ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Nawashangaa sana watu wanaoibeza Dodoma , na kujaribu Kuidogosha Kwa mbali Dhidi ya Mwanza.
Kwa mlio na ufahamu na Dodoma ,na Mwanza Mtakubaliana na Mimi kuwa Dodoma inakuwa Kwa Kasi na Inaenda kuipiku Mwanza Kwa kuwa Jiji namba Mbili, baada ya Dodoma kuipiku Arusha Tayari.
Ndani ya Miaka 5 Naamini Dodoma itakuwa Juu ya Mwanza.
Kwanza Ieleweke Maendeleo ya Mwanza mengi yanaletwa na Wafanyabiashara , na ndo tegemezi Kubwa, Kwa Dodoma Maendeleo yanaletwa katika Nyanja Mbalimbali,
Mji wa Dodoma Kwa kiasi kikunwa unajengwa na Serikali Kwa nguvu Kubwa sana, Pili Mji wa Dodoma unajengwa na wafanyabiashara Wakubwa matajiri kutoka Dar esa slamaam , Arusha, Mwanza , Zanzibar na Pwani,
Na Lingine kubwa zaidi Dodoma inajengwa na Mafisadi, na Mafisadi wengi wamewekeza Dodoma kwenye real Estate, Dodoma Inaendelea kupata Maendeleo kupitia utakatishaji Mkubwa Wa fedha unaofanywa na Mafisadi wa Serikali, Hivyo ni vigumu Kwa Mwanza kuendelea kuwa juu ya Dodoma , Kwani Dodoma inapata Saport Zaidi.
Viwanda vingi kujengwa Dodoma, Serikali miradi mingi kupelekwa Dodoma, Mafisadi nayo yanaendelea kuleta pesa Kwa wingi,