Weka uthibitisho kipindi cha 2015 - 2020 hospitali gani kubwa za kisasa zimejengwa ukubwa wa stendi hizi za mabasi .
Hii ni important point hapa...
Yes kiukwel hospital zinajengwa hio sio scale hii..maana hizi stendi nyingne zimecost hadi Bil 22 kama ya dodoma sikosei.
Ila hili naliangalia kwa pande..4 Kuna hospital zimejengwa yes ila bado hazijafikia majengo ya stand kwa ukubwa ...
Mfano Ile hospital ya Mara..na Zonal Hospital ya mtwara zote zimecost almost 15 bil kwa kil moja ..hapo ni majengo bila equipments..i expect na equipments za mwanzo..bei inaweza fika 20bil tsh kwa kila moja almost same scale na stand ya dodoma kwa bei ila sio ukubwa...kila moja itakuwa na uwezo wa vitanda 400+ hizo ni mbili
Kwa upande wa pili..stand ni miradi inayotegemewa kuingiza pesa ..always in capitalist world haya mambo ndo tunayategemea kuliko miradi isyo ingiza pesa...kiukweli afya ni muhimu zaidi..lakini in recent years kwa hizi district hospital zilizojengwa katika kila wilaya ..sijui uwezo wake wa vitanda ila na expect ni around 100 ..je kuna demand kubwa ya watu kuzijaza?
Na bado kuna vituo vya afya vimejengwa ni around 350...labda hapo kila kituo vitanda 30-50.. Kumbuka havikuepo hvyo je kuna wangonjwa wote wa kujaza hvyo...mwanzon..watu wengi walikuwa wanajaza regional au zonal hosp cause ya kukosa district na health center so maybe tufanye research kujua kama demand..maana kwa kujenga vituo 350..na hospital 70 mpya za wilaya, lazima utakuwa umepunguza burden kiasi flani.
Cha tatu stend lazima ziwe kubwa hasa kama ni za mikoa cause magari ni mengi na yana occupy space kubwa na watu wengi wanakuja at a time lets say watu hata 5000 wanaweza kuja ndani ya masaa 12 ..ni tofauti na hospital watu 50-80 kwa district hospital in a day na wanaweza wasifike.
Kikubwa amabacho naweza kukubaliana na wewe ni tungefocus zaidi on specalized care, kwa kuwa na unit kubwa kwenye hizi zonal mbali mbali, ila sijaskia kama JKCI imezidiwa na najua MOI imepanuliwa Tena juzi tu. Mkapa kule dodoma Hospital bado kubwa na wanfanya transplants ..KCMC Na Bugando zote zinafanyiwa upanuzi sehemu mbali mbali najua Ocean road ilizidiwa kipindi flani. o tungeweza kutumia hela alomst ya stand kujenga nyingne mkoa mwingne maybe mwanza /dodoma /mbeya..cause pia magonjwa ya NCDs yako on rise yani tuwe more careful na health..bado kuna gaps kwenye tertiary level care, inagwa zinakuwa filled ila sio kwa rate kubwa kma project nyngne