Dodoma kama Ulaya, Stendi mpya kama airport yashika namba 1 Tanzania, ina Kanisa na Msikiti

Dodoma kama Ulaya, Stendi mpya kama airport yashika namba 1 Tanzania, ina Kanisa na Msikiti

Hizo nchi za wenzetu hizo stendi zao zina sadifu na hali ya maisha ya wananchi wao!!! Sifa za kijinga, wewe mwananchi wa kawaida inakusaidia nini hata iwe ya kwanza duniani, wakati ukienda hospital hata dawa za muhimu tu hakuna?

Wenzako ulaya karibia kila kitu kiko sawa, mfano kwa mtu wa chini aliyeshindwa kupanda ndege kipindi fast jet zipo, nauli hata kwenda mwanza mtu angeweza kulipa 80,000!!!,asahau kabisa kupanda ndege, hizo zilizoletwa kwa mbwembwe, mgonga ulimbo gani anayeweza kuzipanda?!

Hilo daraja la tazara ukiangalia unafuu wake kwa watumiaji wanaotoka barabara ya Mandela bado ni mdogo mnooo!!! Ukilinganisha na tambo zilizokuwa zikitolewa na viongozi!!!
Umesomeka vizuri!
 
we nae karibu nakupuuza,umewahi enda hata hospital moja ya serikali ukaona misongamano ya wagonjwa ilivyo? Nimekwambia sera ya afya na hata kwenye ilani ya ccm ya 2015-2020 ilikuwa ni kituo cha afya kila kata na zahanati kila kijiji,viko wapi? Kwa akili yako unadhani vituo vya afya vilivyojengwa vimeondoa tatizo? unajua uwiano wa vituo vya huduma na idadi ya watu ulivyo au unakurupuka tuu,kwa hiyo kwako mbio za mastendi na masoko ya gharama ni sahihi kuliko huduma za msingi?
unapoteza muda wako tuu kushupaza shingo na povu kama umemeza Omo

bus terminal ndo ishajengwa kama unahasira meza wembe au andamana

Msalmie huyo mlevi alovunja mguu😂😂
 
tupo hapa na tunatembea kifua mbere kama tmepigwa ngumi ya mgongo

Najua inauma ila itabidi mzoee tuu Magufuli 5tena🤣🤣
Iyo pole yako baki nayo bro

#MAKE TANZANIA 'GREAT AGAIN#
Yani mimi kabisa iniume mataga kutembea kifua mbele kama mmepigwa ngumi ya mgongo?
 
Stendi ya Dodoma ni nzuri Sana ila nimeona tatizo kwenye spika ndani ya kumbi hazitoi sauti vizuri. Hapa either ni setting bado inawasumbua au wamepiga hela wakaweka za bei ya chini.
 
Nyie ujuaji mwingi mbele Giza
Nimkoa gani haina Hospitali?
Au nimkoa gani wilaya Hakuna ujenzi wa hospital?
Mahitaji ya Mtanzania nimengi zaidi
Na Huwezi fanya kimoja vingine ukaacha

Nionyeshe kuna hospitali kubwa ngapi zinazojengwa 2015 - 2020 za ukubwa wa stendi hii Mpya ya mabasi ya mjini Moshi inayojengwa:

MUONEKANO WA STENDI YA MABASI MOSHI/ STENDI YA KIMATAIFA MOSHI KILIMANJARO


Source : watetezi tv

Stendi Mpya ya Mabasi Yajaa Maji Ujenzi ukiendelea 10 June 2020



Serikali mkoani Kilimanjaro imeongeza timu ya wataalam kufanya utafiti wa kina kubaini kiini cha chemchemi chini ya jengo la kituo kipya cha mabasi.
Source: Azam TV
 
Uthibitisho wa kitu gani? si usome bajeti za tamisemi kuna majibu hapo au? Swala si kujitahidi swala ni kufanya inavyotakiwa kwenye huduma za msingi za jamii ndio mambo mengine yaendelee, ilani ya chama ilikuwa ni kituo cha afya kila kata na zahanati kila kijiji sasa viko wapi.Councils ziko busy kushindana kujenga mastendi na masoko makubwa makubwa wakati hata sio kipaombele cha wananchi, ukiuliza utaambiwa ni mradi wa kimkakati eti serikali inajenga kitega uchumi
Kaka tofautisha miradi ya kimkakati na miradi ya hospitali, yani tunazungumzia jua wewe unaleta story za mvua.
 
Nionyeshe kuna hospitali kubwa ngapi zinazojengwa 2015 - 2020 za ukubwa wa stendi hii Mpya ya mabasi ya mjini Moshi inayojengwa :

MUONEKANO WA STENDI YA MABASI MOSHI/ STENDI YA KIMATAIFA MOSHI KILIMANJARO

Source : watetezi tv

Stendi Mpya ya Mabasi Yajaa Maji Ujenzi ukiendelea 10 June 2020


Serikali mkoani Kilimanjaro imeongeza timu ya wataalam kufanya utafiti wa kina kubaini kiini cha chemchemi chini ya jengo la kituo kipya cha mabasi
Source : Azam TV
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza, ila kwa taarifa yako tu serikali inajenga hosipitali ya rufaa ya mkoa wa Mara lakini pia kuna ujenzi unaendelea wa hosipitali ya rufaa ya mkoa wa Mtwara, pia kuna hospitali a rufaa ya mkoa wa Singida.
 
We jamaa nakujibu kwa mara ya mwisho cz niliamua kukupuuza mana ww ni pessimistic wa hali ya juu usiyeweza kushukuru hata kwa kidogo ulichonacho, ni hv changamoto hazijawahi kuisha kwa mwanadamu, nenda popote duniani hata Marekani kuna changamoto katika sekta ya afya, lkn nimekushusha zaidi na natamani hata nisingelikuwa naziona post zako co kwasabu unapinga la hasha bali ww ni mpuuzi sana ur arguments do not hold any water, wapo wengi huwa wanapinga lkn mtu unaona huyu anachoongea kinaleta tija, huwezi ukakosoa ujenzi wa masoko na miundombinu mingine eti kisa sekta ya afya bado haijamaliziwa mahitaji yake tng lini mahitaji ya mwanadamu yakaisha? Kwny uchumi huwa tunasema human wants are unlimited but resources are scarce, unataka vipaombele viwekwe kwenye ujenzi wa vituo vya afya tu je hyo pesa ya kwenda huko kwenye vituo vya afya utawapa ww hao wananchi?

Ni lazima tuguse kote lazima barabara zijengwe, lazima masoko yajengwe maji yapelekwe, mwananchi ukimuwekea soko uchumi unakuwa anakuwa na pesa ya kula vizuri, ukimuwekea maji safi na salama akanywa haumwi hovyo, btw hata hvyo vituo vya afya unavyolaumu humu vimekuwa vikijengwa kila leo na sidhani kama kuna awamu iliyojenga vituo vingi vya afya km hii nikipata evidence ntakuletea humu, yn huna unachoongea cha mana na ndiyo maana humu unapingwa na kila mtu cz wamekugundua una chuki binafsi, hata wapinzani wenzio huwa hawakusapoti humu cz u always talk no sense, badilika kuwa positive hata kama unapinga lkn inapaswa vingine vizuri uwe unasema, mbn cc humu kuna wengine ambao wanasifia visivyostahili lkn tunawakatalia ss ww kwnn unakuwa hivyo ww jamaa? Sitakujibu tena na ningependa wengine wenye kujua maana wakuache tu, ww ni mtapa tapa unaeleta hasira za nyumbani kwako humu.
Hawa jamaa hua na chuki za asili, na hata serikali ifanye jambo nzuri kiasi gani bado watatafuta kasoro tu.

Binafsi nakumbuka nilishawai kupost kwenye group la pan african kwenye FB kuhusu maendeleo aliyoyafanya JPM tangu aingia madarakani watu kibao walipendezwa na alichokifanya JPM ukizingatia group lile lina watu kutoka karibia kila nchi za Africa.

Lakini jambo la ajabu nililoliona alitokea mbongo mwenzangu na kuanza kupinga mapaka mimi mwenyewe nikawa namshangaa, nikajaribu kuangalia profile yake ya fb nikagundua jamaa ni kada wa chadema mara bahada ya kugundua tu hivyo ni kahamua kuachana naye mahana nilijua analeta siasa huku akidhani watu wote ni wanasiasa, kwa ufupi hawa jamaa wapo sana hata serikali ikiamua kumjengea kila mwananchi hospitali yake kama wanavyodai still watakuja na inshu nyingine ya kupinga, watu kama hawa ni wa kuwapuuzia tu ndio dawa yao.
 
Back
Top Bottom