Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

16 Floors NSSF Dodoma Tower

5 Star Hotel & Commercial Complex

About 150bln to be used

View: https://www.instagram.com/p/DDzjGL9vAFs/?igsh=MTViNXRxcjRldHQ4bQ==

View: https://youtu.be/X6gaZ2kliUE?si=Sz2t1NcLtPuWOvj3
Screenshot_20241220-230226.jpg
Screenshot_20241220-225914.jpg
 
Wewe una chuki na Mwanza ngoja nikuache maana naona unaweza itukana na serikali inayo itambua Mwanza ni jiji la pili na linalo kua kwa Kasi nyuma ya Dar
Wewe si ndio umeanza kulinganisha hotel arusha na mwanza tukikuambia ukwel unasema tunachuki mkuu
Ukwel ni kuwa arusha imeizid mwanza factors zote za maendeleo
Mwanza imeizid arusha vitu kama stendi, madaraja na masoko na hilo hamna aneyelipinga
Lakin swala la maendeleo ni mbingu na ardhi 😄
 
Acha kubwabwaja kama kuku anayetaka kutaga, Arusha nje ya utalii ina kipi cha kuizidi Mwanza? Kwa uchumi Arusha ziwe tatu ndio zinafikia uchumi wa Mwanza, huduma za kijamii kulingana na sensa mlikaa, kuanzia mashule, vituo vya kutolea huduma za afya, ukija kwenye ukuaji wa mji Mwanza ndio inaongoza kwa kuwa na majenzi mengi Tanzania, njoo kwenye idadi ya watu yaani population bado mmekaa, mmebakiza kujitetea kwenye mapato ya TRA ambayo 70% zinaokana na ngoroongoro na serengeti nayo ni direct tax za wazungu na wageni nyinyi wavuta ngada wa arusha hamna mnachochangia,ukiangalia Mwanza mapato yote yanatoka kwa wakazi wa Mwanza.
 
Nilikua nakusubiri wewe tu mkali wao😄
Hiv serengeti kwani ipo arusha tena
 
Wewe si ndio umeanza kulinganisha hotel arusha na mwanza tukikuambia ukwel unasema tunachuki mkuu
Ukwel ni kuwa arusha imeizid mwanza factors zote za maendeleo
Mwanza imeizid arusha vitu kama stendi, madaraja na masoko na hilo hamna aneyelipinga
Lakin swala la maendeleo ni mbingu na ardhi 😄
Kwani maendeleo ni nini tuanzie hapo kwanza
 
Dodoma bado saaaana, Ila Magufuli aliipambania sana
Tulishazirusha mda tu we umevamia thread mmepitwa wingi wa maghorofa, makusanyo ya TRA, miamala ya simu
hadi idadi ya vingamuzi yan mwanza ni lidude likubwa empty 😄
 
Msiwaonee wivu wanakuja vizuri wameanza na mipango miji dodoma mitaa yote inapendeza funzo kwetu arusha, mwanza na hata mbeya
Kila siku Dodoma kuna mradi mpya unatangazwa na haitaishia hapa kila bajeti utaskia kuna jambo jipya Dodoma
Na Dodoma haikuwekwa mji mkuu na Magufuli ni tangu enzi za Nyerere huko
Magufuli sio mtu wa dodoma kwamba anafaidika napo
Alichokifanya nikutekeleza jambo lililopaswa kufanyika miaka 50 iliyopita akalifanya yeye na sio kuamia Dodoma tu hata Bwawa la Mwalimu Nyerere la umeme mpango ulikuwepo kwa miongo mingi ila yeye akatekeleza kwahiyo mwamba alikua mtekelezaji mzuri asiyependa mambo kucheleweshwa kwa hilo nampa kongole
Na kuamia Dodoma ni faida kubwa sana kwa nchi hamjui tu
NB: Shida moja tu ninayoiona ni serikali kurudia makosa yaleyale ya Daresalaam kulundika kila kitu Dodoma pamoja na kuwa Dodoma ni makao makuu unajengaje km220 barabara zisizo hata na mahitaji zingeweza kusubiri wakati miji mingine wanashida na km20 tu, Arusha tuna barabara inahitajika kupanuliwa ya km9 tu kuelekea airport tangu kipind cha kikwete ni danadana tu sasa hiv mipango miji wote ni Dodoma tu
Rai yangu tusiue miji mingine ili Dodoma ionekane inastawi miji mingine inaweza ikaboreshwa na Dodoma ikastawi vile vile
 
Tulishazirusha mda tu we umevamia thread mmepitwa wingi wa maghorofa, makusanyo ya TRA, miamala ya simu
hadi idadi ya vingamuzi yan mwanza ni lidude likubwa empty 😄
Dodoma masikini ni wengi mnoooo
 
Back
Top Bottom