Dodoma kama Ulaya, Stendi mpya kama airport yashika namba 1 Tanzania, ina Kanisa na Msikiti

Dodoma kama Ulaya, Stendi mpya kama airport yashika namba 1 Tanzania, ina Kanisa na Msikiti

Mwamba anajipigia menu yake nje ya mlango wa choo, hana habari!
 
Labda kwa sasa Kenya inajenga stand ya kwenda mbinguni.
Mnazindua nini leo? 😂😂😂
Screenshot_20200629-192759.png
 
Haya hongereni watani japo mna maringo sana hadi mnakera.
Mpangilio mbovu hata hapo mbagala tu hakupo hivi halafu eti ukifika hapa stand ndio unaambiwa ushafika Nairobi du si utataman usishuke ugeuze urudi maana vile ulivyokua unasikia manasifiwa na unachokuja kupaona tofauti
 
So bus stop ndio the only kipimo ya maendeleo. Mnachekesha sana. After one year mtuambie iyo stop imeingiza revenue kiasi gani,iyo ndio progress watu wanataka kuskia si mapicha.
 
Stendi hii ingekuwa mojawapo wa Hospitali za Rufaa za wilaya au mikoa zinazotoa huduma masaa 24 zikiwa na vifaa tiba vya kisasa vingi, madawa na wafanyakazi wa kutosha wa sekta ya afya nadhani ingependeza zaidi.

Sielewi kwanini wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) na Halmashauri za miji / town councils wakaamua kutumia fedha nyingi ktk ujenzi wa stendi kila kona ya Tanzania badala ya kuanza na mahospitali.

Labda sera ya Maendeleo ya Vitu vya CCM Mpya ni kipaumbele zaidi ya Maendeleo ya Watu ktk kupata huduma bora za matibabu ili waendelee kuchapa kazi .
Mimi nahic unakuosea sana. Kulinganisha nchi zetu za kiafrica na Ulaya

Sisi ndo kwanza tunaanza kuendelea uchumi wetu bado mdogo kulinganisha na Ulaya.

Maendeleo ni jambo la step hata wao walianza kama sisi miaka mingi iliyopita.

Mawazo yangu tu.

Tukutane DODOMA STAND
 
Stendi hii ingekuwa mojawapo wa Hospitali za Rufaa za wilaya au mikoa zinazotoa huduma masaa 24 zikiwa na vifaa tiba vya kisasa vingi, madawa na wafanyakazi wa kutosha wa sekta ya afya nadhani ingependeza zaidi.

Sielewi kwanini wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) na Halmashauri za miji / town councils wakaamua kutumia fedha nyingi ktk ujenzi wa stendi kila kona ya Tanzania badala ya kuanza na mahospitali.

Labda sera ya Maendeleo ya Vitu vya CCM Mpya ni kipaumbele zaidi ya Maendeleo ya Watu ktk kupata huduma bora za matibabu ili waendelee kuchapa kazi .
Acha kutuletea upimbi apa kwani mahospital hayajengwi. Alaf sio kila kitu kiend utakavyo wewe chamsingi hospital za kanda na huduma za afya vituo vinajengwa kila uchwao so acha kubadilisha habari. Hakuna asiye jua, huo uchama pelekea huko.
 
Kaka tofautisha miradi ya kimkakati na miradi ya hospitali,yani tunazungumzia jua wewe unaleta story za mvua
wewe ndo hujui kitu kwa level za halmashauri na wizara ya tamisemi haya mastendi na masoko ni inaitwa miradi ya kimkakati tofautisha na miradi ya kimkakati ya kitaifa.

Hoja na msimamo wangu unabaki palepale haya mastendi na masoko hayawezi kuwa ndio mambo ya muhimu na kipaombele kuliko huduma za jamii,mawazo ya kipuuzi kabisa.

Nakupa mfano mdogo Sumbawanga wamejenga listenfi kuuubwa nje ya mji huko la mabilioni tena la ghorofa lakini stendi ya mjini iliyopo hata haijawahi zidiwa na magari sasa unashindwa kuelewa hii akili vipi?

Rais alipokua ziarani Rukwa alizuia ujenzi wa soko la ghorofa la mabilioni kama kawaida ya mnavyofanya huko kwingine na kuwauliza hao viongozi wenu kwamba soko likiwa la ghorofa na bei kubwa ndio linaleta faida kwa muuza nyanya au? Matumizi mabaya kabisa ya pesa za mlipa kodi.
 
wewe ndo hujui kitu kwa level za halmashauri na wizara ya tamisemi haya mastendi na masoko ni inaitwa miradi ya kimkakati tofautisha na miradi ya kimkakati ya kitaifa..Hoja na msimamo wangu unabaki palepale haya mastendi na masoko hayawezi kuwa ndio mambo ya muhimu na kipaombele kuliko huduma za jamii,mawazo ya kipuuzi kabisa.

Nakupa mfano mdogo Sumbawanga wamejenga listenfi kuuubwa nje ya mji huko la mabilioni tena la ghorofa lakini stendi ya mjini iliyopo hata haijawahi zidiwa na magari sasa unashindwa kuelewa hii akili vipi?

Rais alipokua ziarani Rukwa alizuia ujenzi wa soko la ghorofa la mabilioni kama kawaida ya mnavyofanya huko kwingine na kuwauliza hao viongozi wenu kwamba soko likiwa la ghorofa na bei kubwa ndio linaleta faida kwa muuza nyanya au? Matumizi mabaya kabisa ya pesa za mlipa kodi
Nyimbo zako hazieleweki.
 
Back
Top Bottom