Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

kwa dodoma hii amayo licha ya kuwa makao makuu bado asilimia 90 ya mikutano inafanyika arusha🤣
Mikutano ipi isiyofanyika Dodoma😀😀....Mikutano yote ya Bunge inafanyika Dodoma,Mikutano ya Baraza la Mawaziri Dodoma,Mikutano ya Chama(CCM) yote Dodoma,Mikutano ya taasisi za kiserikali Dodoma,Mikutano ya idara za Wizara yote Dodoma n.k
 
Umekosea sana na list yako ya kujitungia kichwani, List ni
1.Dar
2.Arusha
3.Zanzibar
4. Dom
5.Mwanza
6.Mbeya
Arusha na zanzibar ni miji ya utalii kwa siku nyingi imejiimarisha katika kodi na mchango wake kwa taifa, dodoma kuwa makao makuu imeifanya mwanza kupoteza hadhi yake ya kuwa mji wa pili kwa umuhimu hasa kwa matukio au miradi ya kiserikali kama dodoma ikiendelea hivi mbeleni itaishusha arusha na zanzibar kama utalii utadorora angalau miaka itachukua miaka 20 hadi 30 lakini kama utalii utaimarika ni ngumu kwa dodoma kuifikia arusha au zanzibar, wingi wa watu umeifanya mwanza kuipiku mbeya na kukaa namba 6 lakini pia ukuwaji wa miji ya kibiashara kama geita katoro na kahama kumeipunguzia umuhimu mwanza uliokua nao
NB: Kujengwa majengo mengi na miundombinu kwa muda mfupi imefanya watu wengi wa dodoma kuhisi wameshafika level za arusha au zanzibar 😄 hizo ni ndoto za abunuasi
Kama mwanza imekua mji wa pili kwa watu wengi tangu miaka ya 70 lakini bado inakalishwa na arusha mapato mara 2 itakuwaje kwa dodoma hii amayo licha ya kuwa makao makuu bado asilimia 90 ya mikutano inafanyika arusha🤣 dodoma ni kama box 📦 kubwa tupu mnachotakiwa kujivunia ni angalau mmeipita mwanza
Kitu pekee ambacho Arusha wanawazidi Dom ni sekta ya utalii pamoja na uwekezaji wake mfano mahoteli, makampuni ya utalii,ajira kwenye utalii n.k.
Vigezo vingine vyote kwamfano ubora wa mipangomiji,ubora wa miundombinu,mtandao mpana wa barabara za lami,ujenzi wa miradi mipya,ubora wa huduma za kijamii,uwepo wa taasisi na idara nyingi za serikali n.k Dom wameipita mbali sana Arusha kwa sasa
 
Endelea kukalia akili 🤣 ndio nlichowaambia kuwa kwenu na mibarabara hakuwafanyi kuwa juu ya mliowakuta
Ndio maana kila takwimu za maendeleo mmepitwa na Arusha kwanzia matumizi ya umeme, wingi wa magari, wingi wa miradi, wingi wa vyuo hadi hayo maghorofa mnayoyaringia arusha imewapita zaidi ya mara tatu
Hivyo vimikutano ulivonitajia hapo ni vichekesho tangu mwaka uanze huu hakuna hata mkuu wa nchi amefika kwenye jangwa lenu
Majengo yaliojengwa kwa maramoja dodoma hayaakisi uhalisia wa maendeleo ya mtu mkazi wa dodoma
*Idadi ya watumishi wa serikali waliomia dodoma kwa pamoja na nyumba nyingi zimelenga kuwahudumia hao wafanyakaz
*Mkazi wa dodoma anategemea kuvuna pesa za kufanya shoeshine kwa mmasai aliyehamishiwa dodoma kikazi
*Kijana wa Arusha atadeal na utalii kuingiza fedha za nje
*Dodoma mnajidanganyana na tuvimajengo vya serikali lakini havina impact yoyote kwenye uchumi mnazidiwa hadi na mosh
*Dodoma hakuna mzunguko wowote itawachkua miaka atleast 30 mfike arusha ilipo leo
Jaribuni kuifikia Arusha kwa mapato ya TRA kwanza alafu mengine mtaongea
 
👉😂😂Unaleta ushabiki maandazi badala ya facts 👇👇

👉Unachekesha sana eti unalinganisha vyuo vikuu😂😂.UDOM pekeyake idadi ya wanachuo ni sawa na idadi ya vyuo vyote vya arusha jumlisha na sekondari zote😂😂.Hapo bado sijakutajia CBE,IRDP,LGTI,MADINI,St John n.k

👉👉Niletee takwimu za maghorofa ya Arusha Jiji tulinganishe na Dodoma Jiji....manake naona unajaribu kubadilisha topic kwenda mkoa wa Dodoma vs mkoa wa Arusha badala ya Dom City vs Arusha City.
 
Lakini Jiji la Dom ni way better 100% kushinda Arusha yaani Makazi tuu ya watu yanajieleza both ya govt na private

View: https://www.instagram.com/p/DCOi9gnuAem/?igsh=Y2Y4cTl0dzJ6OGFq
20241215_163223.jpg

Sasa utanishawishi vipi kwamba Arusha ni Bora Kwa Dodoma wakati Arusha inategemea sekta Moja tuu ya Utalii?

Pili Ukisema Kila takwimu Arusha umepita Dodoma ni uongo mwingine,Jiji la Dodoma ndio linafuatia Manispaa za Dar Kwa Mapato ,hio Arusha vipi?

Maendeleo ya Jiji la Dom yanatokana na income stability ya wakazi wake.

Pia usisahau kwamba over years Tanzania ilikuwa inawekeza Dar n Arusha na hata Sasa Bado Serikali inafanya hivyo sema Dom ndio imekuja kuingilia kati lakini Bado trend inaendelea ndio maana unaona Afcon na miundombinu yake inajengwa huko,Majengo marefu ya Arusha ni mbeleko ya govt nk

Pamoja na kujitutumua Kwa Arusha ila ukweli ni kwamba Dodoma kama Jiji liko mbele ya Arusha Kwa takwimu zote za msingi ,Ila Kwa takwimu za Kimkoa Dodoma Ina miaka zaidi ya 15 ku catch up na Arusha.👇👇
20240729_092139.jpg
 
Umekosea sana na list yako ya kujitungia kichwani, List ni
1.Dar
2.Arusha
3.Zanzibar
4. Dom
5.Mwanza
6.Mbeya
Arusha na zanzibar ni miji ya utalii kwa siku nyingi imejiimarisha katika kodi na mchango wake kwa taifa, dodoma kuwa makao makuu imeifanya mwanza kupoteza hadhi yake ya kuwa mji wa pili kwa umuhimu hasa kwa matukio au miradi ya kiserikali kama dodoma ikiendelea hivi mbeleni itaishusha arusha na zanzibar kama utalii utadorora angalau miaka itachukua miaka 20 hadi 30 lakini kama utalii utaimarika ni ngumu kwa dodoma kuifikia arusha au zanzibar, wingi wa watu umeifanya mwanza kuipiku mbeya na kukaa namba 6 lakini pia ukuwaji wa miji ya kibiashara kama geita katoro na kahama kumeipunguzia umuhimu mwanza uliokua nao
NB: Kujengwa majengo mengi na miundombinu kwa muda mfupi imefanya watu wengi wa dodoma kuhisi wameshafika level za arusha au zanzibar 😄 hizo ni ndoto za abunuasi
Kama mwanza imekua mji wa pili kwa watu wengi tangu miaka ya 70 lakini bado inakalishwa na arusha mapato mara 2 itakuwaje kwa dodoma hii amayo licha ya kuwa makao makuu bado asilimia 90 ya mikutano inafanyika arusha🤣 dodoma ni kama box 📦 kubwa tupu mnachotakiwa kujivunia ni angalau mmeipita mwanza
Arusha msipende sana kunipa umuhimu ambao hamna.1/2 ya Mapato ya Kodi ya Arusha yanatoka Ngorongoro(gift of nature? na hayana impacts Kwa watu wa Arusha coz yanalipwa kimfumo directly na watalii,yaliyobaki ndio yanatokana na juhudi za watu wa Arusha na uwekezaji wao.

Kwa Dom ,Mapato yote ni uwekezaji wa moja Kwa Moja wa watu ,hakuna gift of nature hapo kama ilivyo Arusha na Zanzibar.

Suala la mikutano liko wazi ni Kwa sababu hakuna Kumbi kubwa Zenye hadhi ya Kimataifa na by the way Dom haijengi hiyo industry.

Mwisho Kasi ya ujenzi wa Mji Mkuu haijawahi Isha na Wala haitakuja kuisha, ujenzi unaendana pia na Kasi kubwa ya watu kuhamia na kujenga.Nje ya Dar sehemu pekee inayojengeka Kwa Kasi ni Dodoma.

Vitu hivyo Kwa pamoja Kitaifanya Dom in a very near future kuwa vibrant City ikumbukwe uwekezaji wa mahoteli unaendelea na ikumbukwe Makao Makuu ya Jumuiya ya Madola Kwa Africa yatajengwa Dom plus hospitals za hadhi ya Juu.
 
Umekosea sana na list yako ya kujitungia kichwani, List ni
1.Dar
2.Arusha
3.Zanzibar
4. Dom
5.Mwanza
6.Mbeya
Arusha na zanzibar ni miji ya utalii kwa siku nyingi imejiimarisha katika kodi na mchango wake kwa taifa, dodoma kuwa makao makuu imeifanya mwanza kupoteza hadhi yake ya kuwa mji wa pili kwa umuhimu hasa kwa matukio au miradi ya kiserikali kama dodoma ikiendelea hivi mbeleni itaishusha arusha na zanzibar kama utalii utadorora angalau miaka itachukua miaka 20 hadi 30 lakini kama utalii utaimarika ni ngumu kwa dodoma kuifikia arusha au zanzibar, wingi wa watu umeifanya mwanza kuipiku mbeya na kukaa namba 6 lakini pia ukuwaji wa miji ya kibiashara kama geita katoro na kahama kumeipunguzia umuhimu mwanza uliokua nao
NB: Kujengwa majengo mengi na miundombinu kwa muda mfupi imefanya watu wengi wa dodoma kuhisi wameshafika level za arusha au zanzibar 😄 hizo ni ndoto za abunuasi
Kama mwanza imekua mji wa pili kwa watu wengi tangu miaka ya 70 lakini bado inakalishwa na arusha mapato mara 2 itakuwaje kwa dodoma hii amayo licha ya kuwa makao makuu bado asilimia 90 ya mikutano inafanyika arusha🤣 dodoma ni kama box 📦 kubwa tupu mnachotakiwa kujivunia ni angalau mmeipita mwanza
Nyie mijitu muwe mnavuta Bange zilizo kauka madhara ya kuparamia Bange mbichi unaijua Mwanza wewe unaijua vzr kaangalie mji unao kua na kupanuka kwa spidi siyo Tanzania tu barani Africa halmashauri ya Ilemela tu ndo Dodoma yako hiyo licha ya kuwepo na nguvu za serikali acheni kuwa mna hara hara humu jamii forum
 
Mwanza ya Sasa ni useless Haina impacts yeyote ya maana 🤣
 
Kwenye nini na impact gani unayo isema hipo miji mingine haipo Mwanza?! Umefatilia ukuaji na upanukaji wa miji wewe?? Kwa hapa Bongo mta sema sana lkn ukweli Tofauti na Dar hakuna mji mwingine tofauti na Mwanza
Inakuaje ila haiwezi lingana na Arusha Wala Dodoma ,size yake ni Mbeya na Tanga
 
Aisee kwamba Mwanza haiwezi lingana na Arusha!!Arusha hii hii au kuna Arusha ya Kenya we Mwanza unaijua kweli??taja Km za jiji lako la Arusha na za Mwanza huone nani ni mkubwa kati ya hizi
 
Attachments

  • Screenshot_20241220-111754.png
    Screenshot_20241220-111754.png
    43.2 KB · Views: 2
Aisee kwamba Mwanza haiwezi lingana na Arusha!!Arusha hii hii au kuna Arusha ya Kenya we Mwanza unaijua kweli??taja Km za jiji lako la Arusha na za Mwanza huone nani ni mkubwa kati ya hizi
Tofauti na Wingi wa watu Mwanza Ina kipi kingine Cha kuikaribia Arusha? 😆😆
 
Kwenye nini kimapato,miundombinu,uzuri wa mji ,mawasiliano, accomodations (mahotel) mahosipatali, kwenye starehe,mzunguko wa Hera au nini??Arusha inaizidi Mwanza??msiwe mnatuona humu wote ni wapumbavu bhana acheni ujinga Arusha kuna kipi cha zaidi??
 
Kote ukiacha Wingi wa watu,Mwanza Ina nini Cha kuikaribia Arusha?
 
👉😂😂Unaleta ushabiki maandazi badala ya facts 👇👇

👉Unachekesha sana eti unalinganisha vyuo vikuu😂😂.UDOM pekeyake idadi ya wanachuo ni sawa na idadi ya vyuo vyote vya arusha jumlisha na sekondari zote😂😂.Hapo bado sijakutajia CBE,IRDP,LGTI,MADINI,St John n.k

👉👉Niletee takwimu za maghorofa ya Arusha Jiji tulinganishe na Dodoma Jiji....manake naona unajaribu kubadilisha topic kwenda mkoa wa Dodoma vs mkoa wa Arusha badala ya Dom City vs Arusha City.
Hahaha 😂 nakuonaga unaakili kumbe hujui haya tofauti ya mapato na makusanyo ya halmashauri
Kwenye nini kimapato,miundombinu,uzuri wa mji ,mawasiliano, accomodations (mahotel) mahosipatali, kwenye starehe,mzunguko wa Hera au nini??Arusha inaizidi Mwanza??msiwe mnatuona humu wote ni wapumbavu bhana acheni ujinga Arusha kuna kipi cha zaidi??
Mwanza inachoizidi Arusha ni kuzaliana tu na sangara
Yan hoja Yako ni sawa na useme Bangladesh imeendelea kulivo ujeruman kwa vile inawatu wengi si vituko sasa hivi🤣
Unalinganisha hotel mwanza na Arusha utakua umewehuka braza
Mmepitwa Kila kitu kwanzia mapato, maghorofa, viwanda hadi vyuo.
Kama mbeya wakijipanga wanawapita vizuri kabisa
 
Mwanza ya Sasa ni useless Haina impacts yeyote ya maana 🤣
Kwanza sasa hivi mwanza imesahaulika sana 🤣 mji unaoubeba Kanda ya ziwa ni kahama ndio Kuna mzunguko na bandar kavu ikishakamilika pale isaka ndio kabisa kahama inakua lango la Kanda ya ziwa Hawa watu wangu wa mwanza shida yao ni mdomo tu ila ukija kwenye uhalisia data zimewakataa sasa hivi viwanda vingi vinakimbilia shinyanga
 
Kwanza sasa hivi mwanza imesahaulika sana 🤣 mji unaoubeba Kanda ya ziwa na kahama ndio Kuna mzunguko na bandar kavu ikishakamilika pale isaka ndio kabisa kahama inakua lango la Kanda ya ziwa Hawa watu wangu wa mwanza shida yao ni mdomo tu ila ukija kwenye uhalisia data zimewakataa sasa hivi viwanda vingi vinakimbilia shinyanga
Hakuna kitu chochote Cha maana kusema ikumbukwe 😆😆

Kiufupi Mwanza Haina tofauti na Nanyumbu 🤣🤣
 
Hahaha 😂 nakuonaga unaakili kumbe hujui haya tofauti ya mapato na makusanyo ya halmashauri

Mwanza inachoizidi Arusha ni kuzaliana tu na sangara
Yan hoja Yako ni sawa na useme Bangladesh imeendelea kulivo ujeruman kwa vile inawatu wengi si vituko sasa hivi🤣
Unalinganisha hotel mwanza na Arusha utakua umewehuka braza
Mmepitwa Kila kitu kwanzia mapato, maghorofa, viwanda hadi vyuo.
Kama mbeya wakijipanga wanawapita vizuri kabisa
Wewe una chuki na Mwanza ngoja nikuache maana naona unaweza itukana na serikali inayo itambua Mwanza ni jiji la pili na linalo kua kwa Kasi nyuma ya Dar
 
Kuwa Jiji la pili sio shida Bali ni uhumimu wa Mwanza ni upi kiuchumi? 😆😆
 
Back
Top Bottom