Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ruttashobolwa Nifah njooni mmuone huyu ndugu yenu ha ha haMambo yatakuwa shwari tu shoo iko chini ya mdogo wangu le mutuz hakialibiki kitu![]()
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ruttashobolwa Nifah njooni mmuone huyu ndugu yenu ha ha haMambo yatakuwa shwari tu shoo iko chini ya mdogo wangu le mutuz hakialibiki kitu![]()
![]()
Kwa habari nilizopenyezewa Dodoma kumetokea hali ya kutisha baada ya Diamond kupanda jukwaani na mashabiki kuchanganyikiwa na kuanza kukanyagana.
Naambiwa watu walikuwa wengi sana kwenye show kiasi wengine wamezimia na inasemekana............
Mlio huko tupeni taarifa ya uhakika nini haswa kinaendelea.
Cc Lara1
Hahaha... U know....hahahaa.Mambo yatakuwa shwari tu shoo iko chini ya mdogo wangu le mutuz hakialibiki kitu![]()
![]()
Mwalimu ubarikiwe sana.= hakiharibiki
Sasa hv huwa anatembea na mitando kama wakina millad ayoHahaha... U know....hahahaa.
Le mutuz hahahaa
Kiukweli huyu jamaa hua ananifurahisha sana kwa alivyokua tofauti akili yake na watu wengine
First time kumjua niliona kama anatutia aibu wanaume baadae nikaanza kumuona kawaida maana kama comedian flani
Yaan le mutuz matendo yake ndo yananiachaga hoi maana hayaendani na umri wake.Sasa hv huwa anatembea na mitando kama wakina millad ayo![]()
![]()
Mimi huwa ananichekesha kila siku huwa anapiga picha na mabinti kawakamatia sasa sijui kama uwa anawafaidi au anapiganao picha tuYaan le mutuz matendo yake ndo yananiachaga hoi maana hayaendani na umri wake.
At that age anataka kuishi kama mtu mwenye umri sawa na young dee au dogo janja au justin beiber et al
umelewa kiburu si bureHii inadhihirisha tabia na akil za wanachuo wa udom walivyo hovyo
Hahaha povu litakutoka sana naona wewe elimu yako ya kukosoa watu hapa jf
Umevuta bangi nini sikuelewi au uhaba wa sukari unaanza kuwavuruga vichwaSamahani,kama wewe ni Me basi itakubidi ukae kimya. Muungwana ni vitendo. Ila kama ni Ke,mnaweza mkaendelea na majibizano.
Kukosolewa ni njia ya kujifunza.
YNWA
Mkuu Rihanna akipiga full concert anapanda na band na back up singers. Only few shows kama anapanda alone au na watu wachache ile back Voice ndio inatoka kwenye mashine. Chukua Video za Rihanna na Diamond wakiimba live ziangalie utaina tofauti. Usinione hater wa Diamond lakini kwenye Sanaa critics muhimu. Wenzake kina Jose Camelion siku hizi wanafanya live jigs. Wakati ni huu wa kufanya mziki wa kweli
Kawaida kabisa kama unavyoimba wewe.Huyu anatumia nguvu gani? Mbona kuimba kwenyewe naona kawaida tu.
Evelyn, binafsi ckuwa na shaka hata nukta cuz' I know company ambassadorial role haivunjwi kirahisi kiasi hicho simply because kuna anonymous ka-post vitu bila evidence yoyote! Kwahiyo Dogo anaendelea kuwatia watu ugonjwa wa moyo na Ubalozi wa Condom nao huooo, upo njiani!
Ha ha ha unazingua.....Kawaida kabisa kama unavyoimba wewe.
Hahahha Nimekumic chief, guess what juzi chibu alikuwepo Dodoma kidogo nikajichanganye na wanafunzi kushangilia sema Mr alibana dah.Ha ha ha unazingua.....