Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Naona unateseka, yeye kashasema hakuna kama hiyo au kufikia hiyo wewe unaepinga ndio ulete sasa hiko chanzo kinachoonesha nchi fulani kuna stand kubwa au ulete picha ya stand na utuambie hii ipo inchi fulan, sasa ukimwambia yeye ndio alete chanzo kinachoonesha hakuna kama hii hapo itakua una matatizo kidogo ktk lugha yetu ya Kiswahili itakua huijui vizuri.Hizi ndizo tunaita sifa za kijinga! Naona umedandia treni kwa mbele nisaidie chanzo cha habari kuwa ktk nchi a afrika mashariki, TZ, inaongoza kwenye inclusive economy!!
Kwasababu haiwezekani wewe ndie unaepinga halafu yeye ndio akujibie hoja yako ya kupinga uliona wapi? Acha bla bla yeye kasema hakuna kama hiyo ukanda huu na Mimi nakubaliana na hilo, wewe unaepinga sasa sema zipo au ipo na lete na picha hapo tutajua kama kweli ipo au zipo.