Data zote kuhusu dodoma ni za mchongo ili kuipa uimara mji wetu mkuu uonekane nao umo 😂Kwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha.
Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa mbali kiasi kwamba machalii wa Chuga hawaelewi wahame au wasalie licha ya Serikali.
Serikali inajaribu kupambana Ili kuhakikisha hadhi ya Arusha kama kitovu Kikuu Cha Utalii haipokwi Kwa kufufua ujenzi wa Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano KICC,jengo la PAP,Makao Makuu ya Mahakama ya Africa ya Haki,Makao Makuu ya EAC na Baraza la michezo.
Hata hivyo Jiji la Didoma limeibuka Kwa Kasi na kuwa Jiji kubwa na la 3 Kwa wingi wa watu baada ya Dar na Mwanza kufuatia Msukumo mkubwa ukiofanywa na Hayati Magufuli Kwa Serikali kuhamia Dodoma na kuwasha mwenge wa ujuaji wa Jiji.
Dodoma Sasa ni kama kiwanda kikubwa ,Kimaoato Dom imeipiku Arusha na Mwanza just to rival Dar.Kwa maoni Yangu Baada ya Dar Jiji la ukweli Kwa Sasa ni Dodoma..
Dodoma City
View attachment 2726195
View attachment 2685450
View attachment 2685401View attachment 2685403
Arusha City
View attachment 2685446
View attachment 2685411View attachment 2685412View attachment 2685683
Na ujenzi wa majengo na mabarabara ni kujaribu kutengeneza taswira feki ili ionekane ni mji wenye shughuli nyingi lakini kiuhalisia dodoma iko nyuma sana ya arusha wala sio miaka 30 tu ni zaidi
Ukianzia kwenye idadi ya watu hao watu 700k ilionao dodoma wamehesabiwa kwenye ukubwa wa kmsq 2500 huu ni mchongo wa wazi wazi😃😃 kama miji kama dubai, nairobi au hata joberg hazina ukubwa wa kmsq hata 700 iweje dodoma ihesabiwe kwenye 2500😀😀 jokes! Inamaanisha maeneo mengine yaliyohesabiwa sio urban settlement bali ni rural settlement mwanza City ina 200+sqkm, arusha 200+ mbeya 200+sqkm iweje dodoma iwe 2500? Yani mara kumi zaidi??
Hii ni kuitengenezea data feki ili wananchi wa maeneo mengine wasihoji kwanini kila kitu ni dodoma wakijua kuwa dodoma ni jiji la 3 huku kiuhalisio sio
Kama Arusha ingechukuliwa eneo la dodoma ni uhakika wa watu 1.5million mara mbili ya watu walioko dodoma
Hii haihitaji hata sayansi fika arusha mjini ulinganishe idadi ya watu na dodoma mjini jibu utabaki nalo
Kuhusu makusanyo mnachukulia ndio kabisa Arusha inakusanya zaidi ya mara 3 ya dodoma
Majengo ya ghorofa ndio kabisa pamoja na kuwa sensa ilifanyika wakati mji wa kiserikali umeshaanza kujengwa arusha bado inaizidi dodoma maghorofa zaidi ya mara tatu nyuma tu ya Dar kuonyesha hali ya kiuchumi ya wananchi
We huogopi!🤣
📸 Arusha
View: https://www.instagram.com/p/CqGl9zLIQvu/?igsh=NXA5bXl4OGx4bzZ0