berylyn
JF-Expert Member
- Dec 26, 2021
- 877
- 2,618
- Thread starter
- #41
Ndiyo wananivurugaaa [emoji28]Pole sana Mkuu, inaonekana umevurugwa sana.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo wananivurugaaa [emoji28]Pole sana Mkuu, inaonekana umevurugwa sana.
Halafu wako na mgambo wao wamevaa kijani ndo wako wanafunga makufuli. Loh.Naona wameamua kudhibiti wafanya biashara wachache tu wawepo
Kama mnavyoambiwa msizaane na wazungu
Hapo kuna watu wakubwa nyuma ya biashara hizo
Wanataka muwaachie mji labda mkalime
Kwa mwezi nasikia elfu kumi Kwa hiyo Kwa sababu ni Kodi mpya watu hawajawahi kuilipa wanaweza kukudai ya miaka mitatu ama miwili ambayo inakuwa 360,000/= Kwa miaka mitatu ama 240,000/= Kwa miaka miwili.Ni shilingi ngapi inayodaiwa KWA kila biashara. Range
Yani wanaweza kufunga line nzima ya maduka. Barabara yote kushoto na kulia wanafunga maduka . Wakikukuta na mteja wanawatoa nje wewe mwenye duka na mteja wako. Alafu wanatia kufuli.Mshika Kibubu Mkuu alishasema " kama hatuendani na wanavyotaka tuhamie Burundi"
Ni wakati sasa wakufunga biashara na kutimkia Burundi.
[emoji23][emoji23][emoji23] si iwe kona kabisaa,Uokotwe urudishwe ndani
Tena atausoma huu Uzi alafu asiwafanye kitu.Hakuna tatizo, maana nchi hii kila kitu anafanya mama wa shoka, iron lady, simba wa yuda, yule ambaye hajawahi tokea dunia nzima, chief wa machief, Dr Samia, jabali kuu.
Kazi iendelee
Cc Lucas mwanshambwa
Yani utafikiri walikuwepo wakati unatafuta mtaji. Unajinyima kula kuvaa vizuri wenyewe wanakuja kufunga makufuli.faya,leseni,mapato,vat,levy,mwenge,takataka, n.k .
Wanakupangia cha kulipa hata kama hujazalisha kiasi hicho.
Yani wanataka wawatoe watoto wao out wakaogelee pasaka hii.Wanatafuta hela za kulipana posho kabla ya sikukuu ya pasaka, haha
Butthole kabisa yaan.Africa is shithole
Mapumbaf yanajua kukusanya na Sio kubuni mbwinu za kuzalisha!
Mungu wangu usiniambie .[emoji33][emoji33][emoji33]Labda ni kwaajili ya kunenepesha wabunge maana tunaambiwa wanapandishiwa posho toka 13 kwenda 18
Umaskini unaletwa na utawala wetu .Ndiyo mbinu wanayotumia kuiuza nchi wanasingizia umasikini wakati wanauza rasilimali zinafujwa hovyo
Hatarii mnoooSerikali ya Tanzania inaongozwa na wasomi waliowekwa madarakani na wachawi, waganga pori na wasoma viganja ambao karibia wote ni TABULARASA.... Ukiona msomi anashiriki SHIRKI ujue alienda shule kama stages za ukuaji na siyo kuelimika
Kimsingi tunaishi kama mazombi ndani ya nchi huru inayopeperusha bendera yake kwa furaha huku wananchi WAKIHAHA
Kona na penalty ni 2025[emoji23][emoji23][emoji23] si iwe kona kabisaa,
Yani Hawa watu hapana.• Hapa nazungumzia wale kila uchaguzi wapo na CCM, Lakini kero zikitokea wanaanza kulia lia.
• Nashauri waende makao makuu ya CCM, Watapata msaada.
Wanasema mamlaka kutoka juuPoleni.Hao wanaofunga wamepewa mamlaka na nani?
La sivyo Kodi itatushinda mkuu.Umewaachiaje mkuu???, mbona unawadekeza!!!
Weee Mungu wangu. Tudokezane na siku zinazofuata manake mh.Leo nimesikiaa wapo ihumwa tra na jiji Kaz yao Ni kufunga maduka bila maelezo
Hakuna kitu kama hicho,nyie wafanyabiashara mkikomaa hakuna atakayefunga