Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Ni huzuni nilikuwa chahwa 2023 nilipita na baadhi ya vijiji vilivyo jirani hali si rafiki.View attachment 3497768
Kwenye hivi vijiji vinavyozunguka Ikulu hali ya Uchumi ikoje hasa kwa vijana, na Wastani wa Elimu yao uko vipi.
Tarehe 29 Samia Angekuwa Dar lazima angekimbia nchiNi huzuni nilikuwa chahwa 2023 nilipita na baadhi ya vijiji vilivyo jirani hali si rafiki.
Mpango wa kuizunguka Ikulu ya Chamwino uanzeNi huzuni nilikuwa chahwa 2023 nilipita na baadhi ya vijiji vilivyo jirani hali si rafiki.
Shem mimi sijatoka kuandamana usinichomee πNi jambo la heri tupo salama, nimefurahi kukuona pia mitaa ya st john
Mkuu nani atawapa ruhusa ya kufanya intervention ya aina hiyo?Nimeona wewe ni mtaalamu wa Dodoma.
Inabidi NGO zipatembelee kuwaelimisha hao vijana, wapelekwe fursa za kiuchumi na Elimu, pia wajifunze elimu ya uraia siku watu wakiandamana hao wa hapo ndio wanaanza kazi
Siwezi kukuchoma shem, nna imani nae hakutoka pia na yupo salama.Shem mimi sijatoka kuandamana usinichomee π
Jf hii kaka, usiamini Kila unalolisikia. Watu wamefeli kwenye mission yao hivyo wanaweza wakaja kivyovyoteMh mbona ni hatari
Mkuu nani atawapa ruhusa ya kufanya intervention ya aina hiyo?
π π π