makoye2009
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,638
- 1,218
CCM kwa mara nyingine na kwa uwazi kabisa wamethibitisha kuwa ni CHAMA CHA KIDIKTETA.
Kile wanacholazmisha CCM pale Dodoma kuhusu KURA YA WAZI ni udikteta uleule alioukuwa anautumia dikteta ADOLF HITLER na chama chake cha NAZI na sera zake za Nazism!
JK Kiwete, Kinana na Pinda tunawaasa kwamba acheni huo mchezo mchafu. Mnakotaka kutupeleka siko. Kura ya SIRI haiwezi kuepukwa hata kidogo. Waswahili walisema SIKIO LA KUFA halisikii dawa. Sasa kama mmeamua kuwafanya Watanzania ni wajinga wasiojua maana ya DEMOKRASIA basi endeleeni na huo unazi wenu.
Matokeo yake mtakuja yajutia nyie na vizazi vyenu. Watanzania wamewavumilia vya kutosha na siku zote uvumilivu una mwisho. CCM msijifanye nyie ni watawala wa Tanzania milele. Hebu chonde chonde acheni DEMOKTRASIA YA KWELI ICHUKUE MKONDO WAKE KWA KURUHUSU MAONI YA WENGI KUHUSU KURA YA SIRI!!!!