Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Miradi yenu yote humu mnaihusisha Tz. Nyie mbona tukiwaonyesha ya huku mnalialia. Sio kawaida yetu kuleta projects zetu huku ila ninyi mnatulazimu tufanye hivyo.Pelekeni huko kwenu. Sisi miradi zetu hatuziposti kwenye jukwaa zenu sasa mbona mnatuletea upupu wenu huku? Ama ni inferiority complex? Yaani lazima uringie jirani ndio uhisi vizuri? Grow up. Hata mods wenu naona wako immature sana. Threads kama hizi ambazo hazina uhusiano na Kenya zinastahili kugongwa na kung'olewa kabisa na kutupwa kwenye nyuzi za mapenzi na mapambo katika sekshen ya Tanzania.