Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Data zote kuhusu dodoma ni za mchongo ili kuipa uimara mji wetu mkuu uonekane nao umo πŸ˜‚
Na ujenzi wa majengo na mabarabara ni kujaribu kutengeneza taswira feki ili ionekane ni mji wenye shughuli nyingi lakini kiuhalisia dodoma iko nyuma sana ya arusha wala sio miaka 30 tu ni zaidi
Ukianzia kwenye idadi ya watu hao watu 700k ilionao dodoma wamehesabiwa kwenye ukubwa wa kmsq 2500 huu ni mchongo wa wazi waziπŸ˜ƒπŸ˜ƒ kama miji kama dubai, nairobi au hata joberg hazina ukubwa wa kmsq hata 700 iweje dodoma ihesabiwe kwenye 2500πŸ˜€πŸ˜€ jokes! Inamaanisha maeneo mengine yaliyohesabiwa sio urban settlement bali ni rural settlement mwanza City ina 200+sqkm, arusha 200+ mbeya 200+sqkm iweje dodoma iwe 2500? Yani mara kumi zaidi??
Hii ni kuitengenezea data feki ili wananchi wa maeneo mengine wasihoji kwanini kila kitu ni dodoma wakijua kuwa dodoma ni jiji la 3 huku kiuhalisio sio
Kama Arusha ingechukuliwa eneo la dodoma ni uhakika wa watu 1.5million mara mbili ya watu walioko dodoma
Hii haihitaji hata sayansi fika arusha mjini ulinganishe idadi ya watu na dodoma mjini jibu utabaki nalo
Kuhusu makusanyo mnachukulia ndio kabisa Arusha inakusanya zaidi ya mara 3 ya dodoma
Majengo ya ghorofa ndio kabisa pamoja na kuwa sensa ilifanyika wakati mji wa kiserikali umeshaanza kujengwa arusha bado inaizidi dodoma maghorofa zaidi ya mara tatu nyuma tu ya Dar kuonyesha hali ya kiuchumi ya wananchi
We huogopi!🀣
πŸ“Έ Arusha

View: https://www.instagram.com/p/CqGl9zLIQvu/?igsh=NXA5bXl4OGx4bzZ0
 

View: https://www.instagram.com/p/C-Ae4-ENfY_/?igsh=YXhmNjBudG9temZo
 
Majengo ya ghorofa ndio kabisa pamoja na kuwa sensa ilifanyika wakati mji wa kiserikali umeshaanza kujengwa arusha bado inaizidi dodoma maghorofa zaidi ya mara
Sensa ya maghorofa ni ya mkoa mzima sio mji (regional wise not city wise) ...ukifika Dom City ndio utaelewa Dom ipo level nyingine. UDOM plus Iyumbu pekeyake kuna maghorofa zaidi ya 200 ,hapo bado sijakutajia ya Magufuli City,Njedengwa Investment Area,Tambukareli,Kisasa,Uzunguni,Area D,City Center n.k
 
Hii haihitaji hata sayansi fika arusha mjini ulinganishe idadi ya watu na dodoma mjini jibu utabaki nalo
Kuhusu makusanyo mnachukulia ndio kabisa Arusha inakusanya zaidi ya mara 3 ya dodoma
Naona unajaribu kubishana na Takwimu....halafu kwa kukusaidia tu population kubwa sio kigezo cha kupima ubora wa mji. Unajua idadi ya watu wa Vatican City,au Luxembourg City au Miami au Windhoek au Monaco City...hii miji inakaliwa na population chini ya 400k lakini ina ubora wa mipangomiji+miundombinu na ni maarufu duniani kote.

 
Majengo ya magorofa ambayo yalikuwa hayajakamilika hayakuwekwa kwenye orodha ya magorofa Bali majengo yanayoendelea na ujenzi.

Pamoja na kwamba Arusha Ina Magorofa mengi zaidi next to Dar ila Kwa Sasa Kasi ya ujenzi wa majengo mengi Iko Dodoma na sio Arusha.

Ndio maana hata kwenye Mapato ya Jiji ,Dodoma HQ ni next to Dar ndio nyie wengine wa Mikoani mnafuata.

Mfano mwaka 2023/24 Dom imekusabya over 51.4 bln ,Arusha hata Bil.35 hamjafika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Huko ni miaka ya nyuma,current statistics za Mapato ya Jiji ni hizi hapa ,over 51 bln πŸ‘‡πŸ‘‡
 
🀣🀣 Ni wivu Kwa sababu anajua Mwanza Kwa Dom ni takataka,View attachment 2685498
Kuna maswali mengi huwa najiulizq nikionaga hizi nyumba,hivi hawa waliojenga nyumba kule juu kabisa wanapataje usingizi especially mvua ikinyesha nyumba haiwezi ikaporomoka kweli?kingine najiuliza wanafyagiaje uwanja?kingine najiuliza pakiwa na shughuli yoyote kama ya msiba au harusi pale wageni wanakaaje majamvi yatakaaje?maswali ni mengi mno hayawezi kuisha
 
Huko ni miaka ya nyuma,current statistics za Mapato ya Jiji ni hizi hapa ,over 51 bln πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 3056621
Hayo sio mapato ni makusanyo ya halmashauri na unajua wizara na ofisi kuu karibu zote ziko dodoma obviously makusanyo yao yawe makubwa yani hapo unaongelea hadi parking za magari najua unaelewa usijitoe ufahamu 😁 mkoa wa arusha ndio wa pili nyuma ya dar kwa mapato na makubwa yakitoka arusha jiji mkoa wa dodoma hata top 5 haipo inazidiwa hadi na kilimanjaro
 
Sasa wewe unadhani kwa mkoa wa arusha longido au ngorongoro wamasai wanapohamishwa kuna maghorofa ganiπŸ˜„πŸ˜„ asilimia kubwa ya maghorofa yako jiji
 
Hivi vyote vilipaswa kujengwa mwanza
Kitu ambacho jiwe hakujua pamoja na kuipenda sana mwanza ni kuwa dodoma ikipitishwa kuwa capital city ya kudumu na bunge ni kuwa ndio imekua officially the main city
Sasa hapo awali dar ndio ilikua main city na mwanza ikawa second city
Kilichotokea sasa hivi second city imekua ni darπŸ˜€πŸ˜€
Chuo na kiwanda cha tehama kilikua kijengwe mwanza sasa kitajengwa dodoma
Uwanja na arena sasa vitajengwa dodoma
Si ajabu hata msalato ikawa International Airport kabla ya mwanza haijakamilikaπŸ˜„πŸ˜„
Sisi arusha hatujawah kuwa kwenye hizo ligi zenu before
Arusha na zanzibar ni sehemu special kwa ajili ya utalii wa nchi yetu
Nikurekebishe hapo arusha haishindani na dar arusha ni bora mara elfu zaidi ya dar kuanzia manthari, weather, social services, attractions etc au unadhan uzuri ni foleni, joto, uchafu na misongamano?na si arusha tu hata moshi na iringa ni nzuri kuliko dar nchi za dunia ya 3 ni ngumu sana kufanya mji wenye idadi kubwa ya watu kuwa msafi na kutokua na misongamano kama dubai ili kufanya uwe bora ni gharama sana mfano useme dar ili iwe nzuri ni bajeti kubwa mno itatumika kwahio ule ni mji wa utaftaji chief hauna uzuri wowote bahari hata lindi ipoπŸ˜ƒ
 
Arusha na Mwanza Bado hamjasema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C-C_yvgIQaH/?igsh=bGxmZDFmd3Q5OTVn
My Take: Aliwajengea daraja wakapige picha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa wewe unadhani kwa mkoa wa arusha longido au ngorongoro wamasai wanapohamishwa kuna maghorofa ganiπŸ˜„πŸ˜„ asilimia kubwa ya maghorofa yako jiji
Naunga mkono hoja,Ukiacha Mbeya,Pwani na Morogoro,,Mikoa mingine yote maendeleo Yako mjini tuu hapo yaani Kila kitu ni mjini huko mawilauani ni kama uko Dunfur Vijijini πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…