Dodoma kama Ulaya, Stendi mpya kama airport yashika namba 1 Tanzania, ina Kanisa na Msikiti

Dodoma kama Ulaya, Stendi mpya kama airport yashika namba 1 Tanzania, ina Kanisa na Msikiti

Si utani. Hii kitu ya uhakika. Tuenda sambamba na nchi za wenzetu huko. Inawezekana hiyo ni stendi nzuri zaidi kwa Afrika Mashariki(Si uhakika). Utadhani ni airport. Ngoja tuone hiyo ya Kibamba ikikamilika.
 
Sema hapo ndiyo kwenye shida.usafi usafi ni janga kubwa bongo.nashauri wangebinafsisha hivyo vyoo labda inaweza saidia.maana huyo jamaa anayekula ugali na samaki baada ya wiki mbili tatu akirudi hapo na samaki wake ataweza dhani samaki ameoza
Sio usafi tu

Tuna matatizo mengi sana.

Leo hii dsm tiketi za mwendakasi baada ya kukata tiketi unampa yule mtu anaichana wakati mwanzo wana walikuwa wanapita kwenye mashine.
 
Si utani.hii kitu ya uhakika.tuenda sambamba na nchi za wenzetu huko.inawezekana hiyo ni stendi nzuri zaidi kwa Afrika Mashariki(Si uhakika). Utadhani ni airport. Ngoja tuone hiyo ya kibamba ikikamilika.
Hakuna nchi Afika mashariki yenye stendi za mabasi kama Tanzania, iwe ile ya Msamvu Morogoro, ya kule Sumbawanga na hata hiyo ya Dodoma.
 
Si utani.hii kitu ya uhakika.tuenda sambamba na nchi za wenzetu huko.inawezekana hiyo ni stendi nzuri zaidi kwa afrika mashariki(Si uhakika).utadhani ni airport.Ngoja tuone hiyo ya kibamba ikikamilika.
Siyo inawezekana kwa east africa stand kali ilikua ni Msamvu ya Morogoro now msavu imetolewa na stand ya Dodoma, ila stand ya Mbezi DSM ikikamilika ndio itakua baba lao.
 
Si utani.hii kitu ya uhakika.tuenda sambamba na nchi za wenzetu huko.inawezekana hiyo ni stendi nzuri zaidi kwa afrika mashariki(Si uhakika).utadhani ni airport.Ngoja tuone hiyo ya kibamba ikikamilika
Hizo nchi za wenzetu hizo stendi zao zina sadifu na hali ya maisha ya wananchi wao!!! Sifa za kijinga, wewe mwananchi wa kawaida inakusaidia nini hata iwe ya kwanza duniani, wakati ukienda hospital hata dawa za muhimu tu hakuna?

Wenzako ulaya karibia kila kitu kiko sawa, mfano kwa mtu wa chini aliyeshindwa kupanda ndege kipindi fast jet zipo, nauli hata kwenda mwanza mtu angeweza kulipa 80,000!!!,asahau kabisa kupanda ndege, hizo zilizoletwa kwa mbwembwe, mgonga ulimbo gani anayeweza kuzipanda?!

Hilo daraja la tazara ukiangalia unafuu wake kwa watumiaji wanaotoka barabara ya Mandela bado ni mdogo mnooo!!! Ukilinganisha na tambo zilizokuwa zikitolewa na viongozi!!!
 
Hakuna nchi Afika mashariki yenye stendi za mabasi kama Tanzania, iwe ile ya Msamvu Morogoro, ya kule Sumbawanga na hata hiyo ya Dodoma.
Inawezekana hawana lakini kipi bora uchumi wa wananchi wao mmoja ukiwa ni bora kuliko wako wenye mastendi hayo?!! Mfano Kenya?
 
Heeee!! Nipe chanzo cha habari yako!! Ila isiwe kutoka kwa mzee macho kodo anakozitoa, iwe ya kimataifa!!
Screenshot_2020-06-28 Tanzania ranked as top most inclusive economy in Sub-Saharan Africa inde...png
 
Hakuna nchi Afika mashariki yenye stendi za mabasi kama Tanzania, iwe ile ya Msamvu Morogoro, ya kule Sumbawanga na hata hiyo ya Dodoma.
Kati ya hizo zote ipi bora kuliko zote. Kwa upande wako?
 
Back
Top Bottom