mkongoman leo
JF-Expert Member
- Mar 26, 2026
- 294
- 345
kitendo cha Mwanza kunyimwa intern airport waliimaliza kabisa,Dodoma kwa hicho tu inaipita MwanzaKwn bado Dodoma haijaipiku Mwanza.
Mimi naona kama ishaipiku.
kitendo cha Mwanza kunyimwa intern airport waliimaliza kabisa,Dodoma kwa hicho tu inaipita MwanzaKwn bado Dodoma haijaipiku Mwanza.
Mimi naona kama ishaipiku.
Sio hicho tu vipo vingi sana mfano Chuo Kikuu Kikubwa kama UDOM,Magufuli City,NCC Government City,Bunge,Uwanja wa Mpira unaojengwa,Ikulu,Balozi mbalimbali n.kkitendo cha Mwanza kunyimwa intern airport waliimaliza kabisa,Dodoma kwa hicho tu inaipita Mwanza
Ni kweli wagogo na warangi ndo nature Yao umasikiniMada ni Dom vs Mwanza
Hata Arusha alisemaga ataipiku mwanza mpaka leo bado anahangaika na nyie Dodoma endeleeni kuhangaika
Hakuna mgeni yeyote au blogger akija Tanzania anawaza au hata kujua kwamba Kuna Kijiji Cha wavuvi kinaitwa Mwanza.Ni kweli wagogo na warangi ndo nature Yao umasikini
Mambo ya Dom ndio kama hivi Sasa 👇👇Dodoma ndo kiboko ya Mwanza