Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Mji pekee ambao ningeuogopa ungekua capital city ni mbeya sio hilo jangwa lenu
Mbeya na Mwanza zingeoangwaga vizuri Toka Mwanzo nadhani ndio zingekuwa zinavutia zaidi na hasa Mbeya Kwa sababu Ina Haki ya hewa na vivutio vya kipekee.
 
Mbeya na Mwanza zingeoangwaga vizuri Toka Mwanzo nadhani ndio zingekuwa zinavutia zaidi na hasa Mbeya Kwa sababu Ina Haki ya hewa na vivutio vya kipekee.
We hujawah fika mwanza wewe kwanza lile ziwa ni la matope basin lake sio rift Valley kama tanganyika au nyassa huwezi linganisha matema beach 🏖 na fukwe yoyote ya ziwa Victoria maji yake ni machafu hali ya hewa yake ni mbaya mmbu ni wengi kupitiliza watu ni washamba kupitiliza kwenye daladala watu wanaongea kisukuma ndio mji wenye ombaomba wengi afrika😀 nashangaaga hawa watu wanaosema dodoma kuna ombaomba hawajawah kufika mwanza waone Lundo la watoto wa mtaani maeneo mengi mbali ya ziwa ni pakame pia kuna vumbi la kutisha na wasukuma asili yao hawapendi miti wanakata hatari gdp ya mwanza ni kubwa kwa sababu ya wingi wa watu na ndio maana ukiigawanya hupat ikiwa kwenye mikoa inayoongoza gdp kihalali ni mbeya na iringa
 
Ukiacha Ziwa ,vile vimilia milima visingejengwa vingeachwa vingekuwa na kamsitu Fulani mjini.

Kwa maana ya uzuri wa beaches Lake Nyasa ndio nzuri kushinda hata Lake Tanganyika
 
Kwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha.

Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa mbali kiasi kwamba machalii wa Chuga hawaelewi wahame au wasalie licha ya Serikali.

Serikali inajaribu kupambana Ili kuhakikisha hadhi ya Arusha kama kitovu Kikuu Cha Utalii haipokwi Kwa kufufua ujenzi wa Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano KICC,jengo la PAP,Makao Makuu ya Mahakama ya Africa ya Haki,Makao Makuu ya EAC na Baraza la michezo.

Hata hivyo Jiji la Didoma limeibuka Kwa Kasi na kuwa Jiji kubwa na la 3 Kwa wingi wa watu baada ya Dar na Mwanza kufuatia Msukumo mkubwa ukiofanywa na Hayati Magufuli Kwa Serikali kuhamia Dodoma na kuwasha mwenge wa ujuaji wa Jiji.

Dodoma Sasa ni kama kiwanda kikubwa ,Kimaoato Dom imeipiku Arusha na Mwanza just to rival Dar.Kwa maoni Yangu Baada ya Dar Jiji la ukweli Kwa Sasa ni Dodoma..

Dodoma City
View attachment 2726195
View attachment 2685450
View attachment 2685401View attachment 2685403

Arusha City
View attachment 2685446
View attachment 2685411View attachment 2685412View attachment 2685683
Arusha has been there, done that!
 
Majengo sio issue. Issue i exposure, Arusha has been there, seen that, yani ni ushamba na ukimbukeni kupimana kisa majengo. Dodoma is quite new in modernity, labda ishindane na mwanza huko
Sasa Capital City ndio itakuwa mdomoni mda mwingi Kwa maana hiyo taratibu exposure inakuja.
 
Huu uongo uliotukuka kabisa, hivi mtu anajisikia kuropoka baada ya kuvimbiwa makande naye mnasikiliza kweli, tutaje list za radio za arusha na mbeya, nje ya Dar hakuna sehemu yenye Tv station na radio station nyingi kuzidi Mwanza.
Hoja ni redio stations na sio tv.

Weka ukweli wako wewe mbuzi wa bujora
 
Huu uongo uliotukuka kabisa, hivi mtu anajisikia kuropoka baada ya kuvimbiwa makande naye mnasikiliza kweli, tutaje list za radio za arusha na mbeya, nje ya Dar hakuna sehemu yenye Tv station na radio station nyingi kuzidi Mwanza.
Wewe hujui kitu. Arusha ni mbali sana kuliko mwanza au unadhani sababu star tv ni maarufu ndio unadhani mmemaliza.
 
Back
Top Bottom