Dodoma kama Ulaya, Stendi mpya kama airport yashika namba 1 Tanzania, ina Kanisa na Msikiti

Dodoma kama Ulaya, Stendi mpya kama airport yashika namba 1 Tanzania, ina Kanisa na Msikiti

Ukisikia Uchumi wa kati ndio huu
Nchi inajengwa kweli kweli
Kenya kuwa na stand kama hii ni 2030+
2441031_IMG_4134.jpg
2441038_IMG_4123.jpg
2441006_IMG_4161.jpg
2441032_IMG_4138.jpg
2441027_IMG_4144(1).jpg
2441022_Adjustments.jpg
2441035_IMG_4140.jpg
2441039_IMG_4136.jpg
2441034_IMG_4132.jpg
2441027_IMG_4144(1).jpg
2441023_IMG_4146.jpg
 
Wapi nimesema kuwa serikali italeta pesa bila mtu kufanya kazi? Nani amekwambia kuwa sasa pesa haipigwi? Rejea ripoti za CAG, tena kwa taarifa yako, huo usiri unaofanyika sasa ndio pesa zinapigwa balaa, hizo nchi unazosema wana matatizo yao lakini sio kama haya, maji tu safi na salama ni mtihani!!, panadol tu, mtihani, ushabikie eti stendi?!! Jitahidi kupunguza matatizo ya msingi kwanza kwa wana nchi wako!! Watoto tu bado wanasomea nje, wana kaa chini tena hapa hapa dar!!! Majengo mengi ya hospital yamejengwa sawa, lakini madawa, watumishi ni shida, hospital ni zaidi ya majengo.
Wapi Dar watoto wanakaa chini wewe?
 
Hii ingepelekwa kwenye jukwaa zenu huko maana haina uhusiano wowote na Kenya. Jukwaa la mapenzi ingekuwa bora zaidi.
Lazima wamuonyeshe big brother pia wao wapo kazini...SGR noma wamekimbilia stendi.
 
Stendi hii ingekuwa mojawapo wa Hospitali za Rufaa za wilaya au mikoa zinazotoa huduma masaa 24 zikiwa na vifaa tiba vya kisasa vingi, madawa na wafanyakazi wa kutosha wa sekta ya afya nadhani ingependeza zaidi.

Sielewi kwanini wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) na Halmashauri za miji / town councils wakaamua kutumia fedha nyingi ktk ujenzi wa stendi kila kona ya Tanzania badala ya kuanza na mahospitali.

Labda sera ya Maendeleo ya Vitu vya CCM Mpya ni kipaumbele zaidi ya Maendeleo ya Watu ktk kupata huduma bora za matibabu ili waendelee kuchapa kazi .
Ninyi huwa nawaona kama hamnaga akili timamu.

Huwa hamuwezi ku appreciate kwanza then uache siku ipite uje na hoja ya kutaka kingine kizuri kifanyike, huwa mnaponda zuri lolote linalofanywa na serikali hii kwa hila na uongo.

Mtaumbuka sana wachawi wa nchi hii.

 
Tatizo mfumo na wizara na waziri husika kapwaya wewe tazama usafi jiji la Dar umerudi kama zamani takataka kila kona magari ya taka hayazoi taka kama zamani sijui mkuu wa mkoa anafanya kazi gani sikuizi labda yupo bize kwenya mali zake
Vipi kuhusu Rais kuwaruhusu street vendors wafanye shughuli zao popote.
 
ninyi huwa nawaona kama hamnaga akili timamu

Huwa hamuwezi ku appreciate kwanza then uache siku ipite uje na hoja ya kutaka kingine kizuri kifanyike, huwa mnaponda zuri lolote linalofanywa na serikali hii kwa hila na uongo

Mtaumbuka sana wachawi wa nchi hii



Hawa hawakosekani; kama ingejenga vituo kama hivi kabla yetu ungewaona humu wakikosoa!
 
Hizo nchi za wenzetu hizo stendi zao zina sadifu na hali ya maisha ya wananchi wao!!! Sifa za kijinga, wewe mwananchi wa kawaida inakusaidia nini hata iwe ya kwanza duniani, wakati ukienda hospital hata dawa za muhimu tu hakuna?!! Wenzako ulaya karibia kila kitu kiko sawa, mfano kwa mtu wa chini aliyeshindwa kupanda ndege kipindi fast jet zipo, nauli hata kwenda mwanza mtu angeweza kulipa 80,000!!!,asahau kabisa kupanda ndege, hizo zilizoletwa kwa mbwembwe, mgonga ulimbo gani anayeweza kuzipanda?!! Hilo daraja la tazara ukiangalia unafuu wake kwa watumiaji wanaotoka barabara ya Mandela bado ni mdogo mnooo!!! Ukilinganisha na tambo zilizokuwa zikitolewa na viongozi!!!

Unaelewa nini kuhusu neno "Tanzania inapigana kujiinua kiuchumi kuelekea uchumi wa kati?" Hospitali nchi nzima zimerekebishwa na kufanywa kuwa kubwa, kama kwenu haijarekebishwa tafadhali nikosoe. Hospitali zimejengwa n vituo kale vimepanuliwa ili kuendelea kutoa huduma kiufanisi zaidi. Hivi kipindi cha kikwete ulienda muhimbili na saivi umeenda kweli?
Kama hospitali karibu na kwenu haijarekebishwa, kama barabara ya jijini kwako kama sio unapoishi hazijajengwa, basi mimi ni mpumbavu nisiyejionea mambo kwa jicho la pili, ila kama hivyo vitu nilivyovitaja vipo, tafadhali ninakuomba ubadilishe mawazo ya kishoga, utaolewa. Serikali inafight kutengeneza mazingira mazuri ya wananchi wake kujikwamua kiuchumi, kama wewe unangojea serikali ikupe pesa utaolewa. Piga kazi kaka, katika hii awamu ninaowajua wanapiga kazi karibia wote wanajenga alafu wewe unapiga zogo. Toa lawama wenzako waleeee
 
Ukanda wote huu hakuna nchi yenye bus terminal kama hiyo kwanza hata ni nzuri kuliko airport za nchi zingine.
Hizi ndizo tunaita sifa za kijinga!!!! Naona umedandia treni kwa mbele nisaidie chanzo cha habari kuwa ktk nchi a afrika mashariki, TZ, inaongoza kwenye inclusive economy!!
 
Wewe ni mjinga na ni wakuupuzwa ili ubaki na ujinga wako usije kutuambukiza ujinga wako.
Hizi ndizo tunaita sifa za kijinga!!!! Naona umedandia treni kwa mbele nisaidie chanzo cha habari kuwa ktk nchi a afrika mashariki, TZ, inaongoza kwenye inclusive economy!!
Siasa zimekuharibu kiasi kwamba kazi ni kupinga na kubisha kila kitu,

Kuhusu inclusive economy angalia hii screenshot uliyojibiwa hapa ukajifanya huoni.
 
I realized Tanzanians take bus terminals very seriously, i don't understand why🙄🙄. Anyway, to each their own.
Kwanini airport zinachukuliwa serious pia? Kuna tofauti gani kama maeneo yote ni ya kuabiri abiria au you take airports seriously sababu most of the users are foreigners? Then you don't care for your common people.
 
Back
Top Bottom