ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Kwani Mwanza ipo serikali ya Burundi au Serikali hiyohiyo inayojenga Dodoma..!!?Nawashangaa sana watu wanaoibeza Dodoma , na kujaribu Kuidogosha Kwa mbali Dhidi ya Mwanza.
Kwa mlio na ufahamu na Dodoma ,na Mwanza Mtakubaliana na Mimi kuwa Dodoma inakuwa Kwa Kasi na Inaenda kuipiku Mwanza Kwa kuwa Jiji namba Mbili, baada ya Dodoma kuipiku Arusha Tayari.
Ndani ya Miaka 5 Naamini Dodoma itakuwa Juu ya Mwanza.
Kwanza Ieleweke Maendeleo ya Mwanza mengi yanaletwa na Wafanyabiashara , na ndo tegemezi Kubwa, Kwa Dodoma Maendeleo yanaletwa katika Nyanja Mbalimbali,
Mji wa Dodoma Kwa kiasi kikunwa unajengwa na Serikali Kwa nguvu Kubwa sana, Pili Mji wa Dodoma unajengwa na wafanyabiashara Wakubwa matajiri kutoka Dar esa slamaam , Arusha, Mwanza , Zanzibar na Pwani,
Na Lingine kubwa zaidi Dodoma inajengwa na Mafisadi, na Mafisadi wengi wamewekeza Dodoma kwenye real Estate, Dodoma Inaendelea kupata Maendeleo kupitia utakatishaji Mkubwa Wa fedha unaofanywa na Mafisadi wa Serikali, Hivyo ni vigumu Kwa Mwanza kuendelea kuwa juu ya Dodoma , Kwani Dodoma inapata Saport Zaidi.
Viwanda vingi kujengwa Dodoma, Serikali miradi mingi kupelekwa Dodoma, Mafisadi nayo yanaendelea kuleta pesa Kwa wingi,
sasa unataka kulinganisha dodoma na mwanzo saahv?Hata Arusha alisemaga ataipiku mwanza mpaka leo bado anahangaika na nyie Dodoma endeleeni kuhangaika
Bila mafisadi kungekuwa Hoi kama MorogoroDodoma jiji la viwango lile
Mtoa mada amezungumzia jiji la Dodoma na Jiji la Mwanza sio mkoa wala kanda ...jikite hapo usihamishe magoliUpuuzi wa Dodoma wananchi wanaishi maisha magumu(wa rangi,wagogo) wenye pesa ni Watu wa serikali ila mwanza wananchi ndio wanahela kuliko watumishi,
Kifupi kanda ya ziwa uchumi wa mtu mmoja mmoja ni mkubwa kuliko kanda ya kati
Mkuu nimekaa Dodoma zamani nilipotea kanda ya kati kwa muda mrefu zamani nilikua najua Dodoma ipo vizuri inaizid mbea mwanzaMtoa mada amezungumzia jiji la Dodoma na Jiji la Mwanza sio mkoa wala kanda ...jikite hapo usihamishe magoli
😀😀Upuuzi mtupu unaongea huna ujuacho zaidi ya ushabiki na stori za vijiweni.Mkuu nimekaa Dodoma zamani nilipotea kanda ya kati kwa muda mrefu zamani nilikua najua Dodoma ipo vizuri inaizid mbea mwanza
Kiukweli jiji la mwanza linanyumba zilizopangana juu ya mawe
Ila uzuri wa jiji la mwanza huwezi fananisha na Dodoma
Nilipokuwa juzi ndio nikasema yaani Dodoma uifananishe na mwanza utakua huna akili
Angalia nyumba za makazi ya watu wa Dodoma,nyumba nzuri nzuri zipo makulu nkuhungu ila Chang'ombe sijui maili mbili aaah
Dodoma inakitu gani cha maana zaidi ya mabati yanayofanana
Ayo magorofa mengi ya wizara tena wizara mpya ndio wanajenga jenga
Mwanza ata nyumba ni nzuri,,ukiingia mjini ni mjini kweli
Sasa Dodoma mjini ni one way,au wapi sabasaba au makole mbele ya independence square unakutana na majengo sokoni kwenye virabu vya pombe
Dodoma kuna kiwanja gani cha maana kinachojaza
Ukiingia ivyo viwanja mtu anakunywa bia moja masaa mawili longe yenyewe inawatu kumi
Wakazi wa Dodoma wengi wao 95% wanaishi nyumba za kupanga,bodaboda,saloon,kutembeza vitu yaani ni kuunga unga
Juzi ndio nilijua Dodoma ni seemu ngumu,mtu akiweza kulipa kodi amemaliza maisha
Ng'hong'hona Ujasi😅