Chamoto
JF-Expert Member
- Dec 7, 2007
- 8,577
- 18,774
Ya Dodoma ni zaidi hasa ukizingatia kuna awamu ya pili inakuja.Kati ya hizo zote ipi bora kuliko zote kwa upande wako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya Dodoma ni zaidi hasa ukizingatia kuna awamu ya pili inakuja.Kati ya hizo zote ipi bora kuliko zote kwa upande wako?
Kweli ubinadamu kazi mbona kwenye hizo nchi za ulaya kuna homeless wa kutosha na beggers watu wanalala kweny mitaro na bado miundombinu yao ni mizuri.Hizo nchi za wenzetu hizo stendi zao zina sadifu na hali ya maisha ya wananchi wao!!! Sifa za kijinga, wewe mwananchi wa kawaida inakusaidia nini hata iwe ya kwanza duniani, wakati ukienda hospital hata dawa za muhimu tu hakuna?!! Wenzako ulaya karibia kila kitu kiko sawa, mfano kwa mtu wa chini aliyeshindwa kupanda ndege kipindi fast jet zipo, nauli hata kwenda mwanza mtu angeweza kulipa 80,000!!!,asahau kabisa kupanda ndege, hizo zilizoletwa kwa mbwembwe, mgonga ulimbo gani anayeweza kuzipanda?!! Hilo daraja la tazara ukiangalia unafuu wake kwa watumiaji wanaotoka barabara ya Mandela bado ni mdogo mnooo!!! Ukilinganisha na tambo zilizokuwa zikitolewa na viongozi!!!
Wapi nimesema kuwa serikali italeta pesa bila mtu kufanya kazi? Nani amekwambia kuwa sasa pesa haipigwi? Rejea ripoti za CAG, tena kwa taarifa yako, huo usiri unaofanyika sasa ndio pesa zinapigwa balaa, hizo nchi unazosema wana matatizo yao lakini sio kama haya, maji tu safi na salama ni mtihani!!, panadol tu, mtihani, ushabikie eti stendi? Jitahidi kupunguza matatizo ya msingi kwanza kwa wana nchi wako!! Watoto tu bado wanasomea nje, wana kaa chini tena hapa hapa Dar!!! Majengo mengi ya hospital yamejengwa sawa, lakini madawa, watumishi ni shida, hospital ni zaidi ya majengo.kweli ubinadamu kazi mbona kwenye hizo nchi za ulaya kuna homeless wa kutosha na beggers watu wanalala kweny mitaro na bado miundombinu yao ni mizuri.
Kwa mahana hiyo unataka kusema serikali isiboreshe miundombinu ya nchi sababu kuna watu awataweza kuitumia?
Je haujui kua kwa kuboresha miundombinu na miradi kama hiyo kutatoa fursa za kiuchumi kwa wananchi pia.
Je ujawai kujiuliza ata hizo nchi za ulaya unazozisema serikali zao zinatekeleza miradi mikubwa na pia kuna raia wao hawana ata makazi bora na hata kazi
Jambo la mwisho ni kama ushauri tu acha serikali itimize wajibu wake, kwani ni bora hata wakajenga vitu kama hivyo tutaona kodi yetu inatumika kuliko kama zamani ambapo miradi kama hii tulikua atuioni zaidi viongozi walikua wnapiga ela zetu. Jambo la msingi fanya kazi kuleta maendeleo yako kwani hakuna serikali hapa duniani ambayo itakuletea tu ela bila kufanya kazi.
Kwani kama serikali imeweza kugaramia fedha nyingi katika miundombinu ya majengo ujuWapi nimesema kuwa serikali italeta pesa bila mtu kufanya kazi? Nani amekwambia kuwa sasa pesa haipigwi? Rejea ripoti za CAG, tena kwa taarifa yako, huo usiri unaofanyika sasa ndio pesa zinapigwa balaa, hizo nchi unazosema wana matatizo yao lakini sio kama haya, maji tu safi na salama ni mtihani!!, panadol tu, mtihani, ushabikie eti stendi?!! Jitahidi kupunguza matatizo ya msingi kwanza kwa wana nchi wako!! Watoto tu bado wanasomea nje, wana kaa chini tena hapa hapa dar!!! Majengo mengi ya hospital yamejengwa sawa, lakini madawa, watumishi ni shida, hospital ni zaidi ya majengo.
Kweli ubinadamu kazi, nadhani mtazamo wako upo katika kuangalia mapungufu tu, na wala hakuna mtu aliyekataa kwamba hakuna changamoto kama unavyodai, lakini utambue hata hizi hatua serikali inazofanya zilikua ni changamoto pia ambazo zilikua ni kero kwa wananchi.Wapi nimesema kuwa serikali italeta pesa bila mtu kufanya kazi? Nani amekwambia kuwa sasa pesa haipigwi? Rejea ripoti za CAG, tena kwa taarifa yako, huo usiri unaofanyika sasa ndio pesa zinapigwa balaa, hizo nchi unazosema wana matatizo yao lakini sio kama haya, maji tu safi na salama ni mtihani!!, panadol tu, mtihani, ushabikie eti stendi?!! Jitahidi kupunguza matatizo ya msingi kwanza kwa wana nchi wako!! Watoto tu bado wanasomea nje, wana kaa chini tena hapa hapa dar!!! Majengo mengi ya hospital yamejengwa sawa, lakini madawa, watumishi ni shida, hospital ni zaidi ya majengo.
Co East Africa, huwa tunasema ni the most quality and beautiful bus stand in East and Central of Africa [emoji3][emoji3][emoji3]Si utani.hii kitu ya uhakika.tuenda sambamba na nchi za wenzetu huko. Inawezekana hiyo ni stendi nzuri zaidi kwa afrika mashariki(Si uhakika).utadhani ni airport.Ngoja tuone hiyo ya kibamba ikikamilika
Nzuri Kama ofisi ya chadema mtaa wa ufipa
Wapi Kenya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tatizo mfumo na wizara na waziri husika kapwaya wewe tazama usafi jiji la Dar umerudi kama zamani takataka kila kona magari ya taka hayazoi taka kama zamani sijui mkuu wa mkoa anafanya kazi gani sikuizi labda yupo bize kwenya mali zakeSio usafi tu
Tuna matatizo mengi sana.
Leo hii dsm tiketi za mwendakasi baada ya kukata tiketi unampa yule mtu anaichana wakati mwanzo wana walikuwa wanapita kwenye mashine.
Niliwaambia huu mwaka huu lazima mabeberu na watumwa wao wa Kenya mtii mkabisha sana sasa mnaona yote niliyo semaDuh! Uchama Tanzania umezidi udini na ukabila.....
Tuseme umetii kwa kuifananisha hiyo standi na mwanamke mrembooo hadi kuwekwa jukwaa la mapenzi huu mwaka lazima mtii niliwaambia mkabishaHii ingepelekwa kwenye jukwaa zenu huko maana haina uhusiano wowote na Kenya. Jukwaa la mapenzi ingekuwa bora zaidi.
Ipe miezi 3 Halafu nenda kaangalia vyoo na vitiSi utani.hii kitu ya uhakika.tuenda sambamba na nchi za wenzetu huko.inawezekana hiyo ni stendi nzuri zaidi kwa afrika mashariki(Si uhakika). Utadhani ni airport. Ngoja tuone hiyo ya kibamba ikikamilika
Nyie ujuaji mwingi mbele GizaStendi hii ingekuwa mojawapo wa Hospitali za Rufaa za wilaya au mikoa zinazotoa huduma masaa 24 zikiwa na vifaa tiba vya kisasa vingi, madawa na wafanyakazi wa kutosha wa sekta ya afya nadhani ingependeza zaidi.
Sielewi kwanini wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) na Halmashauri za miji / town councils wakaamua kutumia fedha nyingi ktk ujenzi wa stendi kila kona ya Tanzania badala ya kuanza na mahospitali.
Labda sera ya Maendeleo ya Vitu vya CCM Mpya ni kipaumbele zaidi ya Maendeleo ya Watu ktk kupata huduma bora za matibabu ili waendelee kuchapa kazi .
Ukisikia Uchumi wakati unao Akisi uhalisia ndio huuHii ingepelekwa kwenye jukwaa zenu huko maana haina uhusiano wowote na Kenya. Jukwaa la mapenzi ingekuwa bora zaidi.
Kati ya hospitali na stendi zipi zimejengwa zaidi awamu hii?Stendi hii ingekuwa mojawapo wa Hospitali za Rufaa za wilaya au mikoa zinazotoa huduma masaa 24 zikiwa na vifaa tiba vya kisasa vingi, madawa na wafanyakazi wa kutosha wa sekta ya afya nadhani ingependeza zaidi.
Sielewi kwanini wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) na Halmashauri za miji / town councils wakaamua kutumia fedha nyingi ktk ujenzi wa stendi kila kona ya Tanzania badala ya kuanza na mahospitali.
Labda sera ya Maendeleo ya Vitu vya CCM Mpya ni kipaumbele zaidi ya Maendeleo ya Watu ktk kupata huduma bora za matibabu ili waendelee kuchapa kazi .
Nyie mnavyotuletea humu hiyo miradi yenu ya bypass sisi tukae kimya? Na bado, tegemea projects zote zitakazokamilika tutaleta humu mzee baba.Hii ingepelekwa kwenye jukwaa zenu huko maana haina uhusiano wowote na Kenya.