Unafanya Kazi Jiji mkuu?Waache wafunge tu, ili akili zao ziwakae Sawa...
Uonezi mkuuWanataka kuvuna wasipopanda
Dodoma kuna utitiri wa kodi za wenye nyumba mpaka TRA hadi kununua viwanja ni ishu.
Kuna sheria ya kodi; kulipa kodi ni wajibu wa raia, siyo shukurani kwa serikali.Nchi ya hovyo utaijua tu. Serikali haijakusaidia kufungua biashara, haijakupa mkopo, haijakupa ujuzi namna ya kufungua biashara. Haijakufundisha namna ya kutengeneza product iendane na soko la kimataifa. Haijawasaidieni muweze hata kupeleka bidhaa zenu soko la kimataifa. Ila wanakuja na makufuli wanakufungia biashara Yako.
Ndo maana watu wanawarecord wanamtumia mange kimambi kuonesha upuuzi mmnaoufanya .
Hivi hamna organization iliyoko huko duniani ili tuwatumie video jinsi Tanzania tunavyonyanyasika?
Serikali zinakusanya zisipotapanya. Mnavuna mapato ambayo hata hamjayahangaikia . Nchi ya hovyo hii. Loh .
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Uonezi mkuu
TRA nao hawako nyuma wametoka kututafuna rushwa 1.2M .Ila TRA Tanzania buana
Yani acha tu. Hawatengenezi ajira. Ila mkijiajiri wanakuja Kwa Kasi kuwanyanyasa na makufuli yao.Halafu hela zenu ndo zinaenda kwenye goli la Mama. Mama anaupiga mwingi au yongo ndugu zangu
Hii Nchi ngumu SanaTRA nao hawako nyuma wametoka kututafuna rushwa 1.2M .
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Pole sana Mkuu, inaonekana umevurugwa sana.Nchi ya hovyo utaijua tu. Serikali haijakusaidia kufungua biashara, haijakupa mkopo, haijakupa ujuzi namna ya kufungua biashara. Haijakufundisha namna ya kutengeneza product iendane na soko la kimataifa. Haijawasaidieni muweze hata kupeleka bidhaa zenu soko la kimataifa. Ila wanakuja na makufuli wanakufungia biashara Yako.