Dodoma hali si shwari, Diamond akaribia kusababisha maafa makubwa


Kwani alienda na lile fuvu la kichwa cha mtu?
 
sijawai kuwa na sitegemei kuwa na ushabiki wa hivi hadi kukanyagana na kuzimia duh...bila shaka mademu hao walizimia kwa fuaraha.....video ya outcast - hey ya.........ahahaha
 
Hizo zinazowaka waka huko kwa audience ni nini? ni Diamonds?
 
Mambo yatakuwa shwari tu shoo iko chini ya mdogo wangu le mutuz hakialibiki kitu
Hahaha... U know....hahahaa.
Le mutuz hahahaa

Kiukweli huyu jamaa hua ananifurahisha sana kwa alivyokua tofauti akili yake na watu wengine
First time kumjua niliona kama anatutia aibu wanaume baadae nikaanza kumuona kawaida maana kama comedian flani
 
Sasa hv huwa anatembea na mitando kama wakina millad ayo
 
Sasa hv huwa anatembea na mitando kama wakina millad ayo
Yaan le mutuz matendo yake ndo yananiachaga hoi maana hayaendani na umri wake.
At that age anataka kuishi kama mtu mwenye umri sawa na young dee au dogo janja au justin beiber et al
 
Yaan le mutuz matendo yake ndo yananiachaga hoi maana hayaendani na umri wake.
At that age anataka kuishi kama mtu mwenye umri sawa na young dee au dogo janja au justin beiber et al
Mimi huwa ananichekesha kila siku huwa anapiga picha na mabinti kawakamatia sasa sijui kama uwa anawafaidi au anapiganao picha tu
 
Hahaha povu litakutoka sana naona wewe elimu yako ya kukosoa watu hapa jf

Samahani,kama wewe ni Me basi itakubidi ukae kimya. Muungwana ni vitendo. Ila kama ni Ke,mnaweza mkaendelea na majibizano.
Kukosolewa ni njia ya kujifunza.
YNWA
 
Samahani,kama wewe ni Me basi itakubidi ukae kimya. Muungwana ni vitendo. Ila kama ni Ke,mnaweza mkaendelea na majibizano.
Kukosolewa ni njia ya kujifunza.
YNWA
Umevuta bangi nini sikuelewi au uhaba wa sukari unaanza kuwavuruga vichwa
Mambo yalishamalizwa kitambo wewe ndo sasa hivi unakurupuka kutoka ushauri??
 

Fanya uchunguzi wako utagundua wabongo wengi hawapendi live bali playback............... kwa kuangalia soko hawezi akakomaa na LIVE wakati wabongo wengi hawailewi.... muulize ally kiba escape one uone kama atarudia tena
 
Naona Vodacom bado wapo na diamond, kanyang'anywa deal vepe
Cc The bold chige
Evelyn, binafsi ckuwa na shaka hata nukta cuz' I know company ambassadorial role haivunjwi kirahisi kiasi hicho simply because kuna anonymous ka-post vitu bila evidence yoyote! Kwahiyo Dogo anaendelea kuwatia watu ugonjwa wa moyo na Ubalozi wa Condom nao huooo, upo njiani!
 
Ha ha ha unazingua.....
Hahahha Nimekumic chief, guess what juzi chibu alikuwepo Dodoma kidogo nikajichanganye na wanafunzi kushangilia sema Mr alibana dah.
Ananiambia mama mtu mzima ukaanze kurukaruka na wanafunzi, nikamjibu mbona mpira huwa unashangilia na utu uzima wako na ukifungwa unanunia hadi wanao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…