Baraka Mina
JF-Expert Member
- Sep 3, 2020
- 586
- 590
Nani huyo Tena??Ila sisi na burundi ni zaidi ya majirani. Toka watuazime raia wao wawili japo mmoja hayupo tena, ushirikiano unazidi kunoga
... CCM hawajawahi kuwa serious Mkuu; bora hata comedians wana afadhali.Hapo kwenye tarehe wametisha,yaani wamekutana mwezi ujao!
Huyu jamaa huwa hapendi yale manguo yao kama ilivyokuwa kwa bashiru na polepole,walikuwa wanayavaa hadi kwenye sherehe/misiba isiyohusiana na chama.
Ila hilo jicho la katibu mwenezi wa ccm mimi huwa silielewielewi vile.
Kwa nini Mkuu? wana haki ya msingi yakufanya hivyo kama taifa.Hakuna chama/serikali ambayo huwa inayopambana kushobokea ( kujenga Diplomasia ) nchi nyingine kama Burundi.
Duuuh Mkuu. Kina nani hao wawili?Ila sisi na burundi ni zaidi ya majirani. Toka watuazime raia wao wawili japo mmoja hayupo tena, ushirikiano unazidi kunoga
Mkuu jina kamili la CNDD - FDD National Council for the Defense of Democracy – Forces for the Defense of Democracy.Huko Burundi hiki chama kimeungana na Wasiojulikana wa huko na Sasa kinaitwa
CNDD-FDD- MBONERAKULE (hawa mbonerakule ndiyo wasiojulikana).
Ni sawa na hapa kwetu mwendazake angeendelea angekuja kufanya fusion ya ccm na wasiojulikana. Na ccm ingebadilika jina na kuitwa "CCM- Wasiojulikana"
CHAMA BORA KABISA DUNIA NZIMA CHAMA TAJIRI AFRIKAKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo leo tarehe 10/06/2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Tawala Cha Burundi cha CNDD -FDD Ndg. Reverien Ndikuriyo. Mazungumzo hayo yemefanyika katika Ofisi za Makao za Makao Makuu ya CCM jjini Dodoma.
Katika mazungumzo hayo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi aliambatana na watumishi wandamizi wa CCM. Sambamba na mazungumzo haya zawadi mbalimbali zimetolewa.
#ChamaImara
#kaziIendelee
View attachment 1814106
View attachment 1814270
View attachment 1814107View attachment 1814108View attachment 1814110
View attachment 1814111
View attachment 1814272
Wana malengo yao Mkuu....leo utawaona kama wanashoboka,ila kuna siku utawaelewa. Wenzetu wanaakili sana. Ukute huo ni mkakati wao wa miaka kadhaa then waanze kujipenyeza kwenye uwekezaji wa maeneo ambayo sisi tunayaona hayana maana.Hakuna chama/serikali ambayo huwa inayopambana kushobokea ( kujenga Diplomasia ) nchi nyingine kama Burundi.