Dodoma: Issa atuhumiwa kubaka na kulawiti watoto watatu

Dodoma: Issa atuhumiwa kubaka na kulawiti watoto watatu

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Mwanaume anayefahamika kwa jina la Issa Ramadhani (35), mkazi wa Mtaa wa Mnyakongo, Kata ya Nkuhungu, jijini Dodoma, anatuhumiwa kwa kumbaka na kuwalawiti watoto watatu wenye umri chini ya miaka mitatu, na kuwasababishia majeraha makubwa sehemu za siri.

Tukio hilo linadaiwa kutokea mnamo Agosti 12, majira ya saa tano asubuhi, wakati watoto hao walipokuwa wakicheza jirani na makazi yao. Inadaiwa kuwa mtuhumiwa aliwadanganya watoto hao kwa kuwaambia wafuate pagale lililokuwa karibu, akidai lina makopo ya kuchezea, ndipo akawafanyia vitendo hivyo vya kinyama.

Soma pia: The Chanzo: Makosa ya Kulawiti, Kubaka Yameongezeka Tanzania

Mmoja wa watoto amesimulia kuwa walipojaribu kupiga kelele, mtuhumiwa aliwatishia kuwa atawaachia mbwa wawashambulie. Baada ya ukatili huo, alitoroka eneo la tukio.

Wazazi wa watoto hao walikimbilia Kituo Kikuu cha Polisi Dodoma kuripoti tukio, ambako walipatiwa fomu ya matibabu (PF3) na watoto kupelekwa hospitali kwa huduma za haraka. Matokeo ya vipimo vya kitabibu vilithibitisha kuwa watoto walilawitiwa na kupata majeraha makubwa.

Hata baada ya mtuhumiwa kukamatwa, wazazi wamesema wameshuhudia ucheleweshaji wa mchakato wa kisheria.
Akizungumza na JAMBO TV, Mwenyekiti wa Mtaa wa Mnyakongo, Bw. Stephano Chiwaligo, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa mtuhumiwa ni mtu mwenye akili timamu, ila ni mtumiaji wa vilevi ikiwemo pombe, sigara na bangi.

Aidha Bw. Chiwaligo amesema ofisi yake inafuatilia kwa karibu mwenendo wa kesi hiyo na ameahidi kuhakikisha mtuhumiwa anafikishwa katika vyombo vya sheria ili haki iweze kutendeka huku akiwasihi wazazi na walezi kuwa makini zaidi katika kuwalinda watoto wao dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji vinavyoweza kujitokeza.
 
Matatizo ya akili hayo.

Wanawake wazuri tena wanagawa bure kabisa wamejaaa ila mtu unaenda lawiti vitoto..
 
Hivi kwanini hawaonyeshagi sura za hawa wanyama tuone roho waovu wanavyofanana?
 
Hao wazaz naona hawana uchungu yaan kabla hajatiwa mikonon mwa polisi nahakikisha jiwe la kichwa limempata
 
Huyu jamaa anatakiwa akabidhiwe kwa wananchi tu ili tusihangaike kusumbua mahakama zetu.
 
Hivi kwanini hawaonyeshagi sura za hawa wanyama tuone roho waovu wanavyofanana?
Waonee huruma tu bure, wengi wao huwa hawana akili na wengine mapepo yana wavaaa .. na wengine ni imani za kishirikina. Hakuna mtu timamu anaweza fanya huo unyama
 
Haya mambo nilidhani mtu anaweza kusingiziwa tu, kumbe kuna hali fulani mtu anaweza kuvifanyia vitoto vidogo mtima nyongo, vitoto navyo kwa asili ya maumbile yao huweza kusisimka kiasili kama vitasisimiwa japo ni kosa kisheria kusisimua mtoto asisimke kutaka afanye mapenzi. Jitu zima akili za kawaida huondoka na kuona kitoto ni sawa na yeye na ndipo huvifanyia vitoto kitu mbaya bila kujali matokeo yake kama kuumiza mtoto asiyeweza kuhimili kitendo hicho. Mtoto akiumia mtu mzima huishia kukamatwa na kufunguliwa mashitaka ya kunajisi vitoto
 
Mmmh mkuu kwani vitoto vina sisimka kweli ebu nielekeze hii
 
Back
Top Bottom