Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
tunaomba hii mechi muisubirishe kwa miaka 10 ijayo, halafu arusha itajua haijui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Sasa Arusha hakuna kitu mbele ya Dom,wanatembelea jina 😂😂👇👇tunaomba hii mechi muisubirishe kwa miaka 10 ijayo, halafu arusha itajua haijui.
Hata Sasa Arusha hakuna kitu mbele ya Dom,wanatembelea jina 😂😂👇👇
View: https://twitter.com/eastafricatv/status/1818240712539771293?t=jMG_zgajBHbswj9GkpFWJQ&s=19
Kwenye list yako usiache mkoa wa ruvuma mkoa flani underrated sana lakini soon unaenda kua game changer miji kama tunduru, mbamba Bay, mbinga n.k kuna kilimo madini liganga na mchchuma ziwa nyasa wanampango wa kujenga sgr patakua balaa hukuNaunga mkono hoja,Ukiacha Mbeya,Pwani na Morogoro,,Mikoa mingine yote maendeleo Yako mjini tuu hapo yaani Kila kitu ni mjini huko mawilauani ni kama uko Dunfur Vijijini 😂😂
Very true sema nao mapori mengi sana ila Wasukuma wamevamia hatariKwenye list yako usiache mkoa wa ruvuma mkoa flani underrated sana lakini soon unaenda kua game changer miji kama tunduru, mbamba Bay, mbinga n.k kuna kilimo madini liganga na mchchuma ziwa nyasa wanampango wa kujenga sgr patakua balaa huku
No doubt uko kwenye top 5 ya mikoa tajiri nchini nyuma tu ya dar, mbeya, iringa
Pwani inabebwa na impact ya dar
Ila mbeya ndio mkoa pekee uliostaarabika nchini
Arusha tunasemaga ni nchi nadhan kwa vile wengi wetu hatujaenda mbeya
Mbeya mimi naiita subcontinent ni mkoa ambao una madini, kilimo uvuvi hali ya hewa safi na watu smart
Huu mkoa siku ukijipata utakua mbali sana fikiria ni watatu kwa kua na gdp kubwa kakini hauko hata kwenye top 10 ya mikoa yenye watu wengi unaweza kuona jins gani huu mkoa una kitu
Gari za kutoka mbeya mjini kwenda rujewa, igawa,kyela, matema beach🏖,chunya n.k ziko classic zinashindana kwa ubora
Watu wa mbeya hata vijijini wamestaarabika sana nadhani ni sababu ya dini
Hata mji wa mbeya unadensity kubwa sana ya watu shida ya mbeya jiji ni miundombinu mibovu ukismama juu ya mwanjelwa sokoni utaona vibanda kama wanaishi panya😃😀
Haijulikanagi hata mjini ni wapi kabwe na mwanjelwa kuna vibe kuliko mjini kwenyewe
Morogoro sijatembea sana siwezi kucomment japo naona barabara nyingi za kuelekea vijijini zina lami na ni mkoa mashuhuri kwa kilimo
Kupitiwa na sgr na kuwa katikati ya dodoma na dar naiona morogoro ikiwa mbali sana nashani uswahili umeuchelewesha huu mkoa ungekua mbali zaidi kuna makala moja ilishawah kusema morogoro pekee inaweza kulisha afrika nzima
Hata Sasa Arusha hakuna kitu mbele ya Dom,wanatembelea jina 😂😂👇👇
View: https://twitter.com/eastafricatv/status/1818240712539771293?t=jMG_zgajBHbswj9GkpFWJQ&s=19
Ingewa boost si unaona mambo haya 👇👇Sasa sgr ilikua ianzia njia ya tanga moshi arusha hadi musoma iisafirishe mizigo kwenda uganda😁
Jiwe akaona wivu kwanini haipiti kwenye mji wake pendwa bila kujua walioplan hivyo walikua ni wataalamu
Sekta ya usafirishaji kwenye nchi zetu maskini zinaajiri watu wengi sana
Nlikua namsikiliza mbarawa leo anasema treni moja ya mizigo inaweza kubeba mzigo wa hadi malori 500😀😀
Kuna nini sasa kama sio miji yenu kufa kifo cha mende kama naiona stendi ya nane nane itakavokua gofu😃
Sasa natamani sana ifike kwa wale wajuaji wa mwanza mji ufe rasmi
Hizi treni kwa miji yetu hii midogo ni balaa arusha na moshi zisingeharibu mtindo mwingine wa usafirishaji ingefanya ajira zilindwe kwenye njia kuu
Haya bhana yetu wacho wacha tuone muvi🤣
Uo mji wenu wenyewe unategemea bunge, udom na mkutano mkuu wa ccm
Kama uchumi wa mombasa umeathiriwa na sgr itakua dodoma😃😃
Ngoja tukae pale tule popcorn 🍿 tuchek muvi tu
Business Daily
Business Daily › ...
Study shows SGR freight service killing the Coast economy
Ingewa boost si unaona mambo haya 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/C-C2p00gp_O/?igsh=MXZoa2NweGR3cHJrbw==
Arusha na Mwanza Bado hamjasema 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C-C_yvgIQaH/?igsh=bGxmZDFmd3Q5OTVn
My Take: Aliwajengea daraja wakapige picha 😂😂😂😂
Bado hamjasemaCamp site City full of pori 😂😂
Mkiitwa jangwa mnakasirika😀😀Camp site City full of pori 😂😂
Tanzania hakuna jangwa,tangu lini watu wakakimbilia kuishi Jangwani wakaacha huko msituni waliko ngedere?Mkiitwa jangwa mnakasirika😀😀
Huwez amin kuna watu wa mataifa mengine wanajuaga arusha ndio capital city😀😀
View: https://x.com/FactsZoneAfrica/status/1807817189329682908