ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Huu unyama unapatikana Dom pekee yaani ni 🔥🔥🔥🔥
View: https://youtu.be/Ys8gKKWny8E?si=PtvGXuhUrZ1XMoVr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu unyama unapatikana Dom pekee yaani ni 🔥🔥🔥🔥
Huu unyama unapatikana Dom pekee yaani ni 🔥🔥🔥🔥
View: https://youtu.be/Ys8gKKWny8E?si=PtvGXuhUrZ1XMoVr
Sasa ubakie Mwanza kufanya nini Jiji la maskini na hakina fursa,ni hovyo Kwa Kila idaraHalafu wasukuma wengi sana wanahamia Dodoma siku hizi.
Arusha ipitwe na Dodoma mara ngapi? Kama unamaanisha GDP ya Mkoa sawa ila kama unamaanisha City GDP tayari wameshapitwa .Ukweli ni kuwa miaka 10-15 ijayo,Dar es Salaam itaizidi Dodoma idadi ya Magorofa tu.
Arusha in 3-5 yrs utapitwa na Dodoma mbali sana.Mwanza,Mbeya na Tanga zimisha pitwa na Dodoma.
We jamaa unajisikiliza kweli au unaongea because huna hoja ... mwanza haina jipya kivipi .. miradi mingapi ya kimkakati inajengwa mwanza unadhani ikikamilika patabaki palivyoDar ni jiji la biashara na itabaki hivyo kwa sababu za ki geography shida kuu ya Dar ni maeneo machache sana viwango vya juu shida maeneo mengi bati za kutu na inaleta twasira mbaya sana ya jiji la Dar lakini ni jiji kubwa na litabaki kuwa Newyork ya Tz. Sasa huku kwingine Dodoma imeizidi au iko katika process ya kuwa jiji la pili na sababu ziko wazi, uwekezaji unaofanyoka Dodoma ni wa nguvu nilipata nafasi ya kutembelea mji wa serikali kwa kweli ni level nyingine, mji umepangiliwa vizuri na nyumba nyingi ni mpya zinapendeza. Mwanza inaachwa haraka sababu mji wa zamani hakuna jipya sana na Arusha imeshazidiwa, ni ile imebaki sehemu ya utalii na hilo watabaki nalo milele lakini kama mji hapana.
Kwa dodoma hii ambayo ukisimama floor ya nne chuo Cha mipango unaona jiji Zima mpaka msalato 😁😁Ukweli ni kuwa miaka 10-15 ijayo,Dar es Salaam itaizidi Dodoma idadi ya Magorofa tu.
Arusha in 3-5 yrs utapitwa na Dodoma mbali sana.Mwanza,Mbeya na Tanga zimisha pitwa na Dodoma.
Arusha ipitwe na Dodoma mara ngapi? Kama unamaanisha GDP ya Mkoa sawa ila kama unamaanisha City GDP tayari wameshapitwa .
City Revenues Arusha inaingia mara 2
Population Dom ndio namba 3
Miundombinu just second to Dar kama sio first kabisa Kwa Tanzania.
Raha ya Dom ni kwamba government na private sector zinawekeza Kwa Kasi na mwisho uwekezaji wa Serikali Hadi Kwa Dom Kwa mujibu wa Master plan ni kama 1/3 tuu Bado 2/3 maana 10Trilioni ndio Bajeti ya Full relocation.
Nakujibu kwa orodha yako.We jamaa unajisikiliza kweli au unaongea because huna hoja ... mwanza haina jipya kivipi .. miradi mingapi ya kimkakati inajengwa mwanza unadhani ikikamilika patabaki palivyo
SGR
MELI
JPM bridge
Central market
Bandari
International airport
marine rescue center
Unajua Kwanni inaitwa miradi ya kimkakati aka strategic projects....kama mradi hauna future economic and social benefits hauwezi kuitwa strategic...Nakujibu kwa orodha yako.
SGR( hiyo imeshafika Dom siku nyingi)
Meli( zilikuwepo toka miaka hiyo hakuna jipya)
Bridge( yes ni kweli)
Market( kila mkoa wanayo)
Bandari( Ipo miaka yote hakuna jipya)
Airport( Unajuwa Dodoma msalato airport? )
Marine( Hakuna kipya baada ya maafa ya lake victoria)
Nenda katembelee Magufuli city ndio utajuwa size ya investment, Ring road 142Km, New International Airport...
My point meli zio mradi mipya zilikuwepo na zitakuwepo, kuboresha ni kitu kingine na kuaanzisha kitu kipya ni kitu kingine. Dodoma wanajenga airport mpya kubwa international airport ni kubwa nyuma ya Dar tu, Ring road ni kitu kipya Tanzania hii 142 Km two ways, Uwanja mpya wa mpira, mji mpya wa serikali ni vitu vipya havikuwepo sio kuboresha. Haya yanachochea mji kukuwa. Chukua Mwanza ya miaka mitano nyuma na Dodoma miaka 5 nyuma halafu angalia leo speed ya ukuwaji baina ya hii miji miwili ndio utapata jibu.Unajua Kwanni inaitwa miradi ya kimkakati aka strategic projects....kama mradi hauna future economic and social benefits hauwezi kuitwa strategic...
Unajua impact ya meli nini ,,,,.itaunganisha biashara na jamii ukanda wote wa ziwa Victoria maana yake mwanza itaretain hub ya biashara ya maziwa makuu ....
Bandari saiv zinajengwa upya na meli za mizigo kwenda Uganda na Kenya ..
Soko kubwa Zaid ya kariakoo linajengwa na liko asilimia 95 ..unadhani itabaki ilivyo
Unajua Kwanni inaitwa miradi ya kimkakati aka strategic projects....kama mradi hauna future economic and social benefits hauwezi kuitwa strategic...
Unajua impact ya meli nini ,,,,.itaunganisha biashara na jamii ukanda wote wa ziwa Victoria maana yake mwanza itaretain hub ya biashara ya maziwa makuu ....
Bandari saiv zinajengwa upya na meli za mizigo kwenda Uganda na Kenya ..
Soko kubwa Zaid ya kariakoo linajengwa na liko asilimia 95 ..unadhani itabaki ilivyo
Figure speaks louder than words.... huwezi Kunambia DODOMA Inakua wakati GDP yake hata 15 Bora haipo na per Capita income inaburuza mikiaMy point meli zio mradi mipya zilikuwepo na zitakuwepo, kuboresha ni kitu kingine na kuaanzisha kitu kipya ni kitu kingine. Dodoma wanajenga airport mpya kubwa international airport ni kubwa nyuma ya Dar tu, Ring road ni kitu kipya Tanzania hii 142 Km two ways, Uwanja mpya wa mpira, mji mpya wa serikali ni vitu vipya havikuwepo sio kuboresha. Haya yanachochea mji kukuwa. Chukua Mwanza ya miaka mitano nyuma na Dodoma miaka 5 nyuma halafu angalia leo speed ya ukuwaji baina ya hii miji miwili ndio utapata jibu.
Nimefika mwenyewe nimeona sijaambiwa Dodoma ya leo sio ya miaka 5 nyuma, haya nimeshudia mwenyewe. Mimi point yangu Dodoma inakuwa haraka kuliko mikoa mingine, hayo bado sana ni maoni yako binafsi. Ila ukweli unabaki ni mji unaokuwa kwa kasi Tanzania.Usidanganywe na video za YouTube mjomba Dodoma Bado sana
Ukiishi na mawazo ya GDP utajidanganya sana, ukuuaji wa mji au nchi sio GDP tu, kuna nchi kama Qatar wana GDP juu sana kuliko hata Germany na wako karibia na USA lakini haaminishi Qatar ni bora kuliko Germany au USA, acha kukariri. Mnaweza kuna na dhahabu ndio mchango mkubwa wa hiyo GDP yako ya Mwanza lakini umasikini ukawa mkubwa. Ukiona watu wanahamia sehemu kwa wingi ujue fursa ziko ndio maana wasukuma wanahamia sana Dodoma sio kinyume chake.Figure speaks louder than words.... huwezi Kunambia DODOMA Inakua wakati GDP yake hata 15 Bora haipo na per Capita income inaburuza mikia
Idadi ya Miradi ya uwekezaji mwezi mzima wa July haijarekodi hata mradi mmoja wakati Mwanza wanarekodi miradi mikubwa 6
Hiv unaelewa ulichokiandika au magazeti tu .. kasome upya uje uandike before sijakuaibishaUkiishi na mawazo ya GDP utajidanganya sana, ukuuaji wa mji au nchi sio GDP tu, kuna nchi kama Qatar wana GDP juu sana kuliko hata Germany na wako karibia na USA lakini haaminishi Qatar ni bora kuliko Germany au USA, acha kukariri. Mnaweza kuna na dhahabu ndio mchango mkubwa wa hiyo GDP yako ya Mwanza lakini umasikini ukawa mkubwa. Ukiona watu wanahamia sehemu kwa wingi ujue fursa ziko ndio maana wasukuma wanahamia sana Dodoma sio kinyume chake.