Dodoma inajengwa na Gov+ Businesmen + mafisadi but Mwanza inajengwa na Business Man tu, ni muda tu

Nasema hivi nimekaa Dodoma zaidi ako seemu gani Dodoma ambayo siijui,shida ya mwanza imebanwa sana na milima ndio hizo barabara kama za Dodoma mwanza huwezi kuziona

Ila ukiniambia Dodoma ni bora kisa bati nyekundu za swaswa,nkuhungu makulu na barabara za lami had virabuni bado sana
 
Wewe nenda kabishane Facebook humu ni JF tunabishana kwa facts sio ushabiki😀😀.Kama kweli umewahi kuishi Dodoma Jiji ebu tuambie hivi vigezo alafu tulinganishe na Mwanza👇👇
-Ubora wa mipangomiji
-Ubora wa miundombinu
-Mtandao wa barabara za lami
-Mapato (Halmashauri+TRA)
-Uwepo wa miradi mingi
-Uwepo wa ofisi,taasisi, na mashirika ya kimataifa
-Uwepo wa Serikali kuu
-Uwepo wa Bunge,Mahakama
-Idadi ya maghorofa
-Vyuo Vikuu
N.k

Naomba utujibu kwa kila point apo juu usilete porojo😅😅😅😅
 
Ukiniambia Dodoma ni bora kuliko mwanza kisa ubora wa barabara wewe bado sana,hata tabora ya Toronto utasema inaizid mwanza maana hata tabora lami ni kila barabara

Shida ya Dodoma sio mji wa wananchi ni mji wa serikali na wafanyabishara

Zamani kabla ya serikali kuhamia Dodoma nitajie ghorofa hapo mjini iliyokua ya maana zaidi ya vile vigorofa uchwara vya one way sijui itega hotel

Vigorofa vipya ni kazaa kazaa tu tena ni majengo ya wizara

Uzuri wa mwanza ukisema hapa ni mjini mjini kweli sasa Dodoma mjini nyerere square

Mwanza ni mji uliojengwa na wakazi wa mwanza huwezi fananisha na mji unaotegemea kila kitu serikali
.
 
Nilijua tu utaleta porojo na kuzunguka zunguka tu badala ya kujibu hoja ndiomana tunakushauri nenda kabishane Facebook kwa MEMKWA wenzako wanaoendekeza ushabiki badala ya points humu ni Jamiiforums home of great thinkers😀😀😀.
Kwa kukusaidia tu ubora wa mji wowote duniani unapimwa kwa vigezo hivi👇👇
-Ubora wa Mipangomiji
-Ubora wa Miundombinu
-Mtandao mpana wa barabara za lami
-Mapato
-Uwekezaji
-Curent and Future projects
-Idadi ya maghorofa
-Taasisi+mashirika kitaifa na kimataifa
N.k

Kitu pekee Mwanza inachoizidi Dodoma ni population tu hilo halina ubishi lakini vigezo vingine vyote Dodoma Jiji ipo mbali sana ndiomana kilasiku Mwanza wanalalamika Serikali kupendelea Dodoma. 👇👇

 

Umejiuliza kwanini Watu hii threed wanaichora tu,wanaona ni mada ya kipumbavu,yaani uifananishe mwanza na Dodoma ?kunasiku Watu walileta mada eti Dodoma inaizid dar
 
Umejiuliza kwanini Watu hii threed wanaichora tu,wanaona ni mada ya kipumbavu,yaani uifananishe mwanza na Dodoma ?kunasiku Watu walileta mada eti Dodoma inaizid dar
NARUDIA TENA Kitu pekee ambacho Mwanza wanaizidi Dodoma ni idadi ya watu (Wasukuma wanazaliana sana hawanaga uzazi wa mpango😀😀) lakini vigezo vingine vyote vya ubora wa Jiji kwamfano mipangomiji,miundombinu,uwekezaji ,miradi ya serikali ,maghorofa,vyuo vikuu,huduma za kijamii,mapato ya halmashauri na TRA ,uwepo wa serikali kuu,bunge ,Mahakama,mashirika ya kimataifa nk kwa sasa Mwanza haifiki hata robo ya ubora wa Dodoma na kwa jinsi Serikali inavyozidi kuwapendelea kuwekeza Dodoma na kuwabagua Mwanza baada ya miaka michache Mwanza watashindana na Mbeya huo ndio ukweli mchungu 👇👇

 
Mafisadi wanajenga kote sip Dodoma

Hata mwanza wapo
 
Upuuzi wa Dodoma wananchi wanaishi maisha magumu(wa rangi,wagogo) wenye pesa ni Watu wa serikali ila mwanza wananchi ndio wanahela kuliko watumishi,

Kifupi kanda ya ziwa uchumi wa mtu mmoja mmoja ni mkubwa kuliko kanda ya kati
Mada ni Dom vs Mwanza
 
Upuuzi wa Dodoma wananchi wanaishi maisha magumu(wa rangi,wagogo) wenye pesa ni Watu wa serikali ila mwanza wananchi ndio wanahela kuliko watumishi,

Kifupi kanda ya ziwa uchumi wa mtu mmoja mmoja ni mkubwa kuliko kanda ya kati
Uko sahihi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…