😂Lushoto kuna greenery nzuri zaidi plus hali ya hewa nzuri zaidi kama Ulaya vile.....vp kwanini tusi-invest huko😀😀.Hali ya hewa+natural feature sio kigezo cha kupima ubora wa mji...ingekua miji inapimwa kwa ubora wa hali ya hewa basi miji ya Tukuyu, Lushoto,Mafinga,Njombe,Makete ingeongoza Tanzania na ingeshapewa hadhi ya Jiji tangu zamani😂😂😂
Kwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha.
Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa mbali kiasi kwamba machalii wa Chuga hawaelewi wahame au wasalie licha ya Serikali.
Serikali inajaribu kupambana Ili kuhakikisha hadhi ya Arusha kama kitovu Kikuu Cha Utalii haipokwi Kwa kufufua ujenzi wa Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano KICC,jengo la PAP,Makao Makuu ya Mahakama ya Africa ya Haki,Makao Makuu ya EAC na Baraza la michezo.
Hata hivyo Jiji la Didoma limeibuka Kwa Kasi na kuwa Jiji kubwa na la 3 Kwa wingi wa watu baada ya Dar na Mwanza kufuatia Msukumo mkubwa ukiofanywa na Hayati Magufuli Kwa Serikali kuhamia Dodoma na kuwasha mwenge wa ujuaji wa Jiji.
Dodoma Sasa ni kama kiwanda kikubwa ,Kimaoato Dom imeipiku Arusha na Mwanza just to rival Dar.Kwa maoni Yangu Baada ya Dar Jiji la ukweli Kwa Sasa ni Dodoma..
Dodoma City
View attachment 2726195
View attachment 2685450
View attachment 2685401View attachment 2685403
Arusha City
View attachment 2685446
View attachment 2685411View attachment 2685412View attachment 2685683