Dom HQ π₯ π₯ π πBado hamjasemaView attachment 3221998
Kwa Dom Arusha & Mwz mtasubiria sana ππBado hamjasemaView attachment 3221998
New CBD in the making.
Dom HQ awamu ya pili ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DFx6ExXt1Ra/?igsh=YTBiZHM1eXU2d2ln
Watakuwa wanaenda MwanzaView attachment 3229441
Wageni mbona hawaendi Dodoma πππ
Bado hujanenaWatakuwa wanaenda Mwanza
Bado hamjasemaView attachment 3221998
Dodoma pamoja na kupewa hadhi ya kuwa jiji na JPM na kupelekewa majengo ya kimkakati bado tu ni ya kawaida kuishindanisha na Arusha
Ukawaida wa Dom ndio kama huu au Kuna mwingine? ππDodoma pamoja na kupewa hadhi ya kuwa jiji na JPM na kupelekewa majengo ya kimkakati bado tu ni ya kawaida kuishindanisha na Arusha
Hii imeua makelele yote ya wale haters ππππ